DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu wasichana Wengi hua wanaona aibu kusema kitu cha fedheha kama hicho wanaona bora wakae kimya ndo maana huwasikii wahanga wa kubakwa.
Ni wale wanaobakwa baharini tu au hata huku mitaani wanabakwa tu na wanaona aibu kusema?
 
Nimeiangalia tena ile clip mbona naona kama binti amekula mtungi maana baada ya kuipandisha ile nguo yake na kuanza kutembea kutoka baharini ni kama anayumba inawezekana wamekulana kwa maelewano.
 
😂😂😂 wewe umezidi mwenzetu itakuwa unatype uku mnara unasoma
Muhimu, sasa mtu alivyojichanua hivyo mnara unaachaje kusoma 5G!?

Nawaza pale kati ndio ningekuwa mimi, nahangaikia kuendeleza uzao wetu wa group 0 🤣😂
Yaani ni kukaza kama vile mwanafunzi aliyetumwa na kijiji kusoma.😂
 

Mama mbona kama binti mwenyewe anatoa ushirikiano
 
Mh

Mh.inabidi muandae operations maalumu kwa siri kwenye beach zote za dar na watu WA usalama ili kushuhudia na mkiwabaini wahusika na wahanga WA Ivyo vitendo mnawatia kwenye vyombo vya sheria
Hapo mbinu simple tu ni kuandaa watu wa kazi (kitengo) anaandaliwa mdada mbichi kabisa mzoefu wa kazi na mwenye mafunzo ya kuogelea anaenda pale na kujifanya anataka kujifunza kuogelea hapo beach boy mbakaji akiona hicho kibinti anajua ameokota dodo kwenye mnazi anazama nacho maji marefu na kuanza michezo yake hapo hapo binti anafanya yake wanapiga pingu wanasepa naye akataje na wenzake wenye hiyo michezo.
Sema ndo ivo tena idara zetu za usalama nchini mwetu ziko kwa kazi moja tu ya kulinda maslahi ta ccm basi
 
Hapo lazima unyetuke au ukanunue wahaya Buguruni pale ndo bei zao ni elekezi halafu unapewa na receipt ya EFD kabisa.
 
Hili tatizo lishakua kubwa ndiyo maana dolia ilikuaga kali kipindi fulani, hawa jamaa wachukuliwe hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…