Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya hesabu ndogo tu, US yenye wagonjwa 85k ina population kiasi gani, na Tanzania yenye wagonjwa 13 (kama ni kweli) ina population kiasi gani. Utajua extent ya athari ya ugonjwa comparatively.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].yaani unachukua Maji ya bombani unaenda kuyamwaga baharini..
Sasa sisi na marekani wenye corona kubwa ni nani?
Sidhani kama kuna mmarekani anayetaka kurudi kwao.maana wana wagonjwa zaidi ya 80,000.
sisi tuna wagonjwa 13.Vifo 0.
Huyo mmarekani atakayetaka arudi kwao labda ana mapungufu ya akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka, USA in muunganiko wa States 51, so 1000 linganisha na ukubwa was hizo states na population.
Message iliyotolewa na ubalozi wa Marekani kwa watanzania ni watu wenye akili tu wataelewa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].yaani unachukua Maji ya bombani unaenda kuyamwaga baharini..
Sasa sisi na marekani wenye corona kubwa ni nani?
Sidhani kama kuna mmarekani anayetaka kurudi kwao.maana wana wagonjwa zaidi ya 80,000.
sisi tuna wagonjwa 13.Vifo 0.
Huyo mmarekani atakayetaka arudi kwao labda ana mapungufu ya akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko ambapo mfumo wao wa afya upo imara,watu 200 hufa kila sikuWamesisitiza Kabisa kuwa Must return to US now. Na hii wameitangaza leo ila walishaanza kuwalazimisha raia wake waondoke Tanzania. Huu ugonjwa ni hatari halafu imagine uupate ukiwa Tanzania where our medical system is very poor. Hata kama ni mimi nina option ya kuondoka I will surely do so.
Something is not right somewhere.... Only great thinkers can understand.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dua zenu Mungu hatazikubaliHata ungekua wewe utabaki katika nchi hii ya mficha maradhi??
Subirini tutakavyoanza kudondoka kama kuku wa kideli
Tumekuelewa Halima MdeeSijawahi kuona askofu yeyote akiaibika kwa kuwaombea baraka wengine
Huu ndio mzizi wa hoja.Hata ungekua wewe utabaki katika nchi hii ya mficha maradhi??
Subirini tutakavyoanza kudondoka kama kuku wa kideli
Utaratibu wa karantini si ukae ulipo?Sasa nchi kutaka raia wake warudi kwao wakati huu wa janga hili ni upumbavu Boss?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Kuwatoa watu wao katika nchi yenye maambuki kidogo na isiyo na kisa hata ki1 cha kifo na kuwapeleka jehanamUpumbavu wao ni nini?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hii inashangaza sana kwa sababu huko kwao ndiko kuna Corona ya kumwagaUbalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa wito kwa raia wake kurejea Marekani, kufuatia uwepo wa maambukizi ya virusi vya #COVID19
Ubalozi umewataka raia wake wote wanaotaka kuondoka kufanya hivyo mapema kutokana na mashirika mengi ya ndege kusitisha safari. Umesema, hadi kufikia Machi 29, 2020 Shirika la Ndege pekee litakalokuwa na ndege za kutoka nje ya Tanzania ni Shirika la Ethiopia
Ubalozi huo umesema kwa sasa haushughuliki na kuwatoa raia hao nje ya Tanzania kuwarudisha Marekani, ila kama hatua hiyo itafikiwa umewataka wale wote watakaotaka kutafutwa na Ubalozi huo kutuma taarifa zao muhimu za utambulisho
Hadi sasa Marekani ambayo ndio nchi yenye maambukizi mengi zaidi, ina jumla ya maambukizi 85,594 yaliyorekodiwa na vifo 1,300
Sasa kwa suala la KORONA sehemu salama kati ya Tanzania na Marekani ni wapi? Hao raia ni zamu yao kuchanganya akili za ubalozi (kuambiwa) na za wao wenyeweUbalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa wito kwa raia wake kurejea Marekani, kufuatia uwepo wa maambukizi ya virusi vya #COVID19
Ubalozi umewataka raia wake wote wanaotaka kuondoka kufanya hivyo mapema kutokana na mashirika mengi ya ndege kusitisha safari. Umesema, hadi kufikia Machi 29, 2020 Shirika la Ndege pekee litakalokuwa na ndege za kutoka nje ya Tanzania ni Shirika la Ethiopia
Ubalozi huo umesema kwa sasa haushughuliki na kuwatoa raia hao nje ya Tanzania kuwarudisha Marekani, ila kama hatua hiyo itafikiwa umewataka wale wote watakaotaka kutafutwa na Ubalozi huo kutuma taarifa zao muhimu za utambulisho
Hadi sasa Marekani ambayo ndio nchi yenye maambukizi mengi zaidi, ina jumla ya maambukizi 85,594 yaliyorekodiwa na vifo 1,300
Wamewaondoa kwa kuwa mifumo na miundombinu ya kiafya kwenye nchi kama Tanzania ni duni na haiaminiki, So Marekani wanaona ni bora waende huko kwao japo cases zipo nyingi kuliko kuwaacha kwenye nchi ambayo inaonekana kuwa na wagonjwa wachache kutokana na kipimo kimoja..Common sense tu hiiHakuna states hata moja marekani ambayo ni kubwa kuliko Tanzania.. sasa gawanya hivyo vifo 1000 au hao wagonjwa 89000 ili upate wastani wa kila states ina wagonjwa wangapi.. kisha shindanisha na Tanzania
Wanajiona wanajua Sana kitakachotokea TZ..Ni kwamba wanajali sana raia wao au ni uwoga tu umewajaa?