Ubaguzi wa makabila katika kuoa

Believe me issue Wala sio hela lazima Kuna issue kubwa Sana, roho ya mwanamke ukichoka manyanyaso Ni hatari sanaa.
Huko usukuman kila siku wanawake wanachomwa visu kisa unakuta sh 500 tu kila siku
Mara ndo balaa lakin kila siku wachaga tuu.
 
Umeongea kweli mama Terry wanaume hujiua wenyewe kwa Mambo yao imagine ana michepuko hata sita yote anaihudumia bado nguvu za kuwaridhisha michepuko kingono, bado achunge kwa mke asijue na mke akijua kila siku ugomvi hauishi, akitoka tu kwa mchepuko akifika home machungu yanaanza upya ukute na mke kashampuuzia Tena, hafu hata michepuko mwingine michawi ka Nini inaloga I win mume kumbe madawa mengine wanayopewa kwa waganga ni nusu inayoua mwanaume taratibu, na mwanaume akifa mkewe atasingiziwa tu hapo kuua mume
 
ntaenda machame kufanya uchunguzi
 
Tena alogwe huko nje afe taratibu, mke ndani kashajichokea umalaya wake atasingiziwa.
Na kikubwa kinachofanya wachaga waonekane wabaya Ni hawez kukubali kunyanganywa Mali za watoto wake. Akishakataa tu kutoa Mali lazima aambiwe ameua
 
Believe me issue Wala sio hela lazima Kuna issue kubwa Sana, roho ya mwanamke ukichoka manyanyaso Ni hatari sanaa.
Huko usukuman kila siku wanawake wanachomwa visu kisa unakuta sh 500 tu kila siku
Mara ndo balaa lakin kila siku wachaga tuu.
Issue ilikuwa niyeye kumiliki Mali za mwanaume.
 
wanasingizia tu wachaga bure[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Tena alogwe huko nje afe taratibu, mke ndani kashajichokea umalaya wake atasingiziwa.
Na kikubwa kinachofanya wachaga waonekane wabaya Ni hawez kukubali kunyanganywa Mali za watoto wake. Akishakataa tu kutoa Mali lazima aambiwe ameua
Wanaume huuliwa huko nje bana wanakohangaika Mara michepuko, Mara kudhulumiana na kutapeliana huko Sasa visasi vikitokea mke ndo mhanga baada ya kufa na Mali zenyewe ukute walitafta na mke from zero mpaka wakapata mali, kwanini usipiganie jasho lako na wanao eti kisa kuogopa maneno ya waja
 
Cariha niambie kabila lako. Hata kama ni kwa kificho [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Msukuma naye fala alijichanganya kwenda kuoa Mmachame wa nini? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Believe me issue Wala sio hela lazima Kuna issue kubwa Sana, roho ya mwanamke ukichoka manyanyaso Ni hatari sanaa.
Huko usukuman kila siku wanawake wanachomwa visu kisa unakuta sh 500 tu kila siku
Mara ndo balaa lakin kila siku wachaga tuu.
Jikite kwenye mada Mama Terry hata kama ni Mchaga. Wasukuma tunaingiaje hapa? Mada inahusu wanawake wa Kimachame (natania) [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Believe me issue Wala sio hela lazima Kuna issue kubwa Sana, roho ya mwanamke ukichoka manyanyaso Ni hatari sanaa.
Huko usukuman kila siku wanawake wanachomwa visu kisa unakuta sh 500 tu kila siku
Mara ndo balaa lakin kila siku wachaga tuu.
Tena alogwe huko nje afe taratibu, mke ndani kashajichokea umalaya wake atasingiziwa.
Na kikubwa kinachofanya wachaga waonekane wabaya Ni hawez kukubali kunyanganywa Mali za watoto wake. Akishakataa tu kutoa Mali lazima aambiwe ameua
wanasingizia tu wachaga bure[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nyie mnafurahishana tu. Ishu ya wanaume kufa mapema ni tata na yenye visababishi vingi changamano yakiwemo maumbile. Ndiyo maana ni karibu dunia nzima hali iko hivyo.

Unataka kusema hao wanaume wanaokufa mapema hufa kwa stress za kushikilia mambo ?????
 
Ndo hapo Sasa, Bora waongee Hadi asubuhi lakin wanangu wasome na Mungu wangu anajua ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…