Ubalozi wa India wawatahadharisha raia wake dhidi ya ajira za MeTL

Ubalozi wa India wawatahadharisha raia wake dhidi ya ajira za MeTL

Utajiri wa Mo ni wa kitapeli, anawachukuaga hao Wahindi huko India anakuja kuwalaza kwenye makontena kule kilipo kiwanda chake maeneo ya Vingunguti

Sidhani kama wale Wahindi wanaingia nchini kihalali
Huwa anawapokonya Passport na anawapigisha kazi balaa japo anawalipa mishahara mizuri sana!! Ila mshahara unapewa mkononi, Mo mwizi tu
 
Ukiwa mwajiri unaangalia output ya uliemwajiri. Suala la rangi ni siasa tu izo jombaa. Hao jamaa toka nje wamefuata kazi na hawachezi na kazi, hawana cha kufiwa na mjomba wala mtoto wangu alipata homa usiku au sijui matenity leave bla bla bla....
Nimekueleza kibarua wakituruki dhe analipwa sawa na draft engineer, Je hapo wanaangalia output?. Naona unarukaruka tu.
 
Nimekueleza kibarua wakituruki dhe analipwa sawa na draft engineer, Je hapo wanaangalia output?. Naona unarukaruka tu.
Usizuzuke na wasomi wengi wa kibongo wa enzi hizi, ukiwa site graduate engineer wanazidiwa uelewa na vibarua wa bongo.
 
Sijawahi shabikia ccm na ujinga wao tafuta comments zangu au thread baadhi, lkn kwahili lakukataa kuwapa vibali vipya naliunga mkono.
Hahaha hayo maneno ya CCM tu, hao ndio wadhamini wa miradi yao, hata usiwaamini.

Wasipo renew vibali vya wahindi, uhamiaji na wizara ya kazi watakufa njaa.

Wahindi ndio wanaongoza kuingia nchini kwa njia hizo za kilaghai.
 
Utajiri wa Mo ni wa kitapeli, anawachukuaga hao Wahindi huko India anakuja kuwalaza kwenye makontena kule kilipo kiwanda chake maeneo ya Vingunguti

Sidhani kama wale Wahindi wanaingia nchini kihalali

Utajiri wa Mo ni wa kitapeli, anawachukuaga hao Wahindi huko India anakuja kuwalaza kwenye makontena kule kilipo kiwanda chake maeneo ya Vingunguti

Sidhani kama wale Wahindi wanaingia nchini kihala
 
Utajiri wa Mo ni wa kitapeli, anawachukuaga hao Wahindi huko India anakuja kuwalaza kwenye makontena kule kilipo kiwanda chake maeneo ya Vingunguti

Sidhani kama wale Wahindi wanaingia nchini kihalali
Acha Uongo uongo dhambi Kama hujui kitu uliza pale Vingunguti Kiwalani ni sehemu ya Kazi Watu wanafanya na wahindi want nyumba zao mjini wanaishi Kama wa falme kwa raha zao mambo wana lala kwenye makontena huo ni uongo mtupu tena kwa taarifa yako mishahara inatoka kwa wakati mikopo kwa Sana Allowance ndio usiseme Kama Impendi MO shauli lako tena kwa Mo Raha Sana watu wanaenjoy wahindi na Waswahili ni kitu kimoja pale uwe unauliza.
 
Kuna Magheto ndani ya viwonder vyake. Pale wanakaa ma supervisor wa viwandani Ila hawaruhusiwi kutoka nje ya geti maana hawana vibali vya kukaa nchini.

Ni ma supervisor lakini ni slave labourenirs. Wana roho mbaya kuliko ya mbwa Koko dhidi ya vibarua wa kiswahili. Mo au ndugu yake akiingia kiwanda utadhani ni vimbwa vinatingisha mkia boss akiwatupia mfupa uliooza.
Jamani mambo mengine muwe mnauliza pale Vingunguti Kiwalani ni sehemu tu ya kazi hakuna mtu anaishi pale wala Kulala wahindi wote wanalala mjini tena kwa raha zao tena wanaenjoy hatari kazini Asubuhi huletwa na staff bus na wanarudishwa na staff bus wanapikiwa wanafuliwa nguo hata nchini kwao Hakuna wakuwafanyia hivyo halafu sasa waswahili mishahara wanapata kwa wakati sasa mikopo ipo wanakopeshwa raha Sana kufanya kazi kwa Mo. Wahindi na Waswahili wanaishi Kama ndugu wanapendana Sana pole yako we usiejua chochote
 
Hahaha hayo maneno ya ccm tu, hao ndio wadhamini wa miradi yao, hata usiwaamini.

