Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

General Muhoozi ana jambo lake nsye kwenye ile nyumba yake ya siri. Mwambie aende akijieleze.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Wewe unayataka hayo, kwa sababu zako; mimi nayataka mengine, kwa manufaa ya nchi yetu. Believe it, hatuwezi kukubaliana katika hili, ndiyo maana nasema tuuachie muda uyasawazishe.
you have all the time on earth, ila kwa saaahv kajiandikishe kupiga kura 🀣
 
you have all the time on earth, ila kwa saaahv kajiandikishe kupiga kura 🀣
Ya nini, wakati umekwisha eleza mwenyewe kuwa sina HAKI juu ya chochote?
Wenye HAKI ni nyinyi, mnaotuamulia haki yetu ni nini!
BTW. hivi kweli bado kuna la ziada la ku'share' kati yako na mimi; naona kama tulisha malizana kitambo.
 
unadeka sana, trump kakoswa risasi ya skio ndo kaupata uraisi nyie michepuko yenu ya kenya imekatazwa kuingia nchini mnalia 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…