Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

Au wameandaa kirusi advanced kwaajili ya black mambaz baada ya hiki kua ni kamasi tu za kawaida kusini mwa jangwa la wanyonge
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].yaani unachukua Maji ya bombani unaenda kuyamwaga baharini..
Sasa sisi na marekani wenye corona kubwa ni nani?

Sidhani kama kuna mmarekani anayetaka kurudi kwao.maana wana wagonjwa zaidi ya 80,000.
sisi tuna wagonjwa 13.Vifo 0.

Huyo mmarekani atakayetaka arudi kwao labda ana mapungufu ya akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya hesabu ndogo tu, US yenye wagonjwa 85k ina population kiasi gani, na Tanzania yenye wagonjwa 13 (kama ni kweli) ina population kiasi gani. Utajua extent ya athari ya ugonjwa comparatively.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kabisa maambukizi ya Corona yakawa ni zaidi ya yale Serikali inatoa taarifa zake na si kwamba inapanga kufanya hivyo bali hizi ndio cases zilizofika kwenye formal channels.

Sababu kubwa ni kuwa watanzania tumezoea kuishi na magonjwa kwani asilimia kubwa ya watanzania hatujui hali zetu za kiafya kwa wakati huu ilimradi mtu ameweza kuamka na kufanya shughuli zake basi anajihesabu ni mzima.

Watu wanaishi kwenye mazingira duni kiasi kwamba kuharisha,homa ,kuumwa kichwa,mafua na mengineyo si dalili au magonjwa tena kwa wastani haupiti mwenzi lazima ataumwa kichwa au tumbo au kuharisha na litapona bila kufika hospitali sana sana atatumia panadol au dawa nyingine zinazopatikana kwa urahisi.

Hali zetu za kimaisha zimetufanya kuwa na roho ngumu na kutojali kesho yetu kwani Imani yetu tumeiweka mikononi mwa Mungu kuwa yeye ndio mlinzi na muweza wa yote ,”Attitude” kama hii ndio inafanya watu waendelee na shughuli zao bila kujali uwepo wa Corona .

Si kwamba wanapuuza au hatujali au hatusikii na kuona yanayoendelea duniani bali SISI NI MASIKINI na umasikini si kukosa fedha hapana bali “LACK OF OPTIONS AND ALTERNATIVES” watu wanaishi kwa daily hustling hawezi kukaa ndani mtu wa aina hii au kununua vitu vya kujikinga kwani kwake muda ni mali na kila siku kwake ni blue Monday kiasi hata akiwa na malaria kali atajilazimisha kuamka na kufika kwenye mkate wake.

Serikali ni lazima itumie different approach kwenye kukabiliana na Corona Tanzania hatuwezi kutumia njia za wenzetu kwani haziwezi kufua dafu kwenye ulimwengu huu wa kwetu .

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kumbuka, USA in muunganiko wa States 51, so 1000 linganisha na ukubwa was hizo states na population.

Hakuna states hata moja marekani ambayo ni kubwa kuliko Tanzania.. sasa gawanya hivyo vifo 1000 au hao wagonjwa 89000 ili upate wastani wa kila states ina wagonjwa wangapi.. kisha shindanisha na Tanzania
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].yaani unachukua Maji ya bombani unaenda kuyamwaga baharini..
Sasa sisi na marekani wenye corona kubwa ni nani?

Sidhani kama kuna mmarekani anayetaka kurudi kwao.maana wana wagonjwa zaidi ya 80,000.
sisi tuna wagonjwa 13.Vifo 0.

Huyo mmarekani atakayetaka arudi kwao labda ana mapungufu ya akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Message iliyotolewa na ubalozi wa Marekani kwa watanzania ni watu wenye akili tu wataelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takwimu zetu zinaaminka?? Tusifiche maradhi,maaana kijacho....
 
Wamesisitiza Kabisa kuwa Must return to US now. Na hii wameitangaza leo ila walishaanza kuwalazimisha raia wake waondoke Tanzania. Huu ugonjwa ni hatari halafu imagine uupate ukiwa Tanzania where our medical system is very poor. Hata kama ni mimi nina option ya kuondoka I will surely do so.

Something is not right somewhere.... Only great thinkers can understand.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Huko ambapo mfumo wao wa afya upo imara,watu 200 hufa kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa nchi kutaka raia wake warudi kwao wakati huu wa janga hili ni upumbavu Boss?

Sent from my typewriter using Tapatalk
Utaratibu wa karantini si ukae ulipo?
Watoke huku kwenye maambukizi kidogo
Waende kwenye maambukizi makubwa?
Ina make sense?
Hata kama nchi yetu ya mwisho Kwa huduma za afya ..bado kwangu hai make sense.. unless.kwao kungekuwa hakuna maambukizi
 
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa wito kwa raia wake kurejea Marekani, kufuatia uwepo wa maambukizi ya virusi vya #COVID19

Ubalozi umewataka raia wake wote wanaotaka kuondoka kufanya hivyo mapema kutokana na mashirika mengi ya ndege kusitisha safari. Umesema, hadi kufikia Machi 29, 2020 Shirika la Ndege pekee litakalokuwa na ndege za kutoka nje ya Tanzania ni Shirika la Ethiopia

Ubalozi huo umesema kwa sasa haushughuliki na kuwatoa raia hao nje ya Tanzania kuwarudisha Marekani, ila kama hatua hiyo itafikiwa umewataka wale wote watakaotaka kutafutwa na Ubalozi huo kutuma taarifa zao muhimu za utambulisho

Hadi sasa Marekani ambayo ndio nchi yenye maambukizi mengi zaidi, ina jumla ya maambukizi 85,594 yaliyorekodiwa na vifo 1,300

Hii inashangaza sana kwa sababu huko kwao ndiko kuna Corona ya kumwaga
 
Sasa kwa suala la KORONA sehemu salama kati ya Tanzania na Marekani ni wapi? Hao raia ni zamu yao kuchanganya akili za ubalozi (kuambiwa) na za wao wenyewe
 
Hakuna states hata moja marekani ambayo ni kubwa kuliko Tanzania.. sasa gawanya hivyo vifo 1000 au hao wagonjwa 89000 ili upate wastani wa kila states ina wagonjwa wangapi.. kisha shindanisha na Tanzania
Wamewaondoa kwa kuwa mifumo na miundombinu ya kiafya kwenye nchi kama Tanzania ni duni na haiaminiki, So Marekani wanaona ni bora waende huko kwao japo cases zipo nyingi kuliko kuwaacha kwenye nchi ambayo inaonekana kuwa na wagonjwa wachache kutokana na kipimo kimoja..Common sense tu hii
 
Back
Top Bottom