Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

Kuna mambo yakishafanyika, huwa yanakufanya uwe najisi....ni mambo ya kuyaogopa sana.

Ila nahisi wanataka kumvuruga. Maana ishaleta shida na balaaa
 
Serikali inabaka Msichana kutoka Uganda?🤔
Yule ni kibibi kizembe ugly na hakuna hata wa kumgusa tupu yake

She is ugly and useless

Na hajaguswa takataka yake

AkaMpe Sorous
 
Stori katafute huko mitandaoni utaipata yote

Wewe nanahisi kichwa chako hakipo sawa maana hata unachoandika hukielewi na sijui ni kwanini CCM inapenda kutumia watu ambao hawana akali kama wewe!
vo umejiandikisha kupiga kura lakini
 
Ndiyo. Saikolojia pekee inayo sumbua akili zangu ni hiyo damu ya waTanzania mnayoipangia kuimwaga ili Samia aendelee kuwa madarakani. Hilo linanisumbua sana akili yangu.
basi utasumbuka sana
 
Sasa basi, hebu tusikilize kwa makini – this ain’t just some regular violation, huu siyo mchezo wa kitoto. Hiki kilichomkuta dada yetu Agatha Namirimu, mwanaharakati shupavu kutoka Uganda, ni kitendo cha kishetani, cha kinyama, na cha kutisha mno – ni ubakaji wa kisiasa, ni attempt ya kuua sauti ya haki, ni jaribio la kuzima moto wa ukombozi wa wanawake wa Kiafrika. Wale wanaodhani tunaweza kukaa kimya tuone mwanamke kama Agatha akivuliwa utu wake kwa nguvu kisa tu anaipigania haki, basi wanajidanganya sana – hell no!

Kitendo hicho hakihusiani na ngono, hakiwezi hata kuitwa tendo la ndoa la kulazimishwa – that’s pure weaponized violence. Ni mfumo wa kisiasa wa kidhalimu unaotumia ubakaji kama zana ya kuzima wapigania haki. Hii ni jinai dhidi ya ubinadamu kwa mujibu wa sheria za kimataifa, na kwa namna ilivyotekelezwa, ni wazi kabisa inafaa kupelekwa moja kwa moja International Criminal Court – The Hague. Na wakifika kule, believe me, hakutakuwa na kucheka cheka – it’s going down.

Tuna ushahidi wa kutosha kuonyesha kwamba huu ulikuwa calculated move, si tukio la bahati mbaya. Kama ilivyobainishwa kwenye Rome Statute ya mwaka 1998, ambayo ICC huitumia, ubakaji unaotokea katika muktadha wa kisiasa, au kama sehemu ya mashambulizi ya kijumla dhidi ya raia, ni crime against humanity. Ibara ya 7(1)(g) inatamka wazi – hiyo ni jinai. Na siyo tu aliyembaka atabeba msalaba, bali hata waliotengeneza mazingira, waliokaa kimya, waliotoa maagizo kwa njia za panya – wote watavuliwa heshima, na kwa mikono ya haki ya kimataifa, watachukuliwa kama criminals wakubwa.

Agatha siyo target ya kwanza. Lakini tunasema leo: she better be the last. Tumechoka kuona wanaharakati wetu wakiishi kwa hofu, wanawake wetu wakidhalilishwa kwa sababu tu ya kusema ukweli. Ukiangalia muktadha mzima, ni kama serikali imeamua kucheza na miili ya watu kama ngoma – but this time, we ain’t playing! Tunaitaka ICC iingilie sasa, si kesho, si wiki ijayo – right now!

Na wanasema sheria haina macho, lakini leo sheria inatazama na hasira. Sheria haitasema "pole", itasema "mshitakiwa simama kizimbani." Tunaomba mashirika ya kimataifa, mashirika ya haki za binadamu, na mabalozi wanaojidai wanatetea haki za wanawake – come through or shut up forever. Hii siyo issue ya Uganda peke yake – ni ishara ya shambulizi kwa wanawake wote wa Kiafrika, kwa wanaharakati wote wanaodai accountability.

Na kwa wale waliomfanyia hivi Agatha, mtajua kuwa haki haikimbiwi, haki ni kama ghost – inawinda hadi upate justice. Kila tone la damu, kila kilio chake, kila jicho lililomwona analia – limeandika mashtaka ambayo hayafutwi hata na miaka elfu moja. Na tukisema ICC itakuja, we mean it – and they don’t play.

Enough is enough. Sauti ya Agatha itakuwa moto wa mapinduzi. Let justice rain.
sidhani kama ana ushahidi. mwanamke yeyote mkigombana asiposema umembaka, atasema umemtongoza akakukatalia au una kibamia. hadi zitoke hizo clip walizokuwa wanamchukua wakati wanambaka ndio tutaamini. na ninaamini askari wa tz wasingefanya kitu kama hicho kwa foreigner, never. usisikilize upande wa agatha peke yake.

pia, hao wanaharakati walitumwa na nani kuja hapa? si walitumwa na mashoga kuja kuvuruga nchi, sishabikii ubakaji ila siamini kama ulitokea.
 
sidhani kama ana ushahidi. mwanamke yeyote mkigombana asiposema umembaka, atasema umemtongoza akakukatalia au una kibamia. hadi zitoke hizo clip walizokuwa wanamchukua wakati wanambaka ndio tutaamini. na ninaamini askari wa tz wasingefanya kitu kama hicho kwa foreigner, never. usisikilize upande wa agatha peke yake.

pia, hao wanaharakati walitumwa na nani kuja hapa? si walitumwa na mashoga kuja kuvuruga nchi, sishabikii ubakaji ila siamini kama ulitokea.
View attachment 3343266
Zezeta na Hilo jina Yesu anakuja. Huku unatetea Upumbavu na mauwaji nakuonaga jinga sana. Yesu anaga watu wapumbavu wateteaji wa maovu Kama wewe.
 
Sisi "SPECTATORS" tunasema "WE LOVE THIS"... 😀 😀
Mwenye kuminywa k.en.de na aminywe mpaka ajikojolee, mwenye kama huyo Mungu amsaidie....
Mwenye kuleta fyoko fyoko afyokolewe 😀😀😀
Kama huna ubavu kaa nyumbani upike chapati, moja Shing 500 zimepanda bei..
 
Zezeta na Hilo jina Yesu anakuja. Huku unatetea Upumbavu na mauwaji nakuonaga jinga sana. Yesu anaga watu wapumbavu wateteaji wa maovu Kama wewe.
Now you are displaying your true colour. kwa kukusaidia tu, mtu yeyote anaweza kutoa tuhuma, huyo agata angeweza hata kukuambia wewe ulimbaka, bila kukusikiliza wewe au kupata ushahidi tunatakiwa kukuamini? angeweza tu kusema waliponikamata, mmoja wao alikuwa Kohelethi, huyo ndiye alinibaka. tunatakiwa kumwamini? tusemeje sasa, ID yako imejificha pengine na wewe ni polisi mojawapo waliomkamata kwahiyo tuseme wewe pia ulimbaka? acheni ujinga.

polisi walikuwa kadhaa sio mmoja, kwa sura ya yule dada uliyoiona baada ya kufika uganda, angeingiliwa na mapolisi walau watatu au watano kwa pamoja, angekuwa vile? kuweni wazalendo na nchi yenu, hao wanaharakati wamekuja hapa wametumwa na shirika la mashoga na wazungu kutaka kuvuruga nchi, na wanapenda sana wakiwakuta watu wenye wenge kama wewe ili wawatumie.
 
Back
Top Bottom