Agatha anyamaze kimya! Wewe unasemaje?alafu baada ya hapo?

Hao wapumbavu watashughulikiwa moja moja mpk waishe, pumbavThe beginning of the END started when TAL won the chair back in January.
All what is happening is a ripple effect which dizzies the power mongers and leads them into the abssy.
Little do they know.
The Mongolian Savage umbwaaa mbusii
Kwenda huko kwa mabwana zenu wazungu na Icc yenu. Vipi Ruto bado mnapeleka??😀Siasa zenu ni kubaka, kuteka na kuvunja raia miguu. Itamsaidia kwenda ICC.
Una akiliNever
Unless wewe ni wa juzi ndio maana unaongea huu tumbo
We have been through a lot as a country na huwezi kuachia vibaka from Kenya and Uganda waje wakate viuno bongo
They tried in Angola and failed miserably
If ruto killings of genZ ilipita, basi kumpapasa nyoro yake Mwangi is nothing
Bado Naamini Mwangi alitakiwa apewe ndefu nene
The scale of criminal operations is usually a significant consideration factor. Unfortunately, the bar is set too high for the ICC to get involved!Sasa basi, hebu tusikilize kwa makini – this ain’t just some regular violation, huu siyo mchezo wa kitoto. Hiki kilichomkuta dada yetu Agatha Namirimu, mwanaharakati shupavu kutoka Uganda, ni kitendo cha kishetani, cha kinyama, na cha kutisha mno – ni ubakaji wa kisiasa, ni attempt ya kuua sauti ya haki, ni jaribio la kuzima moto wa ukombozi wa wanawake wa Kiafrika. Wale wanaodhani tunaweza kukaa kimya tuone mwanamke kama Agatha akivuliwa utu wake kwa nguvu kisa tu anaipigania haki, basi wanajidanganya sana – hell no!
Kitendo hicho hakihusiani na ngono, hakiwezi hata kuitwa tendo la ndoa la kulazimishwa – that’s pure weaponized violence. Ni mfumo wa kisiasa wa kidhalimu unaotumia ubakaji kama zana ya kuzima wapigania haki. Hii ni jinai dhidi ya ubinadamu kwa mujibu wa sheria za kimataifa, na kwa namna ilivyotekelezwa, ni wazi kabisa inafaa kupelekwa moja kwa moja International Criminal Court – The Hague. Na wakifika kule, believe me, hakutakuwa na kucheka cheka – it’s going down.
Tuna ushahidi wa kutosha kuonyesha kwamba huu ulikuwa calculated move, si tukio la bahati mbaya. Kama ilivyobainishwa kwenye Rome Statute ya mwaka 1998, ambayo ICC huitumia, ubakaji unaotokea katika muktadha wa kisiasa, au kama sehemu ya mashambulizi ya kijumla dhidi ya raia, ni crime against humanity. Ibara ya 7(1)(g) inatamka wazi – hiyo ni jinai. Na siyo tu aliyembaka atabeba msalaba, bali hata waliotengeneza mazingira, waliokaa kimya, waliotoa maagizo kwa njia za panya – wote watavuliwa heshima, na kwa mikono ya haki ya kimataifa, watachukuliwa kama criminals wakubwa.
Agatha siyo target ya kwanza. Lakini tunasema leo: she better be the last. Tumechoka kuona wanaharakati wetu wakiishi kwa hofu, wanawake wetu wakidhalilishwa kwa sababu tu ya kusema ukweli. Ukiangalia muktadha mzima, ni kama serikali imeamua kucheza na miili ya watu kama ngoma – but this time, we ain’t playing! Tunaitaka ICC iingilie sasa, si kesho, si wiki ijayo – right now!
Na wanasema sheria haina macho, lakini leo sheria inatazama na hasira. Sheria haitasema "pole", itasema "mshitakiwa simama kizimbani." Tunaomba mashirika ya kimataifa, mashirika ya haki za binadamu, na mabalozi wanaojidai wanatetea haki za wanawake – come through or shut up forever. Hii siyo issue ya Uganda peke yake – ni ishara ya shambulizi kwa wanawake wote wa Kiafrika, kwa wanaharakati wote wanaodai accountability.
Na kwa wale waliomfanyia hivi Agatha, mtajua kuwa haki haikimbiwi, haki ni kama ghost – inawinda hadi upate justice. Kila tone la damu, kila kilio chake, kila jicho lililomwona analia – limeandika mashtaka ambayo hayafutwi hata na miaka elfu moja. Na tukisema ICC itakuja, we mean it – and they don’t play.
Enough is enough. Sauti ya Agatha itakuwa moto wa mapinduzi. Let justice rain.
Sasa basi, hebu tusikilize kwa makini – this ain’t just some regular violation, huu siyo mchezo wa kitoto. Hiki kilichomkuta dada yetu Agatha Namirimu, mwanaharakati shupavu kutoka Uganda, ni kitendo cha kishetani, cha kinyama, na cha kutisha mno – ni ubakaji wa kisiasa, ni attempt ya kuua sauti ya haki, ni jaribio la kuzima moto wa ukombozi wa wanawake wa Kiafrika. Wale wanaodhani tunaweza kukaa kimya tuone mwanamke kama Agatha akivuliwa utu wake kwa nguvu kisa tu anaipigania haki, basi wanajidanganya sana – hell no!
