Ubalozi wa India wawatahadharisha raia wake dhidi ya ajira za MeTL

Ubalozi wa India wawatahadharisha raia wake dhidi ya ajira za MeTL

Ubalozi wa India nchini Tanzania umewatahadharisha raia wake wote kutokubali kuajiriwa na kampuni ya MeTL ya Mo Dewji...

Kampuni zilizopo hapa tena hawa tunasema ni matajiri sijui watu wa watu .utachefuka ila serekali yupo bize na kupambana anaye pingana naye sio wananchi wanao fanya kazi humo
 
Hahaha wakondoka mkabaki peke yenu mtaanza kuwatafuta na kuwalinda.

Mlisema hamtaki hata harufu ya Chadema, leo covid-19 wanalindwa kwa nguvu zote.

Hawa wahindi mtawatafuta na mtawalinda, hiyo ndo ccm tunayoifahamu.
Sijawahi shabikia ccm na ujinga wao tafuta comments zangu au thread baadhi, lkn kwahili lakukataa kuwapa vibali vipya naliunga mkono.
 
Kama MO mnyonyaji nendeni kwengineko ambako hamnyonywi...Mbona ni simple Logic tu.

Hata EPZ pale kuna kiwanda cha majinzi kazi zipo.
Ila MO bana anawapa watu mkataba wa miaka 55, anasema mwenyewe anawapa Job security, halafu mtu Mwenye degree ya chemistry, ambae anafanya kazi kama qc, au production chemistry anawalipa 360K, mpaka 400K. Inauma sana kwa walioajiriwa kwa MO.
 
Hawa wahindi wanaoajiriwa Tz huwa sielewi nikwanini wamejazana Tz huku, kuna watz kibao wenye sifa. Nampongeza Magufuli kwa kuanza kukataa ku renew vibali vyao vya kazi mara wamalizapo mikataba yao, nahili limeanza December hii.
Sa hivi wamejaa wachina
 
Vingungut maeneo gn mkuu,nikaripot Kwa uhamiaj donge nono wana promotion nowadays.
Unafikiri hao uhamiaji hawajui? Na siyo huko tu hata viwanda vya Temeke huko wamejaa Wachina na Wahindi kibao...wanafungiwa tu huko.

Vichupa vikijaa wanatoka kwa makundi kutafuta huduma pande za Shugarei mida ya usiku....Lakini nakukumbusha tu mara nyingi snitch hufa anapotoa siri...raia mwema ni msemo tu usitie akilini...wanakutaja hao maafande kwani hakuna wasichojua.
 
Ila MO bana anawapa watu mkataba wa miaka 55, anasema mwenyewe anawapa Job security, halafu mtu Mwenye degree ya chemistry, ambae anafanya kazi kama qc, au production chemistry anawalipa 360K, mpaka 400K. Inauma sana kwa walioajiriwa kwa MO.
Hahahahah jamaa muuaji, Job security kwa 400k kwa mwezi? Maisha ya Dar yalivyo magumu utakuta hio 400 ni bila any other benefits kama bima,house allowance na Transport.
 
Ubalozi wa India nchini Tanzania umewatahadharisha raia wake wote kutokubali kuajiriwa na kampuni ya MeTL ya Mo Dewji...
At last India wamesituka.
Wapitie vile vile makampuni ya
ESTIM
MM STEEL

Na mengine mengi yanayoajiri toka India.
Wanatumikishwa mama watumwa na passports zao kuchukuliwa na mwajiri.

Kazi ambazo wanafanya katika mazingira ya utumwa zingewwza kufanywa na watanzania ambao sasa wanajitambua.
 
Back
Top Bottom