Ubalozi wa Marekani nchini Iraq wachomwa moto, inasikitisha

Tayari mkuu wameshafanya Yao ... Leo Iran General (Quasim ) ameuwa huko Baghdad...

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli Soleiman lost mtu waliyekuwa wanamuogopa Sana sio kwa nguvu Bali intelligence na strategy .lakini pia ni stupid move ever done by USA maana vile vikwazo lengo ilikuwa wairan wachukie wafanya maamuzi wa nchi yao ila Sasa ndio wanawapa nguvu wahafidhina ndani ya Iran kupitiliza ni fact kuwa Iran ni tishio na wote wanafight yaani USA ,Israel kumtoa muiran dhidi ya kucontrol Iraq ila kwa kumpiga Soleiman na Muhandis ambaye ni muiraq na wote ni washia ni sawa na kuchochea Moto wa kuwatoa wamarekani ndani ya Iraq na kupandisha morale kwa vijana wa kishia wasiojua hata maana ya vita mwisho wa siku Iran atashinda na kufanikiwa kumtoa mmarekani ndani ya Iraq kwa kupitia proxy forces zao na pia kuwaunganisha wairan wote kuwa kitu kimoja despite vikwazo.sitarajii Wala kuona Iran akighangaika na kingine zaidi ya kumtoa USA. Sasa USA ameshapoteza influence kwa local Iraqis kwa kitendo alichofanya na bahati mbaya kwao ni mwaka wa election yeah it's a war middle East ila now sio Tena kumtoa Saddam au Isis Iraq ila ni kumtoa baba lao. Trump has fail.
 
Nakubalina na wewe ila hapo eti Mu-iran kumtoa USA iraq Sahau kabisa. Iran hana huo uwezo... Sikulazimishi kukubali hili ila wewe subiri uone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubalina na wewe ila hapo eti Mu-iran kumtoa USA iraq Sahau kabisa. Iran hana huo uwezo... Sikulazimishi kukubali hili ila wewe subiri uone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka vizuri post Saddam era kilitokea Nini na wale mahad army ni vikundi vingi vya kishia vilifanya Nini na mwishowe ulikuwa Nini mpaka Hali ikatulia kumbuka tu Iran anchofanya ni kumastermind wairq wenyewe ambao majority ni washia na pro Iranian hao wairaq ndio watakaomtoa usa ila hutaonea Wala kusikia jeshi la Iran limevuka mpaka mzee siku hizi ni proxy war kwenda mbele Kama alishindwa Syria Basi ona Iraq itakavyokuwa na katika hili la proxy forces Soleiman ndio alikuwa baba lao engine ya wairan ila deputy wake amesashatake over yaani mijamaa miiran imetengeneza proxy force inawapiganaji mamilioni nje ya nchi mbalimbali working for their interest.
 
Uso kwa uso hawawezi
Vita ya juu pia ipo siku zitafikia mwisho wataamua kutumaliza kwa Nuke tu [emoji23]

Sent from my iPhone using Tapatalk
Huu ndio ungekuwa mwisho wa Mmarekani.
952a9f2b02d89b1fcea08c93ad40eb14.jpeg

ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
 
Kumbuka vizuri post Saddam era kilitokea Nini na wale mahad army ni vikundi vingi vya kishia vilifanya Nini na mwishowe ulikuwa Nini mpaka Hali ikatulia kumbuka tu Iran anchofanya ni kumastermind wairq wenyewe ambao majority ni washia na pro Iranian hao wairaq ndio watakaomtoa usa ila hutaonea Wala kusikia jeshi la Iran limevuka mpaka mzee siku hizi ni proxy war kwenda mbele Kama alishindwa Syria Basi ona Iraq itakavyokuwa na katika hili la proxy forces Soleiman ndio alikuwa baba lao engine ya wairan ila deputy wake amesashatake over yaani mijamaa miiran imetengeneza proxy force inawapiganaji mamilioni nje ya nchi mbalimbali working for their interest.
Hahah eti proxy war wakati Battle field Ni nchi yenu (Iraq)... Mzee nikueleze tu popote kwenye maslah ya USA hawezi toka kizembe...

Hata huko Syria unakotolea mfano lengo lao limeshatimia la nchi kuwa failed state ... Same to libya ... Ukiona USA katoka Iraq ujue interests zake zimeisha lakini hawezi kutoka kwasababu ya kutishiwa na Iran au Iraq hapo ni kujidanganya mchana ....

Kumbuka hili pigo ilikuwa lipigwe last week ila Trump aka-revoke order Yake , baada ya mashambulizi kadhaa Trump kaweka order bila hata bunge kutaarifiwa ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He saved the whole world. Hapa ndiyo ujue Marekani ndiyo center ya dunia. Ndiyo ujue hakuna atakayeiangusha Marekani. Ni sawa na kukataa tawi la mti ulilosimamia
Nani kasema

ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
 
Soma maandishi vizuri kwenye hiyo picha. Alipopigwa Iraq na Marekani kulikutokea WW3? Kwanini apigwe Marekani halafu itokee vita ya 3 ya dunia?. Soma vizuri maandishi yaliyko kwenye picha
"He saved the whole world"
Nani kasema

ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
 
The man who avoided world war 3
Once World War-3 was just 2 minis away, but
{Russian Army officer Vasili Arkhipov refused to drop nuclear bomb on America on October 27, 1962. He saved the world}
, but it;s very sad that no one knows him
Nani kasema

ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
 
The man who avoided world war 3
Once World War-3 was just 2 minis away, but
{Russian Army officer Vasili Arkhipov refused to drop nuclear bomb on America on October 27, 1967. He saved the world}
, but it;s very sad that no one knows him
1962 not 67
No doubt hujaelewa concept!
ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
 
Typing Error. Labda kama kiingereza kinakupiga chenga. Mtafute mtu anayejua kiingereza vizuri mpe asome halafu akutafsiria maana naona kama lugha ya kiingereza imekupita kushoto.
Najua lugha ya kiingereza inakupiga chenga, mwambie mtu akutafsirie haya maneno kwa lugha ya kiswahili.

