Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waafrica wengi tunakuwa masikini kwa mawazo kama haya, unapoamua kufanya uwekezaji sio lazima unufaike wewe inawezekana wajukuu zao ndio wakala utajiri uliwekeza. Wahindi na waarabu leo wanamliki Mali zilizotengenezwa na babu zao. Sisi tulirithishwa uchawi tumebaki tunawangiana tu.sasa mwisho wa kuwa tajiri ni nini kama hu spendi hizo hela utatumia kwa ajili ya nini
Chapombe[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]Pombe inanitesa sana. yaani kwa siku 10,000= au elfu 8.
Itabidi niamke sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umelogwa mkuuMi nikipata hela zinanawasha jamani. Najitahidi kuw bahili nilishashindwa. Au kuna mkono wa mtu?
Ni kweli babu wahindi na waarabu unakuta pesa/Mali inaenda kizazi kwa kizazi.mfano manji,mo,rostam and the like.Sisi wabongo sijui tatizo nini!?Waafrica wengi tunakuwa masikini kwa mawazo kama haya, unapoamua kufanya uwekezaji sio lazima unufaike wewe inawezekana wajukuu zao ndio wakala utajiri uliwekeza. Wahindi na waarabu leo wanamliki Mali zilizotengenezwa na babu zao. Sisi tulirithishwa uchawi tumebaki tunawangiana tu.
Mkuu siyo kujinyima tu, na kunyima wengine hata familia yako mwenyewe.Wengine wana kuwa bahili hata kwenda hospitali waki umwa ni bahili hata ikibidi kufa.NI KWELI, MSINGI MKUBWA NA MUHIMU WA UKWASI NI UBAHILI. WATU WENGI HATUJUI MAANA HALISI YA UBAHILI HATA HUKOSEA TUKAUFANANISHA NA UCHOYO. TUNAKOSEA. UBAHILI NI KUJINYIMA KWA AJILI YA KESHO.