Ubalozi wa Marekani kufanya mnada wa kuuza vitu nchini

Ubalozi wa Marekani kufanya mnada wa kuuza vitu nchini

Akili za Bashite hizi

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
wee unamdhihki makonda kwa kumuona hana akili wakati mwenzako ana maisha matam,siulize wewe mwenye akili unaishi maisha ya kuunga unga,je? ungekuwa huna akili kama alivo bashite unaemsema 'sasa ivi si ungekuwa unavusha wa2 kwenye mafuriko wasilowe alaf unashikishwa buku,then mvua ikiisha unarudia kazi yako ya kukaba!!! sio kwamba namtetea bashite no,,,nataka uelewe maisha ni bahati mzee baba!!! kuna wa2 wanamasters lakini wanatembea na bahasha kutwa kutafut job,,,na kunawa2 wameishia form 4 lakini ni wabunge[kama musukuma!!!!]
 
Back
Top Bottom