DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'


"Mkiangalia"

Kama nilikuwa na mkeo tukiangalia kakumbia ni sawa, nachosema ni kwamba, Hawa wakina Dada wana wajibu wa kujilinda.

Haya mambo nayasikia toka nina miaka 30, na sasa nina over 50, yameandikwa sana sana, imetosha.

Hawa wadada wana wajibu wa kujilinda maana wahuni wapo siku zote.

Nani kakwambia wanavutwa? Wanaingia wenyewe kwa hiyari yao na wanasogea mbali kwa kutakwa kwao.

Kwa hiyo unafikiri mimi hata kama sijawahi ambiwa nitaacha binti yangu wa 22 years aingie kwenye maji na wanaume nisiowajua?
 
Well said Mkuu

Ni muhimu kuendelea kuwapa Elimu ili waweze kujitambua.

Wanasema Samaki mkunje angali Mbichi
Ahsante Sana. Yaani uongozi ni kazi ya mtihani. Usipoonekana humu utasikia "hawapoooo". Ukionekana humu utasikia "hawana kazi ingine ya maana ya kufanyaaaaa".

Ukielimisha connection ya hicho unachosema humu na kazi yako, sasa hawasikilizi wao wanakuwa wanajua zaidi.... [emoji28][emoji28][emoji28]. Hii inaitwaje jamani???

Maombi, Mungu nisaidie.... Tufike salama....

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Safi umeshusha extended version yake kila mtu aone sura za hao pipo.
Angalia video vizuri. Mtu anaebakwa hawezi kutoa ushirikiano huo,. Angalia anavyomshika jamaa kichwani na shingoni.

Hawa wanawake zenu sijui mademu zenu huwa wanaridhia kutiwa.
Ukute hawataki kulipia wanatoa uchi kama malipo.
 
Waziri Jambo hili limekufikia wewe Na ndie Target sahihi katika suala hili, naamini litafanyiwa kazi haraka iwezekanavyo. Beach maarufu kwa matukio haya zote zinajulikana. kwanini msiwape kazi vijana wa SUMA JKT kufanya Doria katika Beach zote na kutoa adhabu kali kwa wote wanaofanya hiyo michezo. Tutasema hadi lini ili mambo haya yawe sawa.
 
Wao wanamajibu kabla ya majibu yenyewe hayajatoka kwahyo hata ukisemaje wao majibu yao yapo constant 😅😅
Piga kazi Mama achana nao
Kuna watu vichwa ngumu Humu halafu ni keyboard warrior tu 😅😅
 
Mkuu na wewe una shida si bure
 
Hakuna kazi rahisi Mkuu, na ukumbuke hatuwezi kuwa na Uelewa wa pamoja.

Ndiyo maana hata wakati ule Mussa anawapeleka wana Wa Israel Nchi ya Ahadi kuna wengine walianza kukumbuka mikate na Jibini za Misri

Muhimu msichoke kuendelea kutuelimisha

Mungu awasaidie Moyo Mkuu
 
Nashauri ulinzi wa polisi uwe katika maeneo hayo hata huduma za uokoaji. Kwenye nchi za wenzetu sehemu zote za Beach kuna wana usalama na pia waokoaji ikitokea tatizo. Serikali ichukue hatua kuzuia na sio kupokea taarifa za tukio tu. Tukio likishatokea hata hatua zikichukuliwa bado haziwezi kufuta athari au maambukizi yaliyosababisha

Prevention is better than cure
 
Angalia video vizuri. Mtu anaebakwa hawezi kutoa ushirikiano huo,. Angalia anavyomshika jamaa kichwani na shingoni.

Hawa wanawake zenu sijui mademu zenu huwa wanaridhia kutiwa.
Ukute hawataki kulipia wanatoa uchi kama malipo.

Hao wamefanya kosa kufanya mapenzi kwenye public beach. Na ukweli kuhusu beach boys kutomber watoto wa watu kwa kigezo cha kuwafundisha kuogelea uko pale pale. Video zake tu ndo hazijasambaa kwa haraka kaa hii.
 
Nashukuru sana kwa majibu yako na kuguswa na jambo hili. Mimi ni mwanamme lakini ni baba ya watoto wa kike sasa nikuona mambo kama haya najuwa huyu msichana ana ndugu, wazazi ni hatari. Sisi wanaume huwa tunaona sifa kuongelea huu upuuzi ni kama huyu tu kupatwa na camera ndio inaweza kuwa aibu kama anazo, usikute ana family yake labda halafu anatokea kwenye jambo kama hili. Mimi binafsi nimefarijika sana umelichukulia kwa uzito na kuombea kwa Mungu akusaidie hata dogo utaloweza kulifanya liwe faraja kwa hawa wasichana na iwe funzo kwa wanaume wanofanya mambo ya kishenzi iwe hadharani au kwa siri. Huyu kijana akamatwe tena kila siku awe kwenye vyombo vya habari kama mbakaji.
 
Polisi hapo wako kwenye kuwavizia
Wale wanaobanjuana kwenye magari
Na kuwatoa pesa tu
Polisi huko wakuona gari linatikisika
Tu....hao wamekuja

Ova
 
Dkt. Gwajima D ndugu waziri mi maoni yangu juu ya tatizo hilo ni kuwe na utaratibu. Huko baharini wanawake wafundishwe kuogelea na wanawake wenzao na wanaume na wanaume wenzao. Hilo litapunguza kama siyo kukomesha kabisa hili tatizo.
 
Hao wamefanya kosa kufanya mapenzi kwenye public beach. Na ukweli kuhusu beach boys kutomber watoto wa watu kwa kigezo cha kuwafundisha kuogelea uko pale pale. Video zake tu ndo hazijasambaa kwa haraka kaa hii.
Ni sawa. Ninachopinga mimi ni kusema wanabakwa.

Hivi umbake mtu kisha akuache tu, na kesho akufuate tena umbake, na keshokutwa.

Hebu tuacheni kupoteza muda kujadili watu walioamua kufanya umalaya.
Nalog out.
 
Ni sawa. Ninachopinga mimi ni kusema wanabakwa.

Hivi umbake mtu kisha akuache tu, na kesho akufuate tena umbake, na keshokutwa.

Hebu tuacheni kupoteza muda kujadili watu walioamua kufanya umalaya.
Nalog out.

Mkuu wasichana Wengi hua wanaona aibu kusema kitu cha fedheha kama hicho wanaona bora wakae kimya ndo maana huwasikii wahanga wa kubakwa.
 
Kwanza wanapanda kwenye hayo madude ya kupelekwa deep sea kufanyaje ? yaani mdada unayejiheshimu upande kwenye hilo taiti na mkaa yupo nusu uchi na wewe uko nusu uchi wala sio kaka yako arafu unategemea akuache tu? nyie mnao laumu hao vijana wanaofanya huo ujinga unaweza kumucha mke wako akaenda nao beach boy ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…