Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

Unaleta ushabiki kweny ubakaji , hii tabia ikikomaa wataanza kubaka hata watuhumiwa
Kwa hiyo jambo akisema mwanaharakati tu linakuwa la kweli? Unajua malengo yao dhidi ya nchi yako? Tunaweza kuwa na matatizo yetu ya ndani lakini linapokuja suala la Taifa, nitasimama na Taifa langu.
 
Samia ni mbabe kinyama. ICC wakienda Tanzania nao kazi iendelee. Kesha sema mwenyewe hataki usumbufu
 
Tuangalie huku na Kule,,,yule msichana ni mrembo alijiamini nini kuja peke yake na anajua anakuja kwenye suala la kisiasa dhidi ya utawala.
 
Enough is enough. Sauti ya Agatha itakuwa moto wa mapinduzi. Let justice rain.
Umekasirika sana, na kulia sana; nasi wengine tumekasirika sana na kulia sana, si kwa sababu ya hayo yaliyompata Agatha pekee; ni hayo yanayo IBAKA nchi yetu kila siku.

Hujatudokeza kilicho mtokea Aghata; pengine ni kwa sababu ya hasira na kulia kwingi kuliko kuingia akilini.

Kama Agatha atapata HAKI, naamini hata sisi wengine tunaobakwa kila siku tutaipata HAKI hiyo hiyo.
Pole kwetu sote.
 
Uwana harakati wakafanyie KWAO siyo kwa jirani sababu KWAO kimekuwa kugumu. Hivyo justification ya hela wanazopewa na na wazungu sasa ni kuja TZ. Polisi msionee HURUMA hata kidogo hao wapuuzi. TZ tunataka amani na siasa zetu tunazijua wenyewe
 
Huna kazi ya kufanya we bwege
 
Uwana harakati wakafanyie KWAO siyo kwa jirani sababu KWAO kimekuwa kugumu. Hivyo justification ya hela wanazopewa na na wazungu sasa ni kuja TZ. Polisi msionee HURUMA hata kidogo hao wapuuzi. TZ tunataka amani na siasa zetu tunazijua wenyewe
Siasa zenu ni kubaka, kuteka na kuvunja raia miguu. Itamsaidia kwenda ICC.
 
Mafi yako umbwa wewe!
 
Umebwabwaja utafikiri kila mtu anamfahamu huyo zombie wako. Km alijilengesha kwa wanaume unategemea nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…