Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance

Huyo anajifanya mjuaji kumbe anazidi kujichoresha na kuwa yeye ni mweupe kichwani,

Nlishaacha kujadiliana nae.
 
Wizooo hapa umemaliza kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machozi wallah, mweeeh
 
Asipokuelewa hapa, haelewi tena kamwee.
Huyo ni wa kumuacha na ujuaji wake uchwaraaaa.
 
Mpee za uso huyo, yaan unampaa had anapagawaa.
Safii sanaa.
 
Sasa huna hoja zaidi ya kuleta blaa blaa, kwann nisichekee?
Ushoga unizidie kwakoo wee? Hufiti hata kunisisimua nakuona km mwenzangu tyuuh.
Kwahiyo unasema ukimuona wa haiba yako hakuvitii
Lakini ukiona njemba ngangari mkomavu, unatepetašŸ˜‚
 

Hakuna kitu kama hicho.

Tatizo hizi elimu mnakariri matokeo yake ndio haya
 
Naomba tafsiri ya Uasi na uhalifu tafadhari.

Uasi ni hiyari ya mtu kufanya jambo ambalo ni kosa kwa Mujibu wa imani yake kwa kufuata matamanio yake.
Kwa mfano kuzini na mwanamke asiyemkeo ni kosa kwa Mujibu wa dini. Lakini kwa matamanio ya Watu huamua kwa hiyari yao kuasi na kutenda kosa la uzinzi.
Ndio kama ushoga, ni kosa kwa Mujibu wa dini zote duniani. Lakini matamanio ya Watu hutumia hiyari yao kulifanya.


N
 
Kuna watu wanakaa kabisa wanasema tuliweke taifa kwenye maombi ili vijana wanusurike na ushoga hivi mnajua hii Hali inasababishwa na nini?

Wa Africa hatukuwahi kuwa na Historia za ushoga miaka ya nyuma, Asili ya ushoga ni kwa wazungu huko ndipo ushoga ulipozaliwa Ila Mahali Africa tulipokosea ni kutawaliwa na wazungu alafu wakatuachia Tamaduni zao Hadi sasa tumezishika na tukaacha Tamaduni zetu

Na moja kati ya silaha kuu ya wazungu inayotumika kutuharibia vijana ni Internet na Utandawazi, kwa sasa Internet ndio imekuwa chanzo kikuu cha watoto Hadi vijana kujifunza michezo ya hatari, kizazi za 2000 Hadi 1998, mashoga wengi wa umri huo wametengenezwa na tabia za kujifunza mtandaoni.

Simaanishi kwamba Internet ni mbaya Ila Mahali ambapo tulikosea ni kutokuwaa na elimu yetu ambayo ingetufanya tuwe na Internet yetu binafsi satelite zetu binafsi, ambazo haviingiliani na Internet za wazungu, tulitakiwa hata search engines tuewe na za kwetu kama North Korea na watchina vile, Ila kwa kuwa tunapenda VYA bure sasa Internet ya mzungu ndio imejaa na ushoga Ndani yake na ndio maana hata google huwa inasheherekea siku ya mashoga duniani

Ndio maana mwaka 2009 kushuka chini ilikuwa ni Nadra sana kusikia mtu ni shoga hata kesi za Ulawiti kuziskia ilikuwa ni kwa mbinde, maana kipindi hiko Internet ilikuwa ni ya watu wa chache tena kwa Mambo ya muhim, sana hata picha za X Sisi tulimaliza O level 2008 hatuzijui cz Utandawazi Internet ilikuwa bado haijashika kasi

Mwaka 2010 ndipo bala lilipoanza baada ya kuingia simu zenye access za Internet 2011, ikaingia Facebook Tz, 2012 Instagram, 2013 Akaingia mzee wa kazi whatsap hapo sasa ndipo vijana wakaanza kucharuka na kusambaziana video za utupu

2015 swala la Internet likawa ni haki ya KILA mtu hadi watoto wanamiliki smartphone na wanaacces picha za ngono wakiwa watoto, unakuta mototo miaka 8,9--14 anashika simu na kuangalia picha za ngono kinyume na maumbile akitoka hapo anaenda kum tafuta mtoto mwenzie wanajaribu tena kwa zamu na ushahidi ni kesi za watoto wa shule ya msingi hapa Dar kulawitiana kwa zamu nadhani mlishawahi kuskia
 
Una umri gani? Unaanzia 2009 ina maana ulikuwa husomi magazeti ya udaku tangu 2000 uone yale mashoga maarufu jijini dar enzi hizo yalivyotamba kwenye kurasa za mbele yakihojiwa na kuripotiwa tabia zao hizo, au ulikuwa uhudhurii burudani za taarabu uwaone mashoga ya zama hizo? Mashoga mengine yalivaa na kujiremba kama wanawake. Wengine walijiita anti ......, miaka hiyo hakukuwa na simu za smartphone mashoga konk yalikuwepo. Sema siku hizi ndio imechagizwa zaidi na internet
 
Ni ngumu sana kupambana na hili janga, kwasababu wapo watu wanaweka pesa nyingi na nguvu kubwa sana kuhakikisha dunia inazama katika janga hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…