Ubaguzi wa rangi unarudi: CCM, Makalla na mzee Wassira fuatilieni hili tangazo

Ubaguzi wa rangi unarudi: CCM, Makalla na mzee Wassira fuatilieni hili tangazo

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010
IMG-20250320-WA0069.jpg

Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi.

ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi kwa CCM.
 
Ningekuwa raisi wa nchi ningenyonga hawa pasitokee mbwa wa mawazo kama hawa ardhi hii milele. Ila kwakuwa mama yenu ni muumini na mtumwa wa hizo rangi nadhani mbele yake wako sahihi. Hii ndio maana ya matendo ya mabeyo kuruhusu mikoni michafu na miguu ya michafu kufika patakatifu pa patakatifu Leo hata mtoto wake hana sifa kuajiriwa hapo. Jifunzeni kwa makosa haya ya mabeyo
 
1, mlete mada anapolalamikia kwa Makalla na Wasira hao ni nani katika seriali? 2, uchumi wa watanzania kwa zaidi ya asilimia 80% umetawaliwa na hao na ndio wanatoa fedha za kuiendesha CCM. 3, elimu ya vijana wasio na asili zilizotajwa hapo juu ni duni mno kiasi hawaajiriki ila kuwa chawa na kubeti tu. Uaminifu na maadili ya kazi na uchapa kazi ni ya chini mno. 4, aikunishingaza Waziri Mkuu alipowashauri kurudi VETA. Mimi ningeshauri VETA iwe na kozi za Uaminifu na uchapakazi pia.
 
View attachment 3277513
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi.

ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi kwa CCM.
Nani anajali tena nchi hii ? Bora jua linachomoza,, linazama,. Wanazaliwa wanakufa. Wanakula,,, wanalala njaa.
 
Back
Top Bottom