Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Hawa,wanaogopa kuibiwa,wanajua waarabu na wahindi,wanaogopa Polisi.View attachment 3277513
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi kwa CCM.
Nonsense, Uarabuni na India hakuna magereza?Hawa,wanaogopa kuibiwa,wanajua waarabu na wahindi,wanaogopa Polisi.
Tuwekee live link ya hii job ad!View attachment 3277513
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi kwa CCM.
Seth aliogopa Polisi na wengineoHawa,wanaogopa kuibiwa,wanajua waarabu na wahindi,wanaogopa Polisi.
Mtu katoa namba yake ya simu hapo chini.Tuwekee live link ya hii job ad!
Kwenye official website yao hilo tangazo halionekani.Mtu katoa namba yake ya simu hapo chini.
Tumshukuru mama anaupiga mwingi sana.View attachment 3277513
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi.
ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi kwa CCM.
Siku hizi upumbavu mwingi sana unawekwa mitandaoni !Ulimwengu wa AI mimi huwa siamini kirahisi hivi vitu.
Nani anajali tena nchi hii ? Bora jua linachomoza,, linazama,. Wanazaliwa wanakufa. Wanakula,,, wanalala njaa.View attachment 3277513
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi.
ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi kwa CCM.
Namba haipatikaniMtu katoa namba yake ya simu hapo chini.
Mkuu hii habari ni ya kweli? Unaweza kutoa link ?View attachment 3277513
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi.
ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi kwa CCM.
Kwani nyie rasilimali za Nchi hii mnawauzia akina naniView attachment 3277513
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi.
ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi kwa CCM.