KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Na wewe pia mkuu!Kamanda heri ya mwaka mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe pia mkuu!Kamanda heri ya mwaka mpya
vi2 vyote vitakuwa na kamera za kijasusi,manake wanunuzi wakuu watakuwa wa2mishi muhimu na mahsusi na wanaotokea vitengo nyeti vya serikali!!!!!Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam unapenda kutangaza kuwa itauza mali mbalimbali katika mnada utakaofanyika tarehe 10 Februari 2024, kuanzia saa 3 asubuhi. Mnada huu utaendeshwa na kufanyika UNIVERSAL AUCTION CENTRE, iliyoko karibu na Golden Resort, Lion Street, Sinza, Dar es Salaam (Angalia ramani).
Vitu vyote vitauzwa "kama vilivyo" bila garantii, huku kodi zote na ushuru ukiwa jukumu la mnunuzi. Maegesho ya magari ni machache. Ni watu 200 tu wa mwanzo ndio watakaoruhusiwa kuingia katika mnada, hivyo tunapendekeza ufike mapema. Unaweza kutazama vitu vitakavyouzwa siku ya Alhamisi, tarehe 8 Februari, na Ijumaa, tarehe 9 Februari kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 11 jioni.
Mkishakula mtori ndugu zangu mnaandika chochote USA wanahitaji kuuza vitu kukukagua ambao Sukari na mafuta tuu ni tatizo..hivyo vitu walikua wanagawa kwa wafanyakazi Watanzania miaka ya nyuma ikaonekana wazawa wanafanya biashara baada na wao kugawa kwenye taasisi ndio wakaleta utaratibu wa kuuza...vi2 vyote vitakuwa na kamera za kijasusi,manake wanunuzi wakuu watakuwa wa2mishi muhimu na mahsusi na wanaotokea vitengo nyeti vya serikali!!!!!
Hivyo vitu si wangevigawa tu kwa watu wenye uhitaji!! Donor country gani inahemea kwenye kuuza vitu used!!!Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam unapenda kutangaza kuwa itauza mali mbalimbali katika mnada utakaofanyika tarehe 10 Februari 2024, kuanzia saa 3 asubuhi. Mnada huu utaendeshwa na kufanyika UNIVERSAL AUCTION CENTRE, iliyoko karibu na Golden Resort, Lion Street, Sinza, Dar es Salaam (Angalia ramani).
Vitu vyote vitauzwa "kama vilivyo" bila garantii, huku kodi zote na ushuru ukiwa jukumu la mnunuzi. Maegesho ya magari ni machache. Ni watu 200 tu wa mwanzo ndio watakaoruhusiwa kuingia katika mnada, hivyo tunapendekeza ufike mapema. Unaweza kutazama vitu vitakavyouzwa siku ya Alhamisi, tarehe 8 Februari, na Ijumaa, tarehe 9 Februari kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 11 jioni.
======
Mnada mkubwa kwa idhini ya Ubalozi wa Marekani, Uingereza, World Bank, Corus International na Umoja House.
Wiki hii, kwa idhini tuliyopewa tutauza kwa mnada wa hadhara Toyota L/Cruiser Prado (3),Toyota L/Cruiser V8(1), Nissan Patrol(1), Suzuki Grand Vitara(1), Ford Everest(1), Generator 500KVA (3phase),Fridge, Dinning Tables, reception chair,magodoro, Furniture za nyumbani pamoja na vitu vingine vya ofisini.
Mnada utafanyika siku ya Jumamosi tarehe 10.2.24 kuanzia saa 4, Plot 5 "E", Lion Street Sinza jirani na Lion Hotel
mimi sifikirii kwa kupapasa mzee!!! wewe endelea kupapasa!!Mkishakula mtori ndugu zangu mnaandika chochote USA wanahitaji kuuza vitu kutukagua ambao Sukari na mafuta tuu ni tatizo..hivyo vitu walikua wanagawa kwa wafanyakazi Watanzania miaka ya nyuma ikaonekana wazawa wanafanya biashara baada na wao kugawa kwenye taasisi ndio wakaleta utaratibu wa kuuza...
wewe ni genious,ujasusi m2pu unahusika hapa,unafikiri mwalimu wa majohe anawe kupata kibali cha kununua???,,,watanunua wa2 mahususi,alaf watakapokuwa wakipanga madili yao jamaa wananote"""oooh makonda anaondoa uhai"walijuaje"??Hivyo vitu si wangevigawa tu kwa watu wenye uhitaji!! Donor country gani inahemea kwenye kuuza vitu used!!!
Shida wana wafanyakazi wabongo.Mkuu,wale sio wabongo.
Wanafanya vitu vyao kwa utaratibu.
