Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHAUMA na Machame kuna uhusihano gani?!IPIGIE KURA CHAUMA MWAKA HUU ILI KUEPUSHA MATATIZO NCHI HII!!!
Tupo wengiNadhani mimi ni mwanamke pekee ninayependa mtoto wa kike kuliko wa kiume
ntatembelea nipaonePia kumbukeni machame ndio kuliko jengeka kupita moshi sehem zote kijani cha kutosha nyumba mzuri kote na uzungu was kutosha totally wanaishi kizungu
Mmmmmh bas sawa.Mkurya anaoa mchaga alafu mkurya anajua kulima shamba mchaga anajua biashara...!
Mapenzi yananoga hapo cozi mchaga atafanya biashara bila mipaka na mkurya atafanya kilimo bila mipaka maelewano yatakuepo...
Sio wote wakurya mnaoana wote wababe wote wakulima Ahh[emoji2]
Leo umeongea kitu deep sanaIla globally wanaume hufa mapema Sana kuliko wanawake, wanaume wanapitia mengi
Anataka kujua kama umeolewa ?Unataka kusema nini?
Katika madogo mnaoongoza kwa stress humu Jamii forum ni wewe na GENTAMYCINEEndelea tuone hoja zako..
Huna hoja ndio maana unasema "niishie hapa"..you have nothing on my hoja!
Nime-hit home kabisa....
Huna sababu za kuwaacha dada zako eti unafata waliokuzaa na kukutunza na kukupa all those genes and intelligence uone hawakufai halafu Wanyakyusa ndio wanakufaa sababu tu wameendelea...
Huna la maana wewe...kama wanawake wa kwenu unawaona hovyo mpaka uwaone hawakufai wa makabila mengine eti ndio wanakufaa zaidi...
Huna la maana,huna sense of respect to your own people....
Guess what,hao unao waona wazuri hawana tofauti na dada zako uliowaacha....
Ni ukichaa na sense of self hatred imekupeleka huko...yaani you hate yourself and your own people so much mpaka unaenda kuoa kwa unao ona ni wa maana and above you...
Such a coward....wewe ni coward...nothing you can tell me wewe!
Katika madogo mnaoongoza kwa stress humu Jamii forum ni wewe na GENTAMYCINE
Stress za nini?Katika madogo mnaoongoza kwa stress humu Jamii forum ni wewe na GENTAMYCINE
Mimi ni mtoto wa MagufuliStress za nini?
Kukupinga ndio stress?Asiekupinga ndio hana stress?
Una matatizo na thinking yako aisee!
Kama ni hivyo basi utapata taabu sana..Mimi ni mtoto wa Magufuli
Sipendi kupingwa.
Ukiendelea kuni pinga pinga nakusemea kwa baba yangu MagufuliKama ni hivyo basi utapata taabu sana..
Basi hama dunia ili upate peace of mind,kinyume na hapo utapingwa sana yaani!
Jamaa yako Magufuli presha juu,kalala ndani Lissu anamfanyia operation...Ukiendelea kuni pinga pinga nakusemea kwa baba yangu Magufuli
Magufuli is a scientist who is depended by many in the universe unlike conman LissuJamaa yako Magufuli presha juu,kalala ndani Lissu anamfanyia operation...
That nigga is running for his money!
Mpaka October 28th atakua ulimi nje
DIctator is never friend of anyone but himself...Magufuli is a scientist who is depended by many in the universe unlike conman Lissu