The man who avoided world war 3
Once World War-3 was just 2 mins away, but Russian Army officer Vasili Arkhipov refused to drop nuclear bomb on America on October 27, 1962. He saved the world, but it;s very sad that no one knows him
1962 not 67
No doubt hujaelewa concept!
ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
 
Hahah eti proxy war wakati Battle field Ni nchi yenu (Iraq)... Mzee nikueleze tu popote kwenye maslah ya USA hawezi toka kizembe...

Hata huko Syria unakotolea mfano lengo lao limeshatimia la nchi kuwa failed state ... Same to libya ... Ukiona USA katoka Iraq ujue interests zake zimeisha lakini hawezi kutoka kwasababu ya kutishiwa na Iran au Iraq hapo ni kujidanganya mchana ....

Kumbuka hili pigo ilikuwa lipigwe last week ila Trump aka-revoke order Yake , baada ya mashambulizi kadhaa Trump kaweka order bila hata bunge kutaarifiwa ....

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia utaona battle field itakuwa wapi Syria objective ni regime change wamefail big time.
 
Typing Error. Labda kama kiingereza kinakupiga chenga. Mtafute mtu anayejua kiingereza vizuri mpe asome halafu akutafsiria maana naona kama lugha ya kiingereza imekupita kushoto.
Najua lugha ya kiingereza inakupiga chenga, mwambie mtu akutafsirie haya maneno kwa lugha ya kiswahili.

The man who avoided world war 3
Once World War-3 was just 2 minis away, but Russian Army officer Vasili Arkhipov refused to drop nuclear bomb on America on October 27, 1962. He saved the world, but it;s very sad that no one knows him
Sijui kiingereza vp unaweza kuwa mwalimu wangu, apart from that what makes him not to drop that nuke?

ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
 
Hehehehe[emoji23][emoji23][emoji3][emoji16]
Hahah eti proxy war wakati Battle field Ni nchi yenu (Iraq)... Mzee nikueleze tu popote kwenye maslah ya USA hawezi toka kizembe...

Hata huko Syria unakotolea mfano lengo lao limeshatimia la nchi kuwa failed state ... Same to libya ... Ukiona USA katoka Iraq ujue interests zake zimeisha lakini hawezi kutoka kwasababu ya kutishiwa na Iran au Iraq hapo ni kujidanganya mchana ....

Kumbuka hili pigo ilikuwa lipigwe last week ila Trump aka-revoke order Yake , baada ya mashambulizi kadhaa Trump kaweka order bila hata bunge kutaarifiwa ....

Sent using Jamii Forums mobile app
Obama Kila Leo Alikua Anahubiri Al Assad Must Go Nahili Ndio Lilikua Lengo Nambari Moja La NATO Kwa SYRIA Haya Masuala Yakusema Beto fild Cjui Nini Ni Maneno Matupu 2 Ila Lengo Kuu La NATO Nchini SYRIA Ilikua Ni REGIME CHANE Kama Waloitekeleza LIBYA

Hizo Nyengine Nyimbi Tuuuhh...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehehe[emoji23][emoji23][emoji3][emoji16]Obama Kila Leo Alikua Anahubiri Al Assad Must Go Nahili Ndio Lilikua Lengo Nambari Moja La NATO Kwa SYRIA Haya Masuala Yakusema Beto fild Cjui Nini Ni Maneno Matupu 2 Ila Lengo Kuu La NATO Nchini SYRIA Ilikua Ni REGIME CHANE Kama Waloitekeleza LIBYA

Hizo Nyengine Nyimbi Tuuuhh...

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani wewe Hali iliyo Syria unalidhika nayo ?? Syria ndio inaongoza kwa kuzalisha refugees wengi EU ... Kwa mwaka 2019 Pekee imezalisha zaidi ya wakimbizi 500,000 ... Wewe unaona hiyo Nchi Sasa ???

Iran is almost a failed state haina tofauti na Burundi.

Kama hujui hasara za nchi kuwa battle field sina njia nyingine ya kukueleza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehehe[emoji23][emoji23][emoji3][emoji16]Obama Kila Leo Alikua Anahubiri Al Assad Must Go Nahili Ndio Lilikua Lengo Nambari Moja La NATO Kwa SYRIA Haya Masuala Yakusema Beto fild Cjui Nini Ni Maneno Matupu 2 Ila Lengo Kuu La NATO Nchini SYRIA Ilikua Ni REGIME CHANE Kama Waloitekeleza LIBYA

Hizo Nyengine Nyimbi Tuuuhh...

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaleta issue za Obama (Dems) kwenye Utawala wa Trump (Reps)... Huna unalojua kwenye hii medani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom