Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

Tunaweza kuchukulia ushabiki kwenye hili, ila Kuna watu wataenda jela kama sio kupinduliwa yote Kwa yote tuna watu waliopewa kuongoza mifumo lakini ni wapumbavu sana, Kila siku wanafanya makosa ya kijinga mpaka inakela.
Ni wapumbavu kabisa! Ukiona nchi inaaachia wapumbavu km mwijaku wanaisemea serikali ujue ni hatari sana! Machawa wajinga sana!
 
Naona ujumbe umepenya sawasawa 😂

The morality of the law is justice
Otherwise is not the law.

😂 So long as we are infinite no system, no Iuris, no nation, no king no prince will last forever. Either by natural death or by force infinites will perish.

Ufupi wa maisha yako yasikutie upofu ukadhani Kila kitu kitaisha na wewe. Everything changes nothing remain😁😁😁
Everything you said applies to you as well

You will never live to see what you are trying to fantasize

We are not Kenya…. We are no nonsense cpnutry when it comes to mtoto kuchezea sharubu sa baba

Kenya is a family of kambale - baba, mama na watoto wote wana ndevu

We ain’t
 
Everything you said applies to you as well

You will never live to see what you are trying to fantasize

We are not Kenya…. We are no nonsense cpnutry when it comes to mtoto kuchezea sharubu sa baba

Kenya is a family of kambale - baba, mama na watoto wote wana ndevu

We ain’t
Mipaka iliyopo haikuumbwa na Mungu, mataifa yaliyopo hayakufanywa na Mungu ni watu walikaa tu kule Berlin Kwa maslahi Yao wakaitengeneza. Usipumbazwe Nayo ndugu.

Taifa lilizaliwa litakufa, utawala umezaliwa utakufa, lugha inazaliwa itakufa.
Utawala uliokuwepo miaka mitano nyuma sio huu uliopo sasa.

Usidanganyike na hali iliyopo ukidhani itabaki hivi, ufupi wa maisha yako usikufanye ukakosa maono, uzima ulionao usikupe kiburi kudhani Dunia ilikuwa inakusubiri wewe na itakuwa vile upendavyo😂😂 (in each single second, nothing remain everything change, no matter how long will it be).

Acha kiburi! 😁😁😁😁 siku yako yaja

The fear of death is worse than the death itself. nadhani hiki ndicho kinatutesa tukitapatapa
 
Wakuu nani kabakwa? Kabakwa na nani? Naona analaumiwa Samia. Samia ndo kabaka? Video iko wapi?

#SayNoToRape 📌📌📌📌📌
😂😂,Hawa watu wa ajabu Sana,,mwingine kaachiwa halafu akatafuta watu wampige makonde mawili wamtie nundu halafu anadai kateswa sana
 
Ya nini, wakati umekwisha eleza mwenyewe kuwa sina HAKI juu ya chochote?
Wenye HAKI ni nyinyi, mnaotuamulia haki yetu ni nini!
BTW. hivi kweli bado kuna la ziada la ku'share' kati yako na mimi; naona kama tulisha malizana kitambo.
Hujajiandikisha kupiga kura?..!!🤔🙆
 
Udikteta wa M-7 ni kwa sababu ya M-7 akifa ndio basi ila wa huku kwetu ni wa kimfumo hata akiondoka Mama atakae kuja moto ni ule ule
Akifa museven,,General Muhoozi anakamata nafasi hiyo
 

Attachments

  • IMG-20250524-WA0007.jpg
    IMG-20250524-WA0007.jpg
    102.6 KB · Views: 23
Sasa basi, hebu tusikilize kwa makini – this ain’t just some regular violation, huu siyo mchezo wa kitoto. Hiki kilichomkuta dada yetu Agatha Namirimu, mwanaharakati shupavu kutoka Uganda, ni kitendo cha kishetani, cha kinyama, na cha kutisha mno – ni ubakaji wa kisiasa, ni attempt ya kuua sauti ya haki, ni jaribio la kuzima moto wa ukombozi wa wanawake wa Kiafrika. Wale wanaodhani tunaweza kukaa kimya tuone mwanamke kama Agatha akivuliwa utu wake kwa nguvu kisa tu anaipigania haki, basi wanajidanganya sana – hell no!

