Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
Kwa nini hawajareport polisi huo uhalifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ama nasema uwongo ndugu zangu. This is the matter of fact. Lazima niongee ukweli......Nilichogundua kuna mtu alushawahi kusema, "kuna idadi ya miaka ukiifikisha ukiwa unafanya kazi kwa muhindi hutaweza kuacha" huu usemi nahisi una umweli maana kuna wazee wapo tangu 1992 lakini mpaka leo wanapanda dala dala na mshahara hauzidi 700k
Mkuu hongera sana tafadhali andika makala kabisaaa kuhusu hili, Watanzania ni wavivu asikwambie MTU. Tunapenda mteremko, binafsi niliwahi kufanya kazi Kwa wahindi sababu ya kuona kazi ngumu nikawa nafanya pole pole. Muhindi mmoja anaitwa Ridhwan akaniambia si ulitaka kazi hii ndio kazi tangu siku hiyo Nikabadilika.Watanzania asilimia kubwa kwa umbea, majungu na roho mbaya ndio kwao!! Miaka mitatu ya nyuma nilifanikiwa kuanzisha mradi fulani ambao ulinilazimu kuanza na watumishi kama ishirini, kati ya hao, tisa walikuwa wana elimu ya chuo kikuu,pamoja na kujitahidi kuingia gharama kubwa za kutengeneza mazingira mazuri ya kazi ili kuleta ufanisi wa kazi,naweza kusema sikujua kama nimefanya kosa kubwa!!
Kazi zilikuwa hazifanyiki ni uvivu, majungu, wizi, kukosa heshima kwa wateja, kudharau wateja na kujifanya wakubwa, matumizi mabaya ya rasilimali za ofisi!! Kiukweli kichwa kiliniuma Sana, nilikuwa simalizi masaa mawili bila kupokea simu za wafanyakazi!!wanakupigia kushitakiana tu, wengine wanakusalimia tu hana la maana, wengine kujifanya wema kumbe majizi!!
Mama yangu mdogo alinipeleka kwa rafiki yake ambae ni muhindi ana mradi kama wangu, kwa lengo la kujifunza!! Niligundua kuwa ili mradi wako ufanikiwe usicheke na kima!! Uwe na roho ngumu hasa!! Toka kipindi icho nilibadilika nilifukuza wafanyakazi wengi, nikaleta vijana saba tu kutoka Uganda!! Hakika hapo ndio nilianza kuona utendaji ulio nyooka,mauzo yakapanda kwa kiwango kizuri, simu za usumbufu za wafanyakazi zikaisha!! Waganda wanapiga kazi uwezi kukuta wanabishana asubuhi masuala ya mipira na uzinzi!! Mtanzania anataka alipwe pesa nyingi wakati anacho deliver ni zero!!! Yaani ili afanye kazi vizuri mpaka uweke sheria kali kama za jela!! Kwangu simlaumu MO, maana hata mimi niliona bila kuwa mafia wabongo wanakufilisi uku unajiona na wanabaki wakikucheka!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wahindi wakisikia MeTL wanajua ni Choli cholii mwenzao kumbe Mzaramo
Mbongo anaweza akakufanyia kazi zako kwa maneno yake ya mdomoni.......usipomkagua na ukamlipa ndio imekula kwako hiyo.Watanzania asilimia kubwa kwa umbea, majungu na roho mbaya ndio kwao!! Miaka mitatu ya nyuma nilifanikiwa kuanzisha mradi fulani ambao ulinilazimu kuanza na watumishi kama ishirini, kati ya hao, tisa walikuwa wana elimu ya chuo kikuu,pamoja na kujitahidi kuingia gharama kubwa za kutengeneza mazingira mazuri ya kazi ili kuleta ufanisi wa kazi,naweza kusema sikujua kama nimefanya kosa kubwa!!
Kazi zilikuwa hazifanyiki ni uvivu, majungu, wizi, kukosa heshima kwa wateja, kudharau wateja na kujifanya wakubwa, matumizi mabaya ya rasilimali za ofisi!! Kiukweli kichwa kiliniuma Sana, nilikuwa simalizi masaa mawili bila kupokea simu za wafanyakazi!!wanakupigia kushitakiana tu, wengine wanakusalimia tu hana la maana, wengine kujifanya wema kumbe majizi!!
Mama yangu mdogo alinipeleka kwa rafiki yake ambae ni muhindi ana mradi kama wangu, kwa lengo la kujifunza!! Niligundua kuwa ili mradi wako ufanikiwe usicheke na kima!! Uwe na roho ngumu hasa!! Toka kipindi icho nilibadilika nilifukuza wafanyakazi wengi, nikaleta vijana saba tu kutoka Uganda!! Hakika hapo ndio nilianza kuona utendaji ulio nyooka,mauzo yakapanda kwa kiwango kizuri, simu za usumbufu za wafanyakazi zikaisha!! Waganda wanapiga kazi uwezi kukuta wanabishana asubuhi masuala ya mipira na uzinzi!! Mtanzania anataka alipwe pesa nyingi wakati anacho deliver ni zero!!! Yaani ili afanye kazi vizuri mpaka uweke sheria kali kama za jela!! Kwangu simlaumu MO, maana hata mimi niliona bila kuwa mafia wabongo wanakufilisi uku unajiona na wanabaki wakikucheka!!!
Unafikiri hao uhamiaji hawajui? Na siyo huko tu hata viwanda vya Temeke huko wamejaa Wachina na Wahindi kibao...wanafungiwa tu huko.
Vichupa vikijaa wanatoka kwa makundi kutafuta huduma pande za Shugarei mida ya usiku....Lakini nakukumbusha tu mara nyingi snitch hufa anapotoa siri...raia mwema ni msemo tu usitie akilini...wanakutaja hao maafande kwani hakuna wasichojua.
Ama nasema uwongo ndugu zangu. This is the matter of fact. Lazima niongee ukweli......
Watanzania wengi wanapenda ugawane nao, kama bidhaa inauzwa 500 basi yeye achukue 200Kama MO mnyonyaji nendeni kwengineko ambako hamnyonywi. Mbona ni simple Logic tu.
Hata EPZ pale kuna kiwanda cha majinzi kazi zipo.
Ili utajirike inabidi uwe na roho ngumu sanaNo wonder MO anafanikiwa!
He is very ruthless...
Hio biashara haipo kokote duniani zaidi ya kwenye biko,3 mzuka na bettingWatanzania wengi wanapenda ugawane nao, kama bidhaa inauzwa 500 basi yeye achukue 200
Na kwa wale wagomvi wa makondaHio biashara haipo kokote duniani zaidi ya kwenye biko,3 mzuka na betting