DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Bado sana. Mpaka siku binti au dada anakumbwa na masaibu haya ndiyo mtu unashtuka. Mfumo dume bado unatawala japo nimeona hata baadhi ya wanawake wenyewe wanaunga mkono. Badooo!

Kuna pattern flani ya mabinti kukuzwa huku wakiamini kuwa sexualized ni kitu cha kawaida. Aidha kama sehemu ya maisha ya kawaida ama kupata chochote wanachokitaka. Kwa hiyo siwashangai
 
Mbona hio chupi sijaiona🧐
 
Mimi kwa hili serikali ni lazima imkamate huyu kijana ili iwe fundisho kwa wengine picha yake inaonekana wazi kwanini wanavumbia macho haya mambo? kuna watu wanakula miaka 30 kwa kubaka na ushahidi wa kuunga unga, Hawa vijana hakuwezi kuwa na clip namna hii inatembea halafu watu wanafumbia macho, na nasema hawa vijana wasiachwe. Ziko wapi Ngo za wanawake sijui haki za binadamu? wanafanya nini? picha hiyo hapo kamateni iwe funzo upumbavu kama huu kufanyiwa watoto wa kike waziwazi. Najuwa na wanawake kuna kujifunza kwanini unakubali kuingia majini na watu huwajui.
 
Kizazi hiki cha singeli amapiano
Kinaleleka kwani
Kishapotea kwanza hawasiki hawaambiliki

Ova
 
Kwann huwa wanaenda huko beach? Afu hawakomi tyuuh. Khaaaj
Wakitoka hapo wanaenda wavuvi kmp
Wakitoka hapo element kudanga,wakitoka hapo kidimbwi wakitoka kidimbwi tabata
Ukiwaona kesho yake wamechakaaa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…