Kitendo hicho hakihusiani na ngono, hakiwezi hata kuitwa tendo la ndoa la kulazimishwa – that’s pure weaponized violence. Ni mfumo wa kisiasa wa kidhalimu unaotumia ubakaji kama zana ya kuzima wapigania haki. Hii ni jinai dhidi ya ubinadamu kwa mujibu wa sheria za kimataifa, na kwa namna ilivyotekelezwa, ni wazi kabisa inafaa kupelekwa moja kwa moja International Criminal Court – The Hague. Na wakifika kule, believe me, hakutakuwa na kucheka cheka – it’s going down.

Tuna ushahidi wa kutosha kuonyesha kwamba huu ulikuwa calculated move, si tukio la bahati mbaya. Kama ilivyobainishwa kwenye Rome Statute ya mwaka 1998, ambayo ICC huitumia, ubakaji unaotokea katika muktadha wa kisiasa, au kama sehemu ya mashambulizi ya kijumla dhidi ya raia, ni crime against humanity. Ibara ya 7(1)(g) inatamka wazi – hiyo ni jinai. Na siyo tu aliyembaka atabeba msalaba, bali hata waliotengeneza mazingira, waliokaa kimya, waliotoa maagizo kwa njia za panya – wote watavuliwa heshima, na kwa mikono ya haki ya kimataifa, watachukuliwa kama criminals wakubwa.

Agatha siyo target ya kwanza. Lakini tunasema leo: she better be the last. Tumechoka kuona wanaharakati wetu wakiishi kwa hofu, wanawake wetu wakidhalilishwa kwa sababu tu ya kusema ukweli. Ukiangalia muktadha mzima, ni kama serikali imeamua kucheza na miili ya watu kama ngoma – but this time, we ain’t playing! Tunaitaka ICC iingilie sasa, si kesho, si wiki ijayo – right now!

Na wanasema sheria haina macho, lakini leo sheria inatazama na hasira. Sheria haitasema "pole", itasema "mshitakiwa simama kizimbani." Tunaomba mashirika ya kimataifa, mashirika ya haki za binadamu, na mabalozi wanaojidai wanatetea haki za wanawake – come through or shut up forever. Hii siyo issue ya Uganda peke yake – ni ishara ya shambulizi kwa wanawake wote wa Kiafrika, kwa wanaharakati wote wanaodai accountability.

Na kwa wale waliomfanyia hivi Agatha, mtajua kuwa haki haikimbiwi, haki ni kama ghost – inawinda hadi upate justice. Kila tone la damu, kila kilio chake, kila jicho lililomwona analia – limeandika mashtaka ambayo hayafutwi hata na miaka elfu moja. Na tukisema ICC itakuja, we mean it – and they don’t play.

Enough is enough. Sauti ya Agatha itakuwa moto wa mapinduzi. Let justice rain.
 

Attachments

  • IMG-20250524-WA0007.jpg
    IMG-20250524-WA0007.jpg
    102.6 KB · Views: 20
Mipaka iliyopo haikuumbwa na Mungu, mataifa yaliyopo hayakufanywa na Mungu ni watu walikaa tu kule Berlin Kwa maslahi Yao wakaitengeneza. Usipumbazwe Nayo ndugu.

Taifa lilizaliwa litakufa, utawala umezaliwa utakufa, lugha inazaliwa itakufa.
Utawala uliokuwepo miaka mitano nyuma sio huu uliopo sasa.

Usidanganyike na hali iliyopo ukidhani itabaki hivi, ufupi wa maisha yako usikufanye ukakosa maono, uzima ulionao usikupe kiburi kudhani Dunia ilikuwa inakusubiri wewe na itakuwa vile upendavyo😂😂 (in each single second, nothing remain everything change, no matter how long will it be).

Acha kiburi! 😁😁😁😁 siku yako yaja

The fear of death is worse than the death itself. nadhani hiki ndicho kinatutesa tukitapatapa
Tanzania will
Never be Kenya and Kenyans will never be Tanzanians ….. mipaka my foot

Hatutaki upuuzi wa wakenya hapa kwetu

Kama vurugu acha tuzifanye wenyewe kwenye ardhi yetu

We don’t need vibaraka wenye njaa kuja huku

Pambanieni nchi yenu na sisi tutapambania yetu
 
Back
Top Bottom