Ubaguzi wa rangi au jinsia sio mzuri

Ubaguzi wa rangi au jinsia sio mzuri

Facts tupu umeongea
Unaweza kutaja hata chembe ya wizi uliofanyika chini ya Samia!? Aliwafichia siri majizi akina Bashiru kwenye ripoti Bot baada ya kifo cha Magufuli sasa mnampanda kichwani subirini
 
Tunabaguana kwa kila namna..kutaja machache..
Rangi
Ukabila
Udini
Kimadaraja ya Uchumi
Kimadaraja ya Usomi
Kijinsia
Kiitikadi(kisiasa)
Kijamii(kujuana ndugu na jamaa)
Kiumri
Jamii ya walemavu

Cha ajabu watu hulalamika wakiwa waathirika,kama haliwahusu hata hawajali..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Ubaguzi ni kweli haufai ila kwa suala la jinsia huo sio ubaguzi, ni uadilifu- yaani kuliweka jambo mahalipale.

Sasa kutaka kumfanya mwanamke awe sawa na mwanaume ni sawa na kumnywesha ng'ombe diesel Ile afanye kazi kama trekta.
 
Tuwape mda tutatoa tathimini kwa walichofanya 2025

Sent from my T702 using JamiiForums mobile app
unataka uwape muda hadi lini wakati tayari unaona mambo jinsi yanavyokwenda? tozo juu, mafuta juu, sabuni juu, vyakula juu, vifaa vya ujenzi juu, deni la taifa jui zaidi yaan huu mfumko wa bei mara nyingi ndio inakuwa kipimo, sasa ukishindwa ku control hili ujue umesha fail" sasa inataka kumpa muda hadi lini ndugu yangu? kusoma hujui na hata picha nayo huoni?
 
Back
Top Bottom