Unaweza kutaja hata chembe ya wizi uliofanyika chini ya Samia!? Aliwafichia siri majizi akina Bashiru kwenye ripoti Bot baada ya kifo cha Magufuli sasa mnampanda kichwani subirini
Tunabaguana kwa kila namna..kutaja machache..
Rangi
Ukabila
Udini
Kimadaraja ya Uchumi
Kimadaraja ya Usomi
Kijinsia
Kiitikadi(kisiasa)
Kijamii(kujuana ndugu na jamaa)
Kiumri
Jamii ya walemavu
Cha ajabu watu hulalamika wakiwa waathirika,kama haliwahusu hata hawajali..
unataka uwape muda hadi lini wakati tayari unaona mambo jinsi yanavyokwenda? tozo juu, mafuta juu, sabuni juu, vyakula juu, vifaa vya ujenzi juu, deni la taifa jui zaidi yaan huu mfumko wa bei mara nyingi ndio inakuwa kipimo, sasa ukishindwa ku control hili ujue umesha fail" sasa inataka kumpa muda hadi lini ndugu yangu? kusoma hujui na hata picha nayo huoni?