Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kwani kama ni Wabongo hawawezi kuajiri Wahindi?Kina Dewj ni wabongo sio wahindi.
Hapo tu ndio wajindi wa India wanapojichanganyaga wamidhani ni wahindi wenzao.
Kumbe ni wabongo tena wa mikoani
Wapo wengi. Mfano jak mengiKwani kama ni wabongo hawawezi kuajiri wahindi?
Au wale wa JangwaniNadhani nguo za kijani zina effect kwenye ubongo wa binadamu.
Mfano mdogo. Hebu waangalie wale vijana wa chama walioko vyuoni.
Una wazimu wewe.Au wale wa Jangwani
Kivipi mkuu kwani wale hawavai nguo za KijaniUna wazimu wewe.
So amewachukulia Simba kama wahindi vile,Simba wakiendelea kudai dai zile ahadi wajiandae kujazishwa formu za kesi fekiAisee kumbe sio simba tu wanaonyooshwa na huyu Gabachori.
dah afadhali maana walijazana sanaHawa wahindi wanaoajiriwa Tz huwa sielewi nikwanini wamejazana Tz huku, kuna watz kibao wenye sifa. Nampongeza Magufuli kwa kuanza kukataa ku renew vibali vyao vya kazi mara wamalizapo mikataba yao, nahili limeanza December hii.
Wabongo wengi ni wababaishaji si Kama wahindi.Kwani kama ni wabongo hawawezi kuajiri wahindi??
Kuna magheto ndani ya viwonder vyake. Pale wanakaa ma supervisor wa viwandani Ila hawaruhusiwi kutoka nje ya geti maana hawana vibali vya kukaa nchini.
Ni ma supervisor lkn Ni slave labourers. Wana roho mbaya kuliko ya mbwa Koko dhidi ya vibarua wa kiswahili. Mo au ndugu yake akiingia kiwanda utadhani Ni vimbwa vinatingisha mkia boss akiwatupia mfupa uliooza.
Hahaha wakondoka mkabaki peke yenu mtaanza kuwatafuta na kuwalinda.Hawa wahindi wanaoajiriwa Tz huwa sielewi nikwanini wamejazana Tz huku, kuna watz kibao wenye sifa. Nampongeza Magufuli kwa kuanza kukataa ku renew vibali vyao vya kazi mara wamalizapo mikataba yao, nahili limeanza December hii.