DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kizazi hiki cha singeli amapiano
Kinaleleka kwani
Kishapotea kwanza hawasiki hawaambiliki

Ova
mbona unakata tamaa mapema sana, siso sote tushakuwa wachafu sana ujanani huko ila tulisaidiwa tukabadilika na tumekuwa watu wema. mtu yeyote hata hao unaowaona wamepotea wanaweza kubadilika. ila cha msingi kuongelea hapa ni suala la jinai ya ubakaji, hilo linatakiwa lipigwe vita na kila mtu.
 
Mimi ngoja niandike niamini naye mwandikia ni waziri. Picha ya huyo kijana inaonekana hapo wazi na haya mambo yamekuwa ynazungumzwa kwa muda mrefu sana lakini hili la mtoto wa kike kufanyiwa hadharani na unamuona anatoka akiwa shocked ni zaidi ya ukatili. Naomba sana uanze na huyu kijana anayeonekana kwenye picha iwe funzo kwa wengine huyu ni mbakaji tena anaonekana tu wala sio mara ya kwanza. Naomba sana sheria kali sana zichukuliwe ni hatari. Unaweza kusikia mambo haya yanafanyika kwa siri lakini haya yako public na hii clip imetembea bahati mbaya sana hatujasikia sauti ya ukali kutoka mamlaka kuliongelea hili.
 
Ova Ova Ova
Ova nyingi mno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1666][emoji1666]
Nina watoto wawili wa kiume na wa kike....mpk leo hii hawajui singeli wala amapiano ni nini
Mitoto sahv kila unayemuliza role model wako nani anakuambia msanii wa amapiano,sjui singeli bongo movie
Tatizo hilo tunalo kwenye taifa

Ova
 
Nina watoto wawili wa kiume na wa kike....mpk leo hii hawajui singeli wala amapiano ni nini
Mitoto sahv kila unayemuliza role model wako nani anakuambia msanii wa amapiano,sjui singeli bongo movie
Tatizo hilo tunalo kwenye taifa

Ova
Duuh mkuu upo strictly sana inaelekea...!!???
 
Kizaz hiki siyo mkuu
Kizaz hiki inatakiwa nguvu ya ziada
Maisha ya anasa,fursa zimeelekezwa
Kwenye anasa
Watoto nao wanaona fursa huko kumbe wanapotea

Ova
 
HIVI hyo k si inaisha viranish kbsa na nihatar kwa michubuko na maambukz

Maana hyo chumvi na huku mdudu unasokomezw asee nyie wadada mnajitafutia ukiwimw wa bure kaa utulie , ishi nchi kavu tuu
 
Wasichana na wanawake wanafahamu sana wanakwenda kufaya nini huko.

Huko ni ushetani mtuou, wasichana kwa wavulana na mkwao wanayajuwa.

Hivi mzazi unamruhusu vipi mtoto wako wa kike mwanafunzi kwenda huko peke yake au na wasichana wenzake bila "guardians".


Sasa ukute waziri anayehusika na maadili ya jamii, alikotokea na au alivyokulia mambo ya ngono nje ya ndoa ni kawaida tu.

Jamii imemomg'onyoka kimaadili na inaendelea kumong'onyoka. Hayo mambo yanaanzia nyumbani, beach kumalizia tu.
 

Yaani hizi NGO uchwara zimekomalia mambo mengine ila ishu sensitive kama hizi wanazipita tu kama awaoni.

Labda wanafaidika.

Coco beach, Kawe Uninio Kigamboni, sio sehemu salama kwa watoto wa kike now days.

Beach boyz ni zaidi ya watu wasiojulikana
 
Mh. Tunashukuru kama umelipokea hope utatumia vyombo vyako kuchunguza hili maana video za matukio hayo zimekuw zikiine ,
[emoji120]
 
Umenichekesha sana ulivyosema neno "Mcharuko" 😂

Ila ni kweli... wengi wao huwa wanatoka uswahilini, wanakodi magari na bajaj na huwa ni micharuko kweli sio uongo
Wanawake wote kwanza wanaoendaga huko na kutaka fundishwa ogelea huwa ni micharuko tu
Acha wapelekewe moto shauri zao

Ova
 
Mambo mengine ni kujitakia.

Kwani ni lazima kuogelea na hao maboya??

Mbona huku tunapiga mbizi bila maboya na hakuna baya.
 
Wakitoka hapo wanaenda wavuvi kmp
Wakitoka hapo element kudanga,wakitoka hapo kidimbwi wakitoka kidimbwi tabata
Ukiwaona kesho yake wamechakaaa

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanakua pweche pweche.
 
Nyingi zipo katika kubomoa maadili siyo kujenga maadili.

Hujamsikia Mwakyembe?
Hakuna cha ngo
Aina ya maisha pia sahvv watu wanayoishi
Kuanzia asubuhi radio znapiga miziki tuuu,matamasha kila kukicha
Kila mtoto anatak kuwa kama zch au mbto
Mzaz kutwa yuko kwenye singeli na vicoba unategemea mtoto atakuwaje

Ova
 
Umenichekesha sana ulivyosema neno "Mcharuko" [emoji23]

Ila ni kweli... wengi wao huwa wanatoka uswahilini, wanakodi magari na bajaj na huwa ni micharuko kweli sio uongo
Miaka yetu tulikuwa na beach party
Lkn hakukuwa na mambo haya

Siku hizi ngono imekuwa ajira rasmi
Ngono inafanyika wazi na kutangazwa
Wazi kabisa
Kizaz cha sahv nakionea huruma

Ova
 
Hakuna cha ngo
Aina ya maisha pia sahvv watu wanayoishi
Kuanzia asubuhi radio znapiga miziki tuuu,matamasha kila kukicha
Kila mtoto anatak kuwa kama zch au mbto
Mzaz kutwa yuko kwenye singeli na vicoba unategemea mtoto atakuwaje

Ova
Tatizo au matatizo yanajulikna, suluhisho nini? Hilo ndilo la msingi.

Au anangonjwa mpaka Rais aingilie?

Wizara ya Ustawi qa jamii inafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…