Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

halafu Marekani huaga wapumbavu sana !😏
kipindi cha watu kupotea potea tena waliwambia Wamarekani warudi makwao eti hali ya usalama ni tete Tanzanzania.

sasa Marekani yenyewe imezidiwa eti wanawambia raia warudi makwao !

ina maana Marekani ni salama kuliko Tanzanzia ?
 
Huko kwao hospitali zimefurika wagonjwa, acha waende wakafie nyumbani
 
Muda wa kukamuliwa umefika😜😜
 
Marekani wanajitambua intelligence yao ipo juu nahisi corona itaweka kambi, na pia tanzania ni mficha maradhi kifo umuumbua
intelijensia yao ingekuwa juu zaidi wasipuuza na sasa wanajifungia majumbani bila kazi na leo watu 3.5 wamejitangaza jobless, hiyo intelijensia haikuliona hilo, inaangalia Tz tu ambapo watu wao waliyoko hapa hawafik hata buku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Labda huku ndio kutishana Magufuli alikuwa anakuzungumzia. Marekani imetoa wito huo wa kuwataka raia wake wote nje ya Marekani (haijalishi kama uko Afrika, China, Ulaya, Marekani Kusini) kuwa warudi Marekani. Kwa hiyo hili la Tanzania si jipya. Tayari Wamarekani wengi wamerudi kutoka nchi mbalimbali duniani. Na kusema ukweli inawezekana wanaobakia Tanzania watakuwa salama zaidi kuliko wale watakaosema warudi Marekani ambako maambukizi ni kama kichaka kuungua...
 

Maoni ya wazee yanasema janga / plague linapotokea ukae hapo hapo kulikabili , kukimbia hakusaidii. Tulia hapo ulipo ujilinde basi.
 
Maoni ya wazee yanasema janga / plague linapotokea ukae hapo hapo kulikabili , kukimbia hakusaidii. Tulia hapo ulipo ujilinde basi.
Ndiyo hivyo; kama Marekani kungekuwa hakuna wagonjwa au wamecontrol basi ungesema wanakimbilia mahali salama. Hapa sasa hivi bado moto unawaka... ni bora ujifungie ndani Tanzania kuliko kuja hapa
 
Kwahiyo unataka wakutaje wewe? kwanini unataka kuona wengine tu ndo wameuugua harafu wewe wemzima? Kwanini usi assume wote ni wazima kama ulivyo wewe?
Kauli yake kwenye sentensi ya mwisho isitimie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…