uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Mabinti hawana shida, usiwabebeshe lawama.
Mabinti wamekwenda beach kwenye starehe kama wanaume waendavyo, tena wapo na wazazi na kaka, wewe umekaa nje beach boy anamvuta ndani alafu anampleleka ndani na ulipo, ana sex naye mkiangalia lakini hamtajua.
SAD.
"Mkiangalia"
Kama nilikuwa na mkeo tukiangalia kakumbia ni sawa, nachosema ni kwamba, Hawa wakina Dada wana wajibu wa kujilinda.
Haya mambo nayasikia toka nina miaka 30, na sasa nina over 50, yameandikwa sana sana, imetosha.
Hawa wadada wana wajibu wa kujilinda maana wahuni wapo siku zote.
Nani kakwambia wanavutwa? Wanaingia wenyewe kwa hiyari yao na wanasogea mbali kwa kutakwa kwao.
Kwa hiyo unafikiri mimi hata kama sijawahi ambiwa nitaacha binti yangu wa 22 years aingie kwenye maji na wanaume nisiowajua?