Ubaguzi wa makabila katika kuoa

Kaka mmasai mtoe hapo aisee
 
Mimi si mtu wa Moshi ila in shot hawa jamaa walipigana vita moja iliyopelekea ukoo mmoja kuuwawa kikatili na ndipo undugu ukafa rasmi . Wakaapizana.
Hapo ndio taabu ilipoonza, mbona Wamachame wenyewe huoana bila shida na maisha huendelea?
 
Ufoo Saro sio Mambo ya michepuko kweli na mamake kumtapeli mumewe yalileta Vita kubwa Sana. Tamaa mbaya Sana
Hapana. Alikuwa na jamaa kimasilahi, alipopata alichokuwa anakitafuta (nyumba nadhani) akamgeuka jamaa na kuanza kumkwepa as if hamjui na hawajawahi kuwa na mahusiano. Mama mtu inasemekana alikuwa anasapoti hiyo akili ya binti yale ile hali anajua history ya binti yake na huyo jamaa.

So jamaa ameshawekeza pesa yake nyingi sana kwa bi dada akaona isiwe shida, mama si ndio mwalimu wako, ngoja nije kuwapa darasa juu ya kuheshimu muda na jitahada za mtu. Akaenda akatandika risasi mama mtu kwanza then akachapa risasa binti kisha na yeye akajimaliza. Binti kapona but mama yake ndio ikawa bahati mbaya......

Sijui anasurvive vipi lakini kwasasa, ila kwa mimi nisingeweza tena kuona maana ya maisha kwa kilichotokea, tukio kama lile ni baya sana especially ukizingatia yeye ndie ameliaccerelate na kumsababishia mama yake umauti usio kuwa na sababu.
 
Inategemeana umekutana na nani bwana. Si kila mtu kwenye ndoa anapitia mufarakano. Kuna watu yeye na mkewe wasipoonana hata kwa lisaa tu akili hazikai sawa. Kama ukimtazama obama na mkewe hivi unawaonajeaana hata tukitaka kusema wanaigiza for the public si kweli.

Mapenzi yanataka very strong captaining na navigational skills. Siri ni moja tu, jua mwenzako anataka nini na wakati gani, ikifanywa both ways unahisi upo na ndugu yako wa kiroho unaanzaje kutaka kuishi bila yeye......
 
Unajua wanawake huwa hawajifunzi kusoma akili za wanaume pale wanapokuwa aggressive. Huyu dada angeweza mtuliza jamaa kirahisi sana na angekausha.

Wanakwambia the only way ya kumshusha mtu speed ni kumpa mara mbili kile anachokitaka. Sasa ukitazama jamaa alisha sacrifice alot kwaajiri yake halafu yeye anakuja mlete hoja za kindezi kuwa ameamua kufanya maisha ya tofauti bila mshikaji, katika hali ya kawaida ni vema kuwa makini.

Lile kovu amemuachia halitapona kamwe. Hivi unaanzaje kuasahau kuona mauwaji ya mama yake mbele ya macho yake.
 
Ufoo alikuwa anachepuka na mheshimiwa mzito kabwela, pia bwanake alizaa naye mtoto mmoja, Sasa hyo kumtapeli mumewe ilishangaza Sana maana kumbe ufoo alikuwa na masilahi binafsi na sio upendo, na hili ndio janga la sikuhizi it's hard to get someone to love bila kuangalia materials things, ndio maana huwa nashauri Kama huna kitu tafta mwenzako asiye na kitu, una vitu au Mali tafta mwenye Mali mwenzako hapo ndio mtapendana kiukweli na sio kuangalia vitu kumdaganya mwenzako.

Halafu mahusiano mengi huuliwa na wazazi kutaka kuongoza familia za watoto wao, wakati ndoa ni ya wawili kwanini mauaji yasitokee ka hvo
 
Hakuna lolote roho mbaya hata wazaramo, wanayo muache kujijaza ujinga#spread the love.
 
Mapenzi Ni kuwa na chemistry na bond ya Hali ya juu, pia kupendana haimaanishi siku zote Mambo yatakuwa smooth, Kuna siku za ups and down, kugombana kusameheana na kusonga mbele. So ukiona watu wamedumu mda mrefu ujue wamegombana Sana, wamesameheana,wame enjoy Sana hata kulia vile vile, na dunia hii hamna kitu perfect that's life
 
Yaani mimi na baba yako ni malaya, hivi we mtoto una adabu weye?!
 
Huyo sio m'machame ni jambazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…