Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

W
Watz wengi hawatokuelewa
 
Kwa hiyo ndo mnawabaka?
 
The beginning of the END started when TAL won the chair back in January.

All what is happening is a ripple effect which dizzies the power mongers and leads them into the abssy.

Little do they know.
Unaamaanisha ccmu ni viziw hatupasw wakumbusha ?
 
Bora vibaka kuliko mazezeta
 
Mbona hueleweki,Anza story toka mwanzo tujue unaongelea nini
 
2010 kwenye kampeni za wapinzani demokrasia imebakwa ndio lilikua neno maarufu sana...😜
 
Ingependeza Kichwa cha habari kiwe wazi "ubakaji wa kisiasa" isiwe kama yale magazeti ya udaku kichwa cha habari kijana maarufu amuoa mama mzazi kumbe maudhui ni mchezo wa karata.
 
Tangu jana akili yangu inashindwa kupokea taarifa kuwa Mdude hatunaye tena. Naomba kila nukta isiwe kweli ibakie kuwa ndoto mbaya...

Lakini kama ni kweli, Tanzania chini ya uongozi wa Samia na CCM yake kwa matukio yote yaliyotendwa na Serikali hii na chama chake, wapelekwe ICC at the Hague haraka iwezekanavyo.

Wanaharakati wa Kenya Uganda na watanzania hasa mawakili wa CHADEMA waanzishe mchakato wa mashitaka kama alivyofanya leo Martha Karua. 😢
 
Ubalozi wa marekani umeshaona kitu hapa tz .kitendo cha kutoa warning raia wake ni kwamba nchi hii kuna jambo lipo mbioni ila walishafahamu kinacho kuja kutokea
Nchi zote za Afrika zikiwa zinaingia kwenye chaguzi Marekani hutoa travel warning kwa raia wake

Huwa si kipindi salama kwa watu wao hasa wale wajifanyao wanaharakati kuwa mtu akisafiri kipindi hicho asitegemee usaidizi wa Marekani kama ana mambo yake.

Na si kipindi salama hata kwa wanaharakati hao wakenya ,Uganda au popote kutembelea Tanzania kww mambo yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…