Sema kichwani kukiwa na kitu kingine tofauti na akili ni jau sanawewe ni genious,ujasusi m2pu unahusika hapa,unafikiri mwalimu wa majohe anawe kupata kibali cha kununua???,,,watanunua wa2 mahususi,alaf watakapokuwa wakipanga madili yao jamaa wananote"""oooh makonda anaondoa uhai"walijuaje"??
Ubalozi wao ulipopigwa bomb walikamatwa watu zaidi ya 250 Daslm mpaka mafundi jiko walipokuja FBI na CIA walisema watoeni hao wote hapa hakuna aliehusika walienda kuchora mfano wa picha ya watu waliohusika kutengeneza Bomu kwenye ile garage mmoja wa watuhumiwa alikamatwa SA huko Athlone watu tuliokua tunamfahamu tulishangaa sana mpaka Bunge la SA lilikaa na kupinga kitendo cha yeye kukamatwa na kwenda kuhukumiwa USA baadae wakakubaliana aende ila asiende kwenye jimbo linalohukumu kunyongwa huyo Dogo Mpemba yupo Jela USA muda wote Cape Town alikua mtoa misaada kwenye shule za watoto wadogo na misikiti ndio maana nakwambiz hizo mambo ukifikiri kidogo utakua na majibu ya hapa hapa...mimi sifikirii kwa kupapasa mzee!!! wewe endelea kupapasa!!
DUUU UMEADIMIKA SANAMkuu salama nakusalimu kwa Jina la JF
umeona sio,polisi we2 ndo walikamata mpka makokoro,walipokuja FBI na CIA wakasema hawahusiki,,,sasa ndo manake nasema wenze2 wana2mia high tech kujua wahalifu kwa ku2mia IT,,,ina maana pale ubalozini kulikua na kamera zenye ufanisi mkubwa kwa kutambua matukio,,ebu jiulize,inakuwaje mara kwa mara unasikia AMERIKA akiwatahadharisha raia wake waliopo nchi flan mathalan kenya,kwamba wasetembee maeneo kadhaa kuna tukio la kigaidi litatokea na kweli linatokea,,then think critically taifa kama amerika linapiga mnada mpka tv?Ubalozi wao ulipopigwa bomb walikamatwa watu zaidi ya 250 Daslm mpaka mafundi jiko walipokuja FBI na CIA walisema watoeni hao wote hapa hakuna aliehusika walienda kuchora mfano wa picha ya watu waliohusika kutengeneza Bomu kwenye ile garage mmoja wa watuhumiwa alikamatwa SA huko Athlone watu tuliokua tunamfahamu tulishangaa sana mpaka Bunge la SA lilikaa na kupinga kitendo cha yeye kukamatwa na kwenda kuhukumiwa USA baadae wakakubaliana aende ila asiende kwenye jimbo linalohukumu kunyongwa huyo Dogo Mpemba yupo Jela USA muda wote Cape Town alikua mtoa misaada kwenye shule za watoto wadogo na misikiti ndio maana nakwambiz hizo mambo ukifikiri kidogo utakua na majibu ya hapa hapa...
Mawazo ya kimaskiniVitu mtavyonunua mvipeleke kwa Mwamposa aviombee maana vitakuwa na chembechembe za LGBTVEQRS UVW.
Mkuu bado unatumia namba kuandika aisee wacha nikuteme kwanza...umeona sio,polisi we2 ndo walikamata mpka makokoro,walipokuja FBI na CIA wakasema hawahusiki,,,sasa ndo manake nasema wenze2 wana2mia high tech kujua wahalifu kwa ku2mia IT,,,ina maana pale ubalozini kulikua na kamera zenye ufanisi mkubwa kwa kutambua matukio,,ebu jiulize,inakuwaje mara kwa mara unasikia AMERIKA akiwatahadharisha raia wake waliopo nchi flan mathalan kenya,kwamba wasetembee maeneo kadhaa kuna tukio la kigaidi litatokea na kweli linatokea,,then think critically taifa kama amerika linapiga mnada mpka tv?
Sawa Tajiri.Mawazo ya kimaskini
Nilihudhuria mara moja 2017 nikaondoka na sitakaa kupoteza mda tena kwenda huko mnadani, ka 50k kaliungua bure. Vitu ni expensive sana. Bora jichange nenda zako dukani nunua samani unayoihitaji.Minada yao huwa inashangaza sana kwani Kwa jinsi Watanzania tulivyo malimbukeni tunapandishiana bei nadhani hadi wao wanatushangaa.........anyways mara nyingi huwa ni samani,majokofu,majiko,pasi,vyombo.n.k.
Vitu hivi mara nyingi vinakuwa vimetoka kwenye ofisi zao na majumbani kwani wao wana utaratibu wa kubadilisha vitu kila baada ya muda fulani