Bora hata usemee wee.Nchi zinazoruhusu ushoga ni nyingi zaidi duniani,sisi tunaopiga piga kelele tunafirana kimya kimya wakati wazungu wanafirana Kwa uwazi.kila mwanamume alinde familia yake,hili sio swala la jamii tena ni personal my matter
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii mbona hatari sasa.Yote hayo ni magonjwa ya akili
Hahaha. Kimya kimyaNchi zinazoruhusu ushoga ni nyingi zaidi duniani,sisi tunaopiga piga kelele tunafirana kimya kimya wakati wazungu wanafirana Kwa uwazi.kila mwanamume alinde familia yake,hili sio swala la jamii tena ni personal my matter
Nakushauri uache kujitia wewe ni mtaalam wa vitu usivyovijua. Hapa umeposha kabisa. 1. Kuna watu wanazaliwa na hitilafu kwenye sex organs na hormones. Hawa hata uwape malezi gani hawawezi kubadilisha hisia zao. Ni kama ulivyo wewe sasa hivi, kama wewe ni mwanamme, uanze kupewa malezi kuwa kulala na wanawake ni vibaya na unatakiwa kulala na wanaume wenzako. Kuhusu adhabu kali, hili nalo linaonyesha huna ufahamu wa adhabu kwa mambo haya. Hivi unajua kuna nchi ambazo zilikuwa ukikamatwa unafanya ushoga adhabu yake ni kuuawa na mpaka sasa kuna sehemu bado wanafanya hivyo, lakini mashoga bado wanakuwepo?
Cocastic akiingia kwenye mahakama ya watibeli hatoki salama mtekeleza hukumu niwe mimi
Bora hata usemee wee.
huwa nashangaa sana jinsi namna watu wanavyo pinga ushoga ila cha ajabu unazidi kukua na kuongezeka kwa kasi.
Sielewi ni nn.
Kwann isiingie akilini? Hivi rafiki wa shoga anayekaa nae mchana, na huyu jamaa anaye mlala usiku yupi ana afadhari?
UNAFIKI wabongo unawasumbua.
Mwanamke mwenye maumbile ya kiume sio shoga,
We naye punguza ujuaji, kuna association between levels of testosterone concentration kwa wanaume na increase in levels of libido..... and as you know libido kubwa inapelekea more sexual encounters.Ni kama ishu ya Wanaume kupenda wanawake wengi. Hilo sio tatizo la homoni isipokuwa na maamuzi na kujiendekeza
Yote hayo ni magonjwa ya akili
Duh!
We naye punguza ujuaji, kuna association between levels of testosterone concentration kwa wanaume na increase in levels of libido..... and as you know libido kubwa inapelekea more sexual encounters.
Source: The relationship between libido and testosterone levels in aging men - PubMed
Hata hao wanaojibadilisha muonekano kuwa wa kike huwa wanakunywa tabs za estrogen or rather Testosterone-suppressing drugs!! Ndio unakuta sauti inakua nyembamba, anaota hips na kalio, ndevu hazioti n.k
Mambo ya sayansi waachie wanasayansi.
Labda mabasha.Una akili timamu unakuaje shoga Sasa.Hakuna ugonjwa wa akili hapo Mkuu.
Wapo mashoga ni magenius, matajiri, wagunduzi na madaktari wa kiwango cha juu.
Ushoga ni uchafu na Ushetani tuu
Roho ya shetani ndani mwake kupitia makuziHere come mtibeli, kuna hao wenye maumbo yenye tabia za kike hao ni nini?
Yaani unakuta anarembua, anavyotembea, anavyoongea, anavyobinua midomo na kulegeza vidole gesture zote za kike, toka utotoni.
Here come mtibeli, kuna hao wenye maumbo yenye tabia za kike hao ni nini?
Yaani unakuta anarembua, anavyotembea, anavyoongea, anavyobinua midomo na kulegeza vidole gesture zote za kike, toka utotoni.
Labda mabasha.Una akili timamu unakuaje shoga Sasa.
Shoga ni mwanaume aliyeondolewa uanaume ( humiliation ritual au sadaka ya kujimaliza) uanaume ni utu wa ndani.
This is non sense mtu akitaka kulala na mwanaume au mwanamke mwenzake it's purely fantasy, curiosity au mtazamo na sio UHARIBIFU. Same to utafiti wa MEWATA 2016 ulisema katika kila wanawake 3 basi wawili wanaingiliwa kinyume na maumbile hapa Tanzania. Je ina maana hao 2/3 ama 60% ya wanaume wa Tanzania wanaweza waingilia mama zao au dada zao?Nina kuhakikishia kuwa siku ushoga ukikubalika kwenye jamii na duniani. Utashangaa Baba na kijana wake wanafirana. Au Mama na binti yake wanasagana.
Mtu yeyeto anaekojolewa hawezi kuwa smart.Mabasha ni mashoga pia. Ukisikia shoga hapa tunamaanisha mfanyaji, mfanywaji na wanaofanyana.