Ubaguzi wa makabila katika kuoa

Weeh wana akili nyingi hao..unadhani wanachoma visu au wanagongesha ukutani? walaaa utasikia tuu mme kaanguka chooni afu kapalalaiz..au gari alipanda limebinuka kafaa.
Wanaua kiasili sio kizungu bastola sumu na visu vinakamatisha.
Ila Kuna wanaume ni kero imagine mumeanza from zero mkipata mzee atapanye Mali kizembe bila kujali future ya wanao na kimada kizembe zembe tu aisee,lazima apay price
 
Sasa hapo mwanaume atakuwa na tofauti gani na dume la mbuzi, nguruwe au ng'ombe ambalo hutengwa na majike, huchangamana na jike flani flani wakati wa kutaka kupandishia tu?
Binadamu kuna kitu kinaitwa mahaba ni zaidi ya tendo la ndoa, hiki huwaweka watu karibu kuliko unavyo dhania.

Wewe umeshaona majogoo au wanyama wengine wanakumbatiana wakati hawako kwenye tendo la ndoa?
Pale kitandani ndiyo mahali rahisi sana kuelewana kuliko mahali popote wakati mkijadili jambo muhimu kwa familia yenu.
 
Hiyo audio ni sahihi na kweli

Mara nyingi nasemaga hapa jf, ukitaka kuwa na ndoa ngumu sana katika maisha yako,basi oa mchaga wote ni wapalestina wale. hakuna nafuu ya kusema huyu mmarangu, mkibosho, mmachame sijui wa wapi na wapi wote ni wale wale.

kwa sababu kijinsia ni wanawake lakini kitabia ni zaidi ya mwanaume katili, hawana utii, hawana unyenyekevu, hawana kujishusha, hawana lugha rafiki, hawana muda na malezi ya watoto, na hivi ndivyo mwanaume anavihitaji toka kwa mwanamke yoyote.Zaidi wana kiburi sugu, dharau, wana asili ya kulipa visasi, chuki na ni wachovu sana kiroho.Hata hii ya kutaja taja jina la Mungu, Yesu, Maria mara kwa mara ni kwa sbb za uchovu wa kiimani, wao ni matambiko na uganga uganga basi.

Fanya uchuguzi kidogo. Nenda mahakama za mwanzo ulizia madai ya talaka, wao ndio wana ongoza. Nenda kwenye makanisa kama kkkt Ulizia migogoro ya kifamilia iliyopelekwa kwao, wao wanaongoza. Njia nzuri ni wao waoana wao kwa wao, kinyume hapo utapoteza ndoa, utapoteza maisha kwa stress. Wana uwezo mzuri sana wa kumuua mwanaume kisaikolojia, na wengi hawajui hili.

Ni washirika wazuri kwenye biashara lakini si ndoa.na hata kwenye biashara sio wa kuwaamini vile.

Tell the truth, or someone will tell it for you
 
Naunga mkono hoja 100%
 
Nimeshuhudia saba Kati ya kumi wanawake wamachame wamewadhulumu waume zao. Recently mmoja kauza nyumba na kumwacha mumewe imebidi jamaa akapange Chanika.
Daah hawa wanawake wana mapepoo mzeee...!! Yani ni spriritual ishu acha wazee wawe wakali tu. Me maza aliwahi niambia kama nikipata Mchaga wa Machame au Mnyakyusa nimwambie sina mama alishakufa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe hadi wachagga Wana migogoro mingi ya kifamilia eeh[emoji1787][emoji1787]
 
Daah hawa wanawake wana mapepoo mzeee...!! Yani ni spriritual ishu acha wazee wawe wakali tu. Me maza aliwahi niambia kama nikipata Mchaga wa Machame au Mnyakyusa nimwambie sina mama alishakufa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kauli aliitoa amekunja sura balaa...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hatari Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa huyu mzee anaongea jamaa kama alishapanga mipango na demu inabdi akammwage tu watu wanadhani ni utani ila miaka ikifika kijana inabdi uwe unaendeshwa na akili kuliko moyo na genyee...!!
 
Daah hawa wanawake wana mapepoo mzeee...!! Yani ni spriritual ishu acha wazee wawe wakali tu. Me maza aliwahi niambia kama nikipata Mchaga wa Machame au Mnyakyusa nimwambie sina mama alishakufa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanyakyusa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hii mbinu nuksi sana aisee mkuu
 
Sasa huyu mzee anaongea jamaa kama alishapanga mipango na demu inabdi akammwage tu watu wanadhani ni utani ila miaka ikifika kijana inabdi uwe unaendeshwa na akili kuliko moyo na genyee...!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…