Emmanuel Robinson
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,856
- 1,793
Acha waende maana huko ndiyo imezidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marekani kwenyewe kumepamba Moto. Ndiyo nchi inayoongoza Kwa maambukiziUbalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa wito kwa raia wake kurejea Marekani, kufuatia uwepo wa maambukizi ya virusi vya #COVID19
Ubalozi umewataka raia wake wote wanaotaka kuondoka kufanya hivyo mapema kutokana na mashirika mengi ya ndege kusitisha safari. Umesema, hadi kufikia Machi 29, 2020 Shirika la Ndege pekee litakalokuwa na ndege za kutoka nje ya Tanzania ni Shirika la Ethiopia
Ubalozi huo umesema kwa sasa haushughuliki na kuwatoa raia hao nje ya Tanzania kuwarudisha Marekani, ila kama hatua hiyo itafikiwa umewataka wale wote watakaotaka kutafutwa na Ubalozi huo kutuma taarifa zao muhimu za utambulisho
Hadi sasa Marekani ambayo ndio nchi yenye maambukizi mengi zaidi, ina jumla ya maambukizi 85,594 yaliyorekodiwa na vifo 1,300
Wanapika dataCorona haipo Marekani?? Are serious mkuu? Mpaka sasa wameipiku China kwa visa vingi.
Na kuna vifo zaidi ya 1000 wewe unasema corona haipo Marekani, au ndo wazee wa conspiracy theories.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafahamu idadi ya watu ambao wameshapimwa?Unaweza ficha wagonjwa elf 80?
Gonjwa halifichi nani alikwambia linafichwa? sema labda kama unataka kulazimisha data zako mwenyewe ama huyo mmarekani anataka data zake mwenyewe.
Wangekuwa wanaficha hospitali sahivi zingekuwa zimejaa mpaka zimetema wagonjwa wanalala nje.
Marekani ni kubwa mkuu. Ni kama bara zima liwe nchi moja.Bora kubakia tz kuliko amerika ya trump. Maana anajidai tu huku ugonjwa unasambaa kwa kasi na kuua watu kwa mwendo kasi.
Unafahamu idadi ya watu ambao wameshapimwa?
Idadi ya watu wanaopimwa ndiyo inaweza kukupa mwangaza na siyo assumptions.Sifahamu , ila sijaona hospitali hakujaa ama mtu anapimwa corona anakutwa postive anaambiwa nenda nyumbani?
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa wito kwa raia wake kurejea Marekani, kufuatia uwepo wa maambukizi ya virusi vya #COVID19
Ubalozi umewataka raia wake wote wanaotaka kuondoka kufanya hivyo mapema kutokana na mashirika mengi ya ndege kusitisha safari. Umesema, hadi kufikia Machi 29, 2020 Shirika la Ndege pekee litakalokuwa na ndege za kutoka nje ya Tanzania ni Shirika la Ethiopia
Ubalozi huo umesema kwa sasa haushughuliki na kuwatoa raia hao nje ya Tanzania kuwarudisha Marekani, ila kama hatua hiyo itafikiwa umewataka wale wote watakaotaka kutafutwa na Ubalozi huo kutuma taarifa zao muhimu za utambulisho
Hadi sasa Marekani ambayo ndio nchi yenye maambukizi mengi zaidi, ina jumla ya maambukizi 85,594 yaliyorekodiwa na vifo 1,300
Usiwe mjinga huna vipimo unajisifu huna maambukizi wenzetu wamejipima wengi ndio maana wakapata hiyo idadi kubwa ya waathirika jamani tuache midomo tusije umbuka mbeleni Mdomo uliponza kichwaMarekani kwenyewe kumepamba Moto. Ndiyo nchi inayoongoza Kwa maambukizi
Wapumbavu hawa wamarekani
Idadi ya watu wanaopimwa ndiyo inaweza kukupa mwangaza na siyo assumptions.
Usiwe mjinga huna vipimo unajisifu huna maambukizi wenzetu wamejipima wengi ndio maana wakapata hiyo idadi kubwa ya waathirika jamani tuache midomo tusije umbuka mbeleni Mdomo uliponza kichw
Eti official. Teh tehassumptions ni zako maana tuna official ambayo inayopima ndo imetupa majibu wapo 13. Sasa kama huamini official wewe wangapi umepima? anayefanya assumption ni yule anayekubali namba za official ama anayezikataa?
Kalagabaho kusoma hujui hatapicha zeroassumptions ni zako maana tuna official ambayo inayopima ndo imetupa majibu wapo 13. Sasa kama huamini official wewe wangapi umepima? anayefanya assumption ni yule anayekubali namba za official ama anayezikataa?
Marekani ni kubwa mkuu. Ni kama bara zima liwe nchi moja.
Tanzania sio salama kuliko marekani.halafu Marekani huaga wapumbavu sana ![emoji57]
kipindi cha watu kupotea potea tena waliwambia Wamarekani warudi makwao eti hali ya usalama ni tete Tanzanzania.
sasa Marekani yenyewe imezidiwa eti wanawambia raia warudi makwao !
ina maana Marekani ni salama kuliko Tanzanzia ?