CCM salama yao wakubaliane na Wapinzani lini tunaanza kuandika Katiba ya Wananchi(Haraka) kabla hawajajipeleka Mahakama ya Wananchi.Mbowe kama alithibitika anastahili kukamatwa kwa ugaidi ni bora wangemkamatia msibani kule machame na si kwenye tukio la kudai katiba kule Mwanza, serikali mmetuangusha kimataifa na sasa serikali itaumia kiuchumi wa kimataifa na wananchi ndio watakaosaga meno kama enzi si nyingi.