M2WAWA2
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 3,285
- 5,598
sio suala la chuki, kwenye kutafuta maisha "maendeleo" ninyi mnaongoza na hakuna ubishi, na malezi na makuzi yamewafanya hivyo.Unaonekana una chuki KUBWA SANA nawachagga nasikitika ni kwanini mnawachukia wachaga kiasi hiki? Ni mali na akili walizo pewa na Mungu tu au kuna lingine?
kwenye suala la mahusiano, hakuna kitu, hamna maendeleo eneo hili. na kuna taarifa mjini kwa sasa ukioa mchaga lazima uwe na mchepuko!