Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

Ngoja nikukumbushe, ni jana tu nimekufahamisha kuwa ninaweza kukutunza wewe na familia nzima ukiacha upumbavu wa kutafuta damu ya waTanzania ili uendeshe maisha yako.
inaonekana hujala
 
Ni dalili halisi kabisa ya mtu anayesumbuliwa na damu za watu alizo kwisha mwaga.
we jamaa sio siri una tatizo la saikolojia story zako kila saa dam, ebu tuongelee chama kipya cha upinzan CHAUMMA, si unajua mbowe anatinga pale
 
Kiongozi dunia imekua uwanja wa fujo hakuna anaejali haki za binadamu hata hayo mataifa makubwa yamekuwa kama haya ya kiafrika , Muhoozi juzi kamteka mtu kamuweka kwenye Basement yake na kampiga picha kam-post mitandaoni na hakuna yeyote aliyechukua hatua , mambo yapo ndivyo sivyo Dunia nzima
 
we jamaa sio siri una tatizo la saikolojia story zako kila saa dam, ebu tuongelee chama kipya cha upinzan CHAUMMA, si unajua mbowe anatinga pale
Ndiyo. Saikolojia pekee inayo sumbua akili zangu ni hiyo damu ya waTanzania mnayoipangia kuimwaga ili Samia aendelee kuwa madarakani. Hilo linanisumbua sana akili yangu.
 
Kiongozi dunia imekua uwanja wa fujo hakuna anaejali haki za binadamu hata hayo mataifa makubwa yamekuwa kama haya ya kiafrika , Muhoozi juzi kamteka mtu kamuweka kwenye Basement yake na kampiga picha kam-post mitandaoni na hakuna yeyote aliyechukua hatua , mambo yapo ndivyo sivyo Dunia nzima
Najuwa M7 na Uganda ndiyo 'model' inayofuatwa na Genge linalotusumbua hapa sasa hivi. Kwa hiyo si ajabu hata Bw. Abdul akianza kujitokeza na kutamba kama huyo kichaa wa huko Uganda.
 
Najuwa M7 na Uganda ndiyo 'model' inayofuatwa na Genge linalotusumbua hapa sasa hivi. Kwa hiyo si ajabu hata Bw. Abdul akianza kujitokeza na kutamba kama huyo kichaa wa huko Uganda.
Udikteta wa M-7 ni kwa sababu ya M-7 akifa ndio basi ila wa huku kwetu ni wa kimfumo hata akiondoka Mama atakae kuja moto ni ule ule
 
Kwa hiyo jambo akisema mwanaharakati tu linakuwa la kweli? Unajua malengo yao dhidi ya nchi yako? Tunaweza kuwa na matatizo yetu ya ndani lakini linapokuja suala la Taifa, nitasimama na Taifa langu.
Serekali si nchi, usitake kuchafua nchi kwa kulinda serekali za kishenzi.
 
Udikteta wa M-7 ni kwa sababu ya M-7 akifa ndio basi ila wa huku kwetu ni wa kimfumo hata akiondoka Mama atakae kuja moto ni ule ule
Sijui mkuu. Hiyo NRM kweli itawaachia waganda? Sidhani.

Hapa kwetu kama siyo bahati yetu mbaya sana, safari hii kuna ufinyo kidogo wa kujipenyeza, kama tusipokuwa wajinga.
Nchi hii haijawahi kufikia hali hii, tena mkuu wa nchi akiwa mbovu kiasi kilichopo sasa. Huo "Mfumo" uliolaza akili kiasi hicho, sidhani kuwa una nguvu yoyote.
Kilichopo hapa kwetu sasa hivi ni Genge tu la watu wachache sana wanaosukuma ajenda ya Samia, siyo CCM. CCM inatumika kama jina tu.
 
Mbona hueleweki,Anza story toka mwanzo tujue unaongelea nini
Stori katafute huko mitandaoni utaipata yote
kidumu chama cha mapinduzi 🤣 , wajukuu wako wataondoka na kuiacha ccm
Wewe nanahisi kichwa chako hakipo sawa maana hata unachoandika hukielewi na sijui ni kwanini CCM inapenda kutumia watu ambao hawana akali kama wewe!
 
Wanaofanya huu upuuzi wajue wana watoto,watataka kuoa na kuolewa na wanaweza wakajikuta walibaka wazazi wenzao hao wajukuu watazaliwa wakiwa na laana za kutosha Ndio maana wazee walikuwa wanasisitiza,usioe au kuolewa nyumba ambayo wamewahi kumwaga damu.Hawa watu watambue leo wana nguvu ila kesho watakuwa hawana nguvu maana uzee pia upo.
 
A good dancer must no a proper time to leave the stage.

It's crucial to know when to conclude a performance, even if it's going well, to avoid overstaying and potentially diminishing the impact.

Don't be moved with past presuppositions. 😁

Things are changing nothing remain constant😁
Stupidest comment pf the year

Kakate viuno uone tofauti yq dancer na law enforcement

Mmedekezwa sana wangese nyie
 
Back
Top Bottom