CCM salama yao wakubaliane na Wapinzani lini tunaanza kuandika Katiba ya Wananchi(Haraka) kabla hawajajipeleka Mahakama ya Wananchi.Mbowe kama alithibitika anastahili kukamatwa kwa ugaidi ni bora wangemkamatia msibani kule machame na si kwenye tukio la kudai katiba kule Mwanza, serikali mmetuangusha kimataifa na sasa serikali itaumia kiuchumi wa kimataifa na wananchi ndio watakaosaga meno kama enzi si nyingi.
Na vipi kuhusu kesi ya Ole Sabaya. Nayo Serikali iachane nayo?Nawashauri CCM hii kesi waachane nayo...inawaaibisha...watafute njia nyingine bora zaidi ya kumdhibiti Mh. Mbowe na mikutano yake ya kidai katiba mpya.
Hahahaha kwa kweli chadema mna ndoto za kusikitishaGhafula paa nchi mikononi kwa Mabeyo kwa mwaka mmoja.
Ghafula paa uchaguzi na Mbowe mgombea urais.
Ghafula paa wasimamizi wa uchaguzi ni JWTZ.
Ghafula paa MBOWE mshindi
Itakuwaje? CCM tutaanza kutoa siri?
Nani atakubali kuwa Mkiti taifa CCM
Naomba namba ya pusha wakoGhafula paa nchi mikononi kwa Mabeyo kwa mwaka mmoja.
Ghafula paa uchaguzi na Mbowe mgombea urais.
Ghafula paa wasimamizi wa uchaguzi ni JWTZ.
Ghafula paa MBOWE mshindi
Itakuwaje? CCM tutaanza kutoa siri?
Nani atakubali kuwa Mkiti taifa CCM
Serikali imezingua kuanzia kwenye matozo na hii Kanata kamata mama kakufungulia CV yake aiseeMbowe kama alithibitika anastahili kukamatwa kwa ugaidi ni bora wangemkamatia msibani kule machame na si kwenye tukio la kudai katiba kule Mwanza, serikali mmetuangusha kimataifa na sasa serikali itaumia kiuchumi wa kimataifa na wananchi ndio watakaosaga meno kama enzi si nyingi.
Mie bado najiuliza ....hivi serikali ya Tz na polisi wanavyowatendea ukatili wapinzani, je sijui ingetokea nini kama ingekuwa kama tukio la kule Kenya wakati Oginga wa upinzani baada ya uchaguzi, alipokwenda na kuapishwa Uhuru Park,na polisi wa Kenya kuonyesha walivyopevuka kidemokrasia, walimuacha tu na hakuna ghasia, fujo zilizotokea,wala hali ya uvunjifu wa amani iliyotokea kutokana hatua za busara zilizochukuliwa na polisi ....mwisho wake maisha yakaendelea safi na Kenyatta hadi leo ni Rais wa Kenya...........aiseeee Tz safari bado ni ndefu.Hapana Samia rais kabla ya kuwa mwenyekiti wa CCM na Samia rais na mwenyekiti wa CCM ni watu wawili tofauti.