Ubalozi wa Marekani nchini Iraq wachomwa moto, inasikitisha

Ubalozi wa Marekani nchini Iraq wachomwa moto, inasikitisha

Unaweza ukajipa moyo hivyo lakini moto umechomwa kwenye eneo la ubalozi ingawaje haukuunguza kama kule Tripoli nchini Libya..
TV zangu huwa ni CNN, BBC na kidogo Aljazeera. Wewe unaangalia wapi? TBC1? Jitahidi uwe na credible source ya news!
 
TV zangu huwa ni CNN, BBC na kidogo Aljazeera. Wewe unaangalia wapi? TBC1? Jitahidi uwe na credible source ya news!
Huko huko unakoangalia wewe wamethibitisha kuwa Ubalozi umechomwa moto.Tunachoweza kuongeza ni kuwa moto huo haukuleta madhara makubwa kama yaliyotokea kule Libya.Na kwa vyovyote vile hizi si dalili nzuri kwa taifa hilo na si habari za kupendeza kwa wapenzi wake wanaoshangilia maumivu ya binadadamu wenzao kila pembe ya dunia Marekani ilipotia mguu.
Iwapo unaufahamu moto na athari zake utaona hapa.
1577852087934.png
 
Huu sasa ni upumbafu. Tunazungumzia UTUMWA & UHURU unaleta mambo ya Dini. Huna akili wala ubongo bali unatumia makamasi kufikiri.

Over & Out

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie waarabu weusi ndio watoa mapovu huku mkitetea magaidi, unatetea hawa magaidi sababu ya mafundisho ya Muhammad, so Dini inahusika ndio
 
Nyie waarabu weusi ndio watoa mapovu huku mkitetea magaidi, unatetea hawa magaidi sababu ya mafundisho ya Muhammad, so Dini inahusika ndio
Wewe ni mpumbafu. Kinjekitile, Mkwawa et al., wangekuwa kama wewe nchi hii isingekuwepo. Mandela, Mahlangu, et al wangekuwa na akili zikizoko matakoni kama zako, South ingekuwa bado chini ya Kaburu. Mahlangu amefaidi nini na uhuru wa Afrika Kusini.

Pili kutokana na akili za matope, kila anayewaunga mkono wapigania haki wa kiarabu ni Muislamu. Akili kitoto sana. Kwako kila anayempinga JPM ni CDM, akili za kipumbafu sana.

Kwaheri.

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji12][emoji14][emoji12]
Sisi twajua Iran ndo mhusika ila Pentagon ishapeleka vifaa kuhakikisha hakuna baya litalotokea hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
IRAN Kahusika Nakipi Mbna Anawatesa Sana Wayahudi Weupe Kmbe Mpaka Nyie Wayahudi Weusi Mnateseka[emoji23][emoji16][emoji3] poleni sana asee kwamateso muyaptayo [emoji12][emoji14][emoji12]

IRAN =Baba Lao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha kuongea mambo uso yajua kijana au unajua klko turampeti?!....View attachment 1308681

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila chenye mwanzo kina mwisho.Huu ni ukumbusho mkubwa na huruma kutoka kwa Allah kuwa tusimuamubudu yoyote isipokuwa YEYE mwenye nguvu isiyoshindika.
Angalia hapo Donald Trump anaomba msaada kutoka kwa serikali ya Iraq isaidie kuondoa watu wake ubalozini kwao.Zamani enzi za kishindo chake tulidhani karibu na ubalozi wao kuna vifaa vya kuona kila kitu na kukisukuma nyuma kisikaribie.Kumbe vijana wa kawaida tu wanaweza kupenya mpaka ndani ya jengo bila kikwazo kikubwa.
 
Wewe ni mpumbafu. Kinjekitile, Mkwawa et al., wangekuwa kama wewe nchi hii isingekuwepo. Mandela, Mahlangu, et al wangekuwa na akili zikizoko matakoni kama zako, South ingekuwa bado chini ya Kaburu. Mahlangu amefaidi nini na uhuru wa Afrika Kusini.

Pili kutokana na akili za matope, kila anayewaunga mkono wapigania haki wa kiarabu ni Muislamu. Akili kitoto sana. Kwako kila anayempinga JPM ni CDM, akili za kipumbafu sana.

Kwaheri.

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaa, povuuuu, hizi ndio zenu, mnajifanya swala tano huku matusi, nyie mnaunga mkono al shabaab mnasema ni wapigania uhuru
 
Tayari wanajeshi 700 emergency response kutoka Fort Bragg wamepelekwa Iraq....

Hawa ni infiltrate soldiers

Best and advanced military equipment zimepelekwa hapo...
Sasa kima yoyote alrudie huo upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23]
Tayari wanajeshi 700 emergency response kutoka Fort Bragg wamepelekwa Iraq....

Hawa ni infiltrate soldiers

Best and advanced military equipment zimepelekwa hapo...
Sasa kima yoyote alrudie huo upuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
700 kwakuogopa Mawe 2

Mtateseka sana na mtaiacha IRAQ Japokua Mtachelewa Sanaaa......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom