Ubaguzi wa rangi unarudi: CCM, Makalla na mzee Wassira fuatilieni hili tangazo

View attachment 3277513
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi.

ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi kwa CCM.
Hao uliowataja ni madebe tupu hawana uwezo wa kutatua hilo tatizo.
Tutamkubuka sana Dr John Pombe Magufuli.
 
View attachment 3277513
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi.

ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi kwa CCM.
CCM ikiendelea kuwakumbatia hao jamaa kwa sababu tu wanawafadhili, ijiandae kula mabua.
Hili si dalili nzuri.
 
View attachment 3277513
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi.

ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi kwa CCM.
Tatizo watu weupe tunawaonaga miungu watu sana, Enzi za MUGABE kule zimbabwe wasingethubutu kutangaza ujinga huo, Mzee alikuwa kiboko yao.
 
Kuna manzi nilikuwa nataka kumtongoza , siku moja nikicheki status yake Instagram alikuwa ameandika anavutiwa zaidi na wazungu zaidi kuliko wabongo,hapendi mtu mswahili swahili, baada ya kuona hivyo akiashia kuwa mshkaji wangu tu mimi nikatafuta sehemu nyingine.

Sasa hivi nina ndoa ya miaka 2 na watoto 3 mapacha.
 
Ardhi ya Tanzania itamlaani mabeyo milele
 
Mama ana upiga mwingi...!

Mitano tenaaa...!

Vijana weusi mkasome VETA tu hakuna namna!

Kwani nasema uongo ndugu zangu?!
 
View attachment 3277513
Sikutegemea kuona tangazo linalo akisia kurudi kwa ubaguzi wa rangi, miaka 64 baada ya uhuru.
Tangazo linalotembea mitandaoni linasoma ubaguzi.

ASIANS AND ARABS ONLY NEED APPLY.
Haya ni matusi kwa CCM.
Waiadhibu hiyo kampuni.

Kwanini wazungu, waarabu, wahindi, wachina wakifungua kampuni nchini wanatukwepa sana kwenye top positions?
 
Kwa kweli hii siyo! Nakumbuka nafundishwa historia enzi hizo 1980s hapo shule ya msingi, inaelezwa kulikuwa na kazi za wahindi na waarabu, hotel za race hizo, shule za race hizo, sasa yanarudi!!!! Hapana!
 
Ukikubali kudharauliwa katika nchi yako, hata Mwalimu aliwahi kusema ,weww ni malaya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…