Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

Marekani kwenyewe kumepamba Moto. Ndiyo nchi inayoongoza Kwa maambukizi
 
Unafahamu idadi ya watu ambao wameshapimwa?
 
Bora kubakia tz kuliko amerika ya trump. Maana anajidai tu huku ugonjwa unasambaa kwa kasi na kuua watu kwa mwendo kasi.
Marekani ni kubwa mkuu. Ni kama bara zima liwe nchi moja.
 
Sifahamu , ila sijaona hospitali hakujaa ama mtu anapimwa corona anakutwa postive anaambiwa nenda nyumbani?
Idadi ya watu wanaopimwa ndiyo inaweza kukupa mwangaza na siyo assumptions.
 
angalia nchi zilizoathirika sanA na c-19
ni
1)itary
2)span
3)german
4)ufaransa
5)uk
6)ureno
7)roman
8)usa
china aliingi tu kwa sabab ya mfumo wake wa chakula... ila ukwel ni kuwa ha
 
The biggest problem most African governments have is overstating their success and understating their failures, while doing minimal to defeat true challenges.
 
Marekani kwenyewe kumepamba Moto. Ndiyo nchi inayoongoza Kwa maambukizi
Usiwe mjinga huna vipimo unajisifu huna maambukizi wenzetu wamejipima wengi ndio maana wakapata hiyo idadi kubwa ya waathirika jamani tuache midomo tusije umbuka mbeleni Mdomo uliponza kichwa
 
Wapumbavu hawa wamarekani

Nchi masikini zina uhaba wa madaktari halafu leo marekani imetangaza kutaka kuwaajiri madaktari toka nchi masikini ikiwemo Tanzania kwenda kuwasaidia kupambana na COVID-19!!!
 
Idadi ya watu wanaopimwa ndiyo inaweza kukupa mwangaza na siyo assumptions.

assumptions ni zako maana tuna official ambayo inayopima ndo imetupa majibu wapo 13. Sasa kama huamini official wewe wangapi umepima? anayefanya assumption ni yule anayekubali namba za official ama anayezikataa?
 
Usiwe mjinga huna vipimo unajisifu huna maambukizi wenzetu wamejipima wengi ndio maana wakapata hiyo idadi kubwa ya waathirika jamani tuache midomo tusije umbuka mbeleni Mdomo uliponza kichw

Huo ndio ukweli, hizi tarakimu za wagonjwa hapa kwetu ni maigizo tu na kuuza sura kwasababu hatuna nyenzo za kupima kwa uhakika kuwa hao tunaosema ni wazima ni wazima kweli!!! Mimi nina uhakika kama tukipata test kits kama wanazotumia wenzetu huko halafu tukawapima angalau wabunge wetu tu; matokeo tutakayopata ya waliokuwa na COVID-19 yanaweza kutushangaza!!!
 
assumptions ni zako maana tuna official ambayo inayopima ndo imetupa majibu wapo 13. Sasa kama huamini official wewe wangapi umepima? anayefanya assumption ni yule anayekubali namba za official ama anayezikataa?
Eti official. Teh teh
 
Kalagabaho kusoma hujui hatapicha zero
 
Marekani ni kubwa mkuu. Ni kama bara zima liwe nchi moja.

USA ukubwa wake ni kama 30% ya ukubwa wa Afrika. (USA 9.834 milliom KM squared na Afrika 30.37 million Km squared.
 
Tanzania sio salama kuliko marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya wameshaamua kuondoa Raia wao wote na kuwarudisha kwao kutokana na tishio la korona Tanzania wakati hata kwao ugonjwa upo.
Sisi tumetelekeza Raia wetu.huko kwenye nchi mbalimbali kwenye ugonjwa
Naamini ubalozi wa marekani watakuwa wamesoma post ya mpuudhi mtoa post
 
Attachments

  • Screenshot_20200327-203227.png
    255.7 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…