Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance

Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance

Nchi zinazoruhusu ushoga ni nyingi zaidi duniani,sisi tunaopiga piga kelele tunafirana kimya kimya wakati wazungu wanafirana Kwa uwazi.kila mwanamume alinde familia yake,hili sio swala la jamii tena ni personal my matter
Bora hata usemee wee.
huwa nashangaa sana jinsi namna watu wanavyo pinga ushoga ila cha ajabu unazidi kukua na kuongezeka kwa kasi.

Sielewi ni nn.
 
Nchi zinazoruhusu ushoga ni nyingi zaidi duniani,sisi tunaopiga piga kelele tunafirana kimya kimya wakati wazungu wanafirana Kwa uwazi.kila mwanamume alinde familia yake,hili sio swala la jamii tena ni personal my matter
Hahaha. Kimya kimya
 
Nakushauri uache kujitia wewe ni mtaalam wa vitu usivyovijua. Hapa umeposha kabisa. 1. Kuna watu wanazaliwa na hitilafu kwenye sex organs na hormones. Hawa hata uwape malezi gani hawawezi kubadilisha hisia zao. Ni kama ulivyo wewe sasa hivi, kama wewe ni mwanamme, uanze kupewa malezi kuwa kulala na wanawake ni vibaya na unatakiwa kulala na wanaume wenzako. Kuhusu adhabu kali, hili nalo linaonyesha huna ufahamu wa adhabu kwa mambo haya. Hivi unajua kuna nchi ambazo zilikuwa ukikamatwa unafanya ushoga adhabu yake ni kuuawa na mpaka sasa kuna sehemu bado wanafanya hivyo, lakini mashoga bado wanakuwepo?

Tuambie ni homoni gani kwa mwanaume ikiathirika mtu anakuwa shoga?

Kuua ni kosa la jinai na adhabu yake ni kali lakini Watu kila siku wanauana hiyo haimaanishi sheria na adhabu ya wauaji ifutwe.
Kubaka adhabu yake ni kali na kifungo kirefu lakini Watu mpaka leo wanabaka hiyo haimaanishi kuwa sheria za ubakaji zifutwe.

Wewe ndio uache kujifanya mjuaji kwa mambo usiyoyajua.

Athari za sex Organs hazimaanishi mtu awe shoga.
Ddio nikakuambia wewe ukiwa na tatizo la homoni au secondary organ utakubali Kufirwa na kumfira kijana wako kwa kisingizio cha homoni imbalance?
 
Ni kama ishu ya Wanaume kupenda wanawake wengi. Hilo sio tatizo la homoni isipokuwa na maamuzi na kujiendekeza
We naye punguza ujuaji, kuna association between levels of testosterone concentration kwa wanaume na increase in levels of libido..... and as you know libido kubwa inapelekea more sexual encounters.

Source: The relationship between libido and testosterone levels in aging men - PubMed

Hata hao wanaojibadilisha muonekano kuwa wa kike huwa wanakunywa tabs za estrogen or rather Testosterone-suppressing drugs!! Ndio unakuta sauti inakua nyembamba, anaota hips na kalio, ndevu hazioti n.k

Mambo ya sayansi waachie wanasayansi.
 
Here comes mtibeli, kuna hao wenye maumbo yenye tabia za kike hao ni nini?

Yaani unakuta anarembua, anavyotembea, anavyoongea, anavyobinua midomo na kulegeza vidole gesture zote za kike, toka utotoni.
 
We naye punguza ujuaji, kuna association between levels of testosterone concentration kwa wanaume na increase in levels of libido..... and as you know libido kubwa inapelekea more sexual encounters.

Source: The relationship between libido and testosterone levels in aging men - PubMed

Hata hao wanaojibadilisha muonekano kuwa wa kike huwa wanakunywa tabs za estrogen or rather Testosterone-suppressing drugs!! Ndio unakuta sauti inakua nyembamba, anaota hips na kalio, ndevu hazioti n.k

Mambo ya sayansi waachie wanasayansi.

Acha kudanganya Watu.
Basi hao Wadada wenyewe wangekunywa hivyo vidonge ili wawe na mashepu kwa wale wanaopenda, na njia ya kufanya surgery isingekuwa maarufu.
 
Hakuna ugonjwa wa akili hapo Mkuu.
Wapo mashoga ni magenius, matajiri, wagunduzi na madaktari wa kiwango cha juu.

Ushoga ni uchafu na Ushetani tuu
Labda mabasha.Una akili timamu unakuaje shoga Sasa.
Shoga ni mwanaume aliyeondolewa uanaume ( humiliation ritual au sadaka ya kujimaliza) uanaume ni utu wa ndani.
 
Here come mtibeli, kuna hao wenye maumbo yenye tabia za kike hao ni nini?
Yaani unakuta anarembua, anavyotembea, anavyoongea, anavyobinua midomo na kulegeza vidole gesture zote za kike, toka utotoni.

Hayo ni malezi tuu.
Ukitaka ûjue hayo ni malezi na tabia za kuiga hata wewe unaweza igiza hivyo na ukawa hivyo na haina uhusiano na Homoni.
 
Nina kuhakikishia kuwa siku ushoga ukikubalika kwenye jamii na duniani. Utashangaa Baba na kijana wake wanafirana. Au Mama na binti yake wanasagana.
This is non sense mtu akitaka kulala na mwanaume au mwanamke mwenzake it's purely fantasy, curiosity au mtazamo na sio UHARIBIFU. Same to utafiti wa MEWATA 2016 ulisema katika kila wanawake 3 basi wawili wanaingiliwa kinyume na maumbile hapa Tanzania. Je ina maana hao 2/3 ama 60% ya wanaume wa Tanzania wanaweza waingilia mama zao au dada zao?

Masuala ya kihisia yasihusishwe na ugonjwa, ukichaa, uharibifu n.k
 
Back
Top Bottom