pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Kama mimi ni mmarekani siendi n'go
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona us $ imeandikwa IN GOD WE TRUSTmay b US haiamini uwepo wa Mungu hvyo wanaona rais kutumia njia ya kuwaambia wananchi waendelee kuabudu kwao ni kukiuka Haki za binadamu.. au walikuwa na lundo la mambo huko nguma walikuwa wanatafutA kichaka..
The fact hawajaleta,inaonesha it's not an emergency.Marekani WANAWEZA sana kuleta ndege binafsi na kuchukua watu wao.
halafu Marekani huaga wapumbavu sana !😏Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa wito kwa raia wake kurejea Marekani, kufuatia uwepo wa maambukizi ya virusi vya #COVID19
Ubalozi umewataka raia wake wote wanaotaka kuondoka kufanya hivyo mapema kutokana na mashirika mengi ya ndege kusitisha safari. Umesema, hadi kufikia Machi 29, 2020 Shirika la Ndege pekee litakalokuwa na ndege za kutoka nje ya Tanzania ni Shirika la Ethiopia
Ubalozi huo umesema kwa sasa haushughuliki na kuwatoa raia hao nje ya Tanzania kuwarudisha Marekani, ila kama hatua hiyo itafikiwa umewataka wale wote watakaotaka kutafutwa na Ubalozi huo kutuma taarifa zao muhimu za utambulisho
Hadi sasa Marekani ambayo ndio nchi yenye maambukizi mengi zaidi, ina jumla ya maambukizi 85,594 yaliyorekodiwa na vifo 1,300
Huko kwao hospitali zimefurika wagonjwa, acha waende wakafie nyumbaniWamesisitiza Kabisa kuwa Must return to US now. Na hii wameitangaza leo ila walishaanza kuwalazimisha raia wake waondoke Tanzania. Huu ugonjwa ni hatari halafu imagine uupate ukiwa Tanzania where our medical system is very poor. Hata kama ni mimi nina option ya kuondoka I will surely do so.
Something is not right somewhere.... Only great thinkers can understand.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwetu pia yanakuja. Stay tuned bro, it is just a matter of time. Kumbuka ni juzi tu Marekani nao walikuwa hawana visa vya civid19Ila swali la kujiuliza ni kwamba,kwao kuna maambukizi zaidi,lakini kwanini bado wanataka watu warudi makwao ?
Wao wako serious? Mpaka leo wameipiku China iliyohangaika na corona toka mwaka janaLabda wameona hatuko serious na ugonjwa wa corona, wakati mwingine tunaingiza siasa.
intelijensia yao ingekuwa juu zaidi wasipuuza na sasa wanajifungia majumbani bila kazi na leo watu 3.5 wamejitangaza jobless, hiyo intelijensia haikuliona hilo, inaangalia Tz tu ambapo watu wao waliyoko hapa hawafik hata buku.Marekani wanajitambua intelligence yao ipo juu nahisi corona itaweka kambi, na pia tanzania ni mficha maradhi kifo umuumbua
kweli mkuu, mwenye data zake tofauti atuwekee, na uhalisia unaendana na hata majirani zetu, ambao nao namba zao hazijafika hata 40...Wagonjwa 13, VIFO 0.
Una idadi nyingine utuwekee hapa?
Kama nilivyosema corona inajionesha Yenyewe wala haina haja ya kuitangaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayarii! wameshamuomba mchina msaada, chezea Korona!Muda wa kuishangaa Marekani unawadia, hamtaamini macho na masikio yenu, sitasema zaidi, tusubiri
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa wito kwa raia wake kurejea Marekani, kufuatia uwepo wa maambukizi ya virusi vya #COVID19
Ubalozi umewataka raia wake wote wanaotaka kuondoka kufanya hivyo mapema kutokana na mashirika mengi ya ndege kusitisha safari. Umesema, hadi kufikia Machi 29, 2020 Shirika la Ndege pekee litakalokuwa na ndege za kutoka nje ya Tanzania ni Shirika la Ethiopia
Ubalozi huo umesema kwa sasa haushughuliki na kuwatoa raia hao nje ya Tanzania kuwarudisha Marekani, ila kama hatua hiyo itafikiwa umewataka wale wote watakaotaka kutafutwa na Ubalozi huo kutuma taarifa zao muhimu za utambulisho
Hadi sasa Marekani ambayo ndio nchi yenye maambukizi mengi zaidi, ina jumla ya maambukizi 85,594 yaliyorekodiwa na vifo 1,300
Labda huku ndio kutishana Magufuli alikuwa anakuzungumzia. Marekani imetoa wito huo wa kuwataka raia wake wote nje ya Marekani (haijalishi kama uko Afrika, China, Ulaya, Marekani Kusini) kuwa warudi Marekani. Kwa hiyo hili la Tanzania si jipya. Tayari Wamarekani wengi wamerudi kutoka nchi mbalimbali duniani. Na kusema ukweli inawezekana wanaobakia Tanzania watakuwa salama zaidi kuliko wale watakaosema warudi Marekani ambako maambukizi ni kama kichaka kuungua...
Touch woodHata ungekua wewe utabaki katika nchi hii ya mficha maradhi??
Subirini tutakavyoanza kudondoka kama kuku wa kideli
Touch wood
Ndiyo hivyo; kama Marekani kungekuwa hakuna wagonjwa au wamecontrol basi ungesema wanakimbilia mahali salama. Hapa sasa hivi bado moto unawaka... ni bora ujifungie ndani Tanzania kuliko kuja hapaMaoni ya wazee yanasema janga / plague linapotokea ukae hapo hapo kulikabili , kukimbia hakusaidii. Tulia hapo ulipo ujilinde basi.
Mnazungumza tu; nani kakuambia... ukiwa na hela ndio, ukiwa na bima ndio.. lakini ugonjwa huu umefungua udhaifu mkubwa wa mfumo wa afya wa Marekani...Na wana huduma nzuri za afya Mara elfu kuliko zetu.
Kauli yake kwenye sentensi ya mwisho isitimieKwahiyo unataka wakutaje wewe? kwanini unataka kuona wengine tu ndo wameuugua harafu wewe wemzima? Kwanini usi assume wote ni wazima kama ulivyo wewe?
Unawaza kwa kutumia ubaamaid wako wamarekani zaidi ya1000wameshakufa hapa bongo tunadunda tu .endelea kuuza bia huko gikomba Nairobi