Kitendo hicho hakihusiani na ngono, hakiwezi hata kuitwa tendo la ndoa la kulazimishwa – that’s pure weaponized violence. Ni mfumo wa kisiasa wa kidhalimu unaotumia ubakaji kama zana ya kuzima wapigania haki. Hii ni jinai dhidi ya ubinadamu kwa mujibu wa sheria za kimataifa, na kwa namna ilivyotekelezwa, ni wazi kabisa inafaa kupelekwa moja kwa moja International Criminal Court – The Hague. Na wakifika kule, believe me, hakutakuwa na kucheka cheka – it’s going down.
Tuna ushahidi wa kutosha kuonyesha kwamba huu ulikuwa calculated move, si tukio la bahati mbaya. Kama ilivyobainishwa kwenye Rome Statute ya mwaka 1998, ambayo ICC huitumia, ubakaji unaotokea katika muktadha wa kisiasa, au kama sehemu ya mashambulizi ya kijumla dhidi ya raia, ni crime against humanity. Ibara ya 7(1)(g) inatamka wazi – hiyo ni jinai. Na siyo tu aliyembaka atabeba msalaba, bali hata waliotengeneza mazingira, waliokaa kimya, waliotoa maagizo kwa njia za panya – wote watavuliwa heshima, na kwa mikono ya haki ya kimataifa, watachukuliwa kama criminals wakubwa.
Agatha siyo target ya kwanza. Lakini tunasema leo: she better be the last. Tumechoka kuona wanaharakati wetu wakiishi kwa hofu, wanawake wetu wakidhalilishwa kwa sababu tu ya kusema ukweli. Ukiangalia muktadha mzima, ni kama serikali imeamua kucheza na miili ya watu kama ngoma – but this time, we ain’t playing! Tunaitaka ICC iingilie sasa, si kesho, si wiki ijayo – right now!
Na wanasema sheria haina macho, lakini leo sheria inatazama na hasira. Sheria haitasema "pole", itasema "mshitakiwa simama kizimbani." Tunaomba mashirika ya kimataifa, mashirika ya haki za binadamu, na mabalozi wanaojidai wanatetea haki za wanawake – come through or shut up forever. Hii siyo issue ya Uganda peke yake – ni ishara ya shambulizi kwa wanawake wote wa Kiafrika, kwa wanaharakati wote wanaodai accountability.
Na kwa wale waliomfanyia hivi Agatha, mtajua kuwa haki haikimbiwi, haki ni kama ghost – inawinda hadi upate justice. Kila tone la damu, kila kilio chake, kila jicho lililomwona analia – limeandika mashtaka ambayo hayafutwi hata na miaka elfu moja. Na tukisema ICC itakuja, we mean it – and they don’t play.
Enough is enough. Sauti ya Agatha itakuwa moto wa mapinduzi. Let justice rain.
ata akiongea, then what next?Agatha anyamaze kimya! Wewe unasemaje?
YEAAAH!Never
Unless wewe ni wa juzi ndio maana unaongea huu tumbo
We have been through a lot as a country na huwezi kuachia vibaka from Kenya and Uganda waje wakate viuno bongo
They tried in Angola and failed miserably
If ruto killings of genZ ilipita, basi kumpapasa nyoro yake Mwangi is nothing
Bado Naamini Mwangi alitakiwa apewe ndefu nene
ongeza barua zingine 4 kama hazijatoshaAkisafiri ICJ wanamnyaka ngoja warrant itolewe.
Is justice a flame lit only in Tanzanian skies?Enough is enough. Sauti ya Agatha itakuwa moto wa mapinduzi. Let justice rain.
Nyinyi vinyamkera chawaccm vichawi mmeitumbukiza ccm chooni kwa mambo yenu ya kishetaniongeza barua zingine 4 kama hazijatosha
A good dancer must no a proper time to leave the stage.Never
Unless wewe ni wa juzi ndio maana unaongea huu tumbo
We have been through a lot as a country na huwezi kuachia vibaka from Kenya and Uganda waje wakate viuno bongo
They tried in Angola and failed miserably
If ruto killings of genZ ilipita, basi kumpapasa nyoro yake Mwangi is nothing
Bado Naamini Mwangi alitakiwa apewe ndefu nene
ccm mpaka wajukuu wako wataiachaNyinyi vinyamkera chawaccm vichawi mmeitumbukiza ccm chooni kwa mambo yenu ya kishetani
You said it before. Huyo mtu hastahili HAKI yoyote! Au tuseme kapata HAKI stahiki, au sio!ata akiongea, then what next?
si ndo maaana nmemwambia aongeze barua, naona kama hazitoshi unamkumbuka bob amsterdam 🤣You said it before. Huyo mtu hastahili HAKI yoyote! Au tuseme kapata HAKI stahiki, au sio!
Sioni maana ya sisi kuvutana juu ya mambo kama haya, ni bora tuupe muda utimize wajibu wake; one way or another. Mkifanikiwa kuwa juu, kama ilivyo sasa; all the better for you, and the worse for the rest of us.
SAWA, mkuu wangu 'stakehigh'?
BTW. Phil Collins alifariki lini, mkuu; naona ktk hilo tupo pamja zaidi.
ukimaliza kelele mchangie mwangi akatibiweMakala chawaccm Polisiccm wameitumbukiza ccm chooni inanuka uvundo wa laana