Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,870
- 3,717
Hujaona ajira za Uhamiaji ndugu za mwaka Jana walikuwa Wengi hatariView attachment 3277513
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi.
ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi kwa CCM.