DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Bado sana. Mpaka siku binti au dada anakumbwa na masaibu haya ndiyo mtu unashtuka. Mfumo dume bado unatawala japo nimeona hata baadhi ya wanawake wenyewe wanaunga mkono. Badooo!

Kuna pattern flani ya mabinti kukuzwa huku wakiamini kuwa sexualized ni kitu cha kawaida. Aidha kama sehemu ya maisha ya kawaida ama kupata chochote wanachokitaka. Kwa hiyo siwashangai
 
View attachment 2791151
Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu:

Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui, hivyo wale Beach Boys wanaokodisha maboya huingia nao kwenye maji kwa lengo la kuwafundisha.

“Kinachofuata sasa, Beach Boys hupeleka boya hadi kwenye kina kirefu, wakifika huko kijana huomba apewe penzi huku akimtishia mdada kuwa akigoma anamuachia afe.

“Mdada akijifanya mbishi anazamishwa, anakunwya maji kidogo kisha anaibuliwa, akishaona mlango wa kuzimu anakubali kiulainii. Kwa staili hii wadada wengi wamepewa mimba na kuambukizwa magonjwa.”

Mmoja wa mabinti aliyewahi kufanyiwa mchezo huo aliyeomba hifadhi ya jina lake alidai kuwa, kuna wakati alifika na wenzake kwa lengo la kufundishwa kuogelea lakini kilichompata hatasahau.

“Mimi kila wakati nikienda kule beach natamani sana kuogelea lakini nilikuwa siwezi ndo nikaambiwa wale vijana wanaokodisha yale maboya ukitaka wanakufundisha.

“Siku moja nikaenda pale, nikaongea na kijana mmoja ambaye alikubali kunifundisha kwa malipo ya shilingi elfu tano. Wakati ananifundisha akawa ananipeleka kwenye sehemu yenye maji mengi, tukaenda mbali sana ambako nisingeweza kurudi peke yangu.

“Huko akaanza kunitaka nimpe penzi huku akisema hata nisipomlipa, kwa kweli nilichangayikiwa. Wakati najifikiria alishaanza kunichezea kisha akanibaka,” alidai binti huyo.​
Mbona hio chupi sijaiona🧐
 
Mimi kwa hili serikali ni lazima imkamate huyu kijana ili iwe fundisho kwa wengine picha yake inaonekana wazi kwanini wanavumbia macho haya mambo? kuna watu wanakula miaka 30 kwa kubaka na ushahidi wa kuunga unga, Hawa vijana hakuwezi kuwa na clip namna hii inatembea halafu watu wanafumbia macho, na nasema hawa vijana wasiachwe. Ziko wapi Ngo za wanawake sijui haki za binadamu? wanafanya nini? picha hiyo hapo kamateni iwe funzo upumbavu kama huu kufanyiwa watoto wa kike waziwazi. Najuwa na wanawake kuna kujifunza kwanini unakubali kuingia majini na watu huwajui.
 
Uko sahihi kabisa, Hawa wengi wao ni vijana balehe waliokosa malezi na makuzi sahihi na matokeo yake wanajidanganya na kudanganywa vilevile. Mwisho wa siku ni hasara kwao kwa utitiri wa maradhi, mimba za utotoni na kisha labda vifo na kutuachia baadhi ya Yatima tunaanza kuhangaika nao. Mtu mmoja amesema niachane na haya nishughulike na Makundi ya wenye uhitaji. Na mm nikamrejesha kwenye genesis ya baadhi ya watu wa makundi hayo. Sijui kama kanielewa hoja yangu. Clegy

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Kizazi hiki cha singeli amapiano
Kinaleleka kwani
Kishapotea kwanza hawasiki hawaambiliki

Ova
 
Kwann huwa wanaenda huko beach? Afu hawakomi tyuuh. Khaaaj
Wakitoka hapo wanaenda wavuvi kmp
Wakitoka hapo element kudanga,wakitoka hapo kidimbwi wakitoka kidimbwi tabata
Ukiwaona kesho yake wamechakaaa

Ova
 
Back
Top Bottom