Ubaguzi wa makabila katika kuoa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna Uzi mwingine nao mwanaume alikuwa anaomba ushauri kuhusu ndoa yake,mke amempanda kichwani
Sasa wamemshauri wee kila wanalosema Anasema alishafanya,akaja mmoja akauliza mke wako kabila gani?
Akajibu kuwa ni mchanganyiko wa mmarangu na mmachame.
Wakaanza kusema eti bomu(tatizo)lilianzia hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anauliza kwanini wakuu,wanamwambia ukishaona mchanganyiko wa mmarangu na mmachame tayari hilo ni bomu [emoji23][emoji23][emoji23]
Haki nilicheka ile siku.
 
Bila kusoma uzi; mimi wachaga na wapare ni BIG NO. Sometimes hata wanyakyusa siwapendi wamamaneno mengi.

Dem wa kinyakyusa akitaka kukwambia kaunguza mboga maneno yake hapo utachoka
Wanyakyusa eeeh!?

Nina ushahidi na hili. Wote ni wanaharakati wa haki za wanawake [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Siku zote huandika ninachokiamini so wewe ndo upime iwe point or pointless huo Ni mtazamo wako ulivo view comments zangu na Sasa hapo hainihusu. Wewe hata ukiona sijaandika chochote huo Ni msalaba wako na siko humu kumvutia yoyote so relax

Ila leo umepunguza mapumba yako yale[emoji38][emoji38][emoji38]

Tuseme ukwei tu
 
Wow safi, kwa kweli ukabila sio mzuri as kila mtu anatabia yake pekeake, tuanze kubadilika Mimi na wewe dunia iwe sehemu nzuri.
Nimesoma Tabora girls pia
 
1.Haya mambo ya kiasili yapo na yananguvu sana ukiwa kijana huwezi kulijua hili maana utapofushwa na mawigi, ma make up mapishi na kupetiwa akili itahama utafikiri maisha yatakuwa hivyo milele

2.Kuna makabila wanawake ni asili yao kabisaa wanaongea kama machitiku kuanzia asubuhi mpaka jioni yupo kibarazani ni kuwasema watu tuu,akirudi ndani ni taarabu na tamthilia.

3.Kuna baadhi ya makabila wanafundishwa kabisa kwao mbinu na madawa ya kuizezeta akili ya mwanaume

4.Kuna baadhi ya wanawake wanapenda fedha kupita kitu chochote hivyo kila siku watu wa vikoba hawaishi kwako.

5.Kuna baadhi yawanawake huwa hawasahau kwao hivyo watoto watajengwa kuwa kwao ni ujombani

6.Kuna wanaume wasomi wenye hela wameingia kichwa kichwa mjini akili zimeshaatekwa wamewekeza kwa mke na mjini wameleweshwa na mapochopocho wanayopikiwa mjini na hao wanapozeeka hurudi makwao mikono mitupu bila mali wala mtoto vyote hupokonywa. Bora kila mtu are kwenye mila wanazolandana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…