Ubalozi wa India wawatahadharisha raia wake dhidi ya ajira za MeTL

Ni kweli kabisa na heri hao wahindi Watanzania ndo kabisa
 
Utajiri wa Mo ni wa kitapeli, anawachukuaga hao wahindi huko India anakuja kuwalaza kwenye makontena kule kilipo kiwanda chake maeneo ya Vingunguti

Sidhani kama wale wahindi wanaingia nchini kihalali
Mo tapeli sana. Yaani Tanzania shamba la bibi ndo maana wamefanikiwa biashara yao. Kusema ukweli mimi siku hizi nanunua Azam tu. Mo sometimes hata vitu vyeo havina ubora.
 
Hawa wahindi wanaoajiriwa Tz huwa sielewi nikwanini wamejazana Tz huku, kuna watz kibao wenye sifa. Nampongeza Magufuli kwa kuanza kukataa ku renew vibali vyao vya kazi mara wamalizapo mikataba yao, nahili limeanza December hii.
Tangu lini Magufuli akadhibiti wahindi au watu weupe, yeye anakomaa na wakenya au mtu yeyote mweusi
 
MO hajawahi kuwa muajiri mwenye kufuata sheria na misingi ya ajira, haki na utu. MO ni beberu tu.
 
Ah ah mzee ushafanya Nazi hapo nn
 
Hawa wahindi wanaoajiriwa Tz huwa sielewi nikwanini wamejazana Tz huku, kuna watz kibao wenye sifa. Nampongeza Magufuli kwa kuanza kukataa ku renew vibali vyao vya kazi mara wamalizapo mikataba yao, nahili limeanza December hii.
Kuna kitu huwa kinapatikana kwa hao wahindi ambacho hakipatikani kwa wabongo...uliza waliofanya nao kazi wakupe sifa zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…