Ubaguzi wa rangi unarudi: CCM, Makalla na mzee Wassira fuatilieni hili tangazo

Ubaguzi wa rangi unarudi: CCM, Makalla na mzee Wassira fuatilieni hili tangazo

View attachment 3277513
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi.

ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi kwa CCM.
Tengeneza makampuni yako uajiri watu wako. Acha Nongwa.

Unadhani hiyo ni VETA
 
View attachment 3277513
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi.

ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi kwa CCM.
ccm hawawezi kuondoa tatizo walilosababisha wenyewe!
Fuatilia hata kwenye mikutano yao mara zote hao watajwa ni miongoni mwa wajumbe!
 
M
Ningekuwa raisi wa nchi ningenyonga hawa pasitokee mbwa wa mawazo kama hawa ardhi hii milele. Ila kwakuwa mama yenu ni muumini na mtumwa wa hizo rangi nadhani mbele yake wako sahihi. Hii ndio maana ya matendo ya mabeyo kuruhusu mikoni michafu na miguu ya michafu kufika patakatifu pa patakatifu Leo hata mtoto wake hana sifa kuajiriwa hapo. Jifunzeni kwa makosa haya ya mabeyo
Mabeyo ni nani we bwege, nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa sheria, ujue Mabeyo siyo lofa km wewe
 
View attachment 3277513
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi.

ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi kwa CCM.
Magufuli alisema nikiondoka yatarudi na makubwa yataongezeka endelea kuyaona
 
Back
Top Bottom