DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hili limezungumzwa sana, hata kuna siku lilifika kwa viongozi, hao mabinti labda taarifa hazijawafikia au tunasema wageni mjini.
Mabinti wa 2000's wasome gazeti, wasikilize kipindi ITV, wajiunge JF na media za habari?
My dear, hao ukitaka wapata taarifa mlipe MANGE KIMAMBI awapost au Hamisa Mabeto, they dont care of news!
Hata ukitanga kwenye media zote kuwa na tetemekeo la ardhi hawa wanwake watangazie hiyo habari kwa Mange, Zari na Mabeto.
 
Hizi video za wapenzi kabisa hizi . Mtu anabakwa na kakaa style?
 
Mtu anabakwaje na style ileee? Ile style haiwez kuwa justifiable kisayansi kama kabakwa
 
Asante Dr kwa kuliona hili ni janga kubwa sana.

Wanawake wengi wamebakwa ila wanaona aibu kusema jaribu kuweka mitego kwa wale vijana beach boy utawapata wahusika.
 
Wacha kwanza Mh GWAJIMA aende na hili la WANAWAKE kubakwa mbele za wazazi wao coco Beach na Kawe na Kigamboni pale mikadi.
Serikali impatie Mh Gwajima fedha za ku-monitor beaches zote.
bunge litunge sheria kali maana sasa hawa watu wamezidi.
Beach zetu zimekosa watu wa Life saving Guard na Coast Guard.

Mtaani tuna vijana wanafanya kazi za kulinda kama polisi jamii na wamesaidia kupunguza uhalifu.

Nchi za wenzetu kwenye beach za Public kuna kuwa na vijana au watu maalum kwa ajili ya uokozi na ulinzi wa beach. Wanakuwa wamepata mafunzo ya awali ya uokoaji, beach watu wanapoenda kutalii kuna vifo vya kuzama,mtu kuanguka kwenye maji sisi hilo hatuoni.

Beach boys sehemu za wenzetu hawezi hakafanya hicho kitu endapo akijaribu watu wa life guard humkamata na wanapewa vitendea kazi kama boti,life jacket, radio call. Hii inasaidia sana kupunguza matukio maovu na vitendo vya kudhalilisha utu wa mwanamke.
 
Hivi hao wanawake hawakomi tu kwenda huko.

Ova
Inashangaza kuwa wanakosa kutumia akili ndogo tu hata ya mtoto wa miaka mitano. Hawaangalii risks za kina kirefu majini, hawajiulizi kuwa inawezekanaje kumwamini mtu usiyemjua....maswali ni mengi, mwisho tunasema mambo mengine ni ya kujitakia tu.

Vv
 
Bwana Offshore Seamen mawazo mazuri Mhusika kwenye wizara husika anaweza kuchukua hatua.
Pale Salander bridge kumekuwa na uporaji miaka nenda rudi, sasa naona polisi imebid waweke ulinzi 24/7 basi Hata fukwe zetu inawezekana.
Ninacho shangaa wanawake tuliopo mitandaoni hawa shughuliki na issue zetu ni wachche wenzetu wapo page ya Diamond mdhalilishaji wa wanawake.
 
Acha kuamini ujinga ujinga... Wapenzi hao...mbakaji angeruhusu video!??
 
Mkuu wasichana Wengi hua wanaona aibu kusema kitu cha fedheha kama hicho wanaona bora wakae kimya ndo maana huwasikii wahanga wa kubakwa.
Ni wale wanaobakwa baharini tu au hata huku mitaani wanabakwa tu na wanaona aibu kusema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…