Wasipo renew vibali vya wahindi,uhamiaji na wizara ya kazi watakufa njaa.

Wahindi ndio wanaongoza kuingia nchini kwa njia hizo za kilaghai.
Ngoja tuone Kama hawa wahindi naowaona kwenye site moja watakuwepo hapa mpaka January.
 
Unafikiri hao uhamiaji hawajui? Na siyo huko tu hata viwanda vya Temeke huko wamejaa Wachina na Wahindi kibao...wanafungiwa tu huko.

Vichupa vikijaa wanatoka kwa makundi kutafuta huduma pande za Shugarei mida ya usiku....Lakini nakukumbusha tu mara nyingi snitch hufa anapotoa siri...raia mwema ni msemo tu usitie akilini...wanakutaja hao maafande kwani hakuna wasichojua.
Ila kweli kuwasemea kwa mamlaka ni roho mbaya.. acha wapambane mtu kama ni mvivu usiwabanie wenzako na roho mbaya
 
Jaman Mambo mengine muwe mnauliza pale vingunguti kiwalani ni sehemu tu ya kazi Hakuna mtu anaishi pale wala Kulala wahindi wote wana lala mjini tena kwa raha zao tena wanaenjoy hatari kazini Asubuhi huletwa na staff bus na wanarudishwa na staff bus wanapikiwa wanafuriwa nguo hata nchini kwao Hakuna wakuwafanyia hivo Halafu sasa waswahili mishahala wanapata kwa wakati sasa mikopo ipo wanakopeshwa raha Sana kufanya kazi kwa Mo Wahindi na Waswahili wanaishi Kama ndugu wanapendana Sana pole yako we usie jua chochote
Wewe unaongelea Vingunguti/Kiwalani kwani Mo ana viwanda vingapi nchini.
Wewe utakua umetumwa au unatumiwa.
Mshahara wa chini kwa mswahili kwa Mo ni shilingi za kitanzania laki moja na sabini. Unalijua hili au unasema tu kwasababu unatumiwa?
Eti "mishahala" wanapata kwa wakati. Sasa 170 k usipompa mtu kwa wakati unategemea Nini? Tena usinijibu kwasababu naweza kuanika maovu mengine mengi zaidi. Ukiona watu wamenyamaza usifikiri hawajui.
 
Nimewahi kufanya kazi kiwanda cha kamba kipo Saza Road chang'ombe pale wanalipa kuanzia 150k, Sasa kwa mshahara huo ukute mtu ana familia. Binafsi nilishindwa maana hiyo pesa kula na familia tu haitoshi ukiacha kodi na bili nyingine.
 
Nimewahi kufanya kazi kiwanda cha kamba kipo saza Road chang'ombe pale wanalipa kuanzia 150k,
Sasa kwa mshahara huo ukute mtu anafamilia
Binafsi nilishindwa maana hiyo pesa kula na familia tu haitoshi ukiacha kodi na bili nyingine
Kuna dogo mmoja odovanesa anamtetea huyu beberu. Nataka arudi Tena aone fact nitakazoweka dhahiri hapa.
 
Kuna dogo mmoja odovanesa anamtetea huyu beberu. Nataka arudi Tena aone fact nitakazo weka dhahiri hapa.
Nilichogundua kuna mtu alishawahi kusema, "kuna idadi ya miaka ukiifikisha ukiwa unafanya kazi kwa muhindi hutaweza kuacha" huu usemi nahisi una ukweli maana kuna wazee wapo tangu 1992 lakini mpaka leo wanapanda daladala na mshahara hauzidi 700k
 
Back
Top Bottom