Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Marekani yenyewe ipo stage ya ngapi...?!Zipo nne, yaani level-4 ndio maximum, ukiona mumetupiwa level four (yaani nyekundu) ujue hali mbovu kupita amelezo.
Zijue hapa level zote hapa
- Level 1: Blue – Exercise Normal Precautions
- Level 2: Yellow – Exercise Increased Caution
- Level 3: Orange – Reconsider Travel
- Level 4 : Red – Do Not Travel
https://www.usnews.com/news/best-co...e-us-government-warns-not-to-travel-right-now
Wapeleke level ya 64 kabisa...Beberu achana naye sisi huku mitaani hatuoni korona ikipukutisha watu hivyo watuweke level hata ya 8 sisi hatuna habari
Send by APOLO 1
Yadai taarifa walizo nazo nyuma ya pazia ni kwamba kule Tanzania kirusi kimetamalaki, hospitali zimejaa na kulemewa, yashauri Wamarekani walioko Tanzania wajitie lockdowns wenyewe maana hamna namna ya kuwaokoa kwa sasa.
Ndugu zetu wanazidi kuwa wakaidi balaa.... mfupa uliomshinda fisi, bado mnakusanyika kwenye madaladala na vilabu vya pombe.
=================================
The Tanzanian government has not released any data on COVID in Tanzania since April 29, so there are no current data on the number of people diagnosed with COVID-19 in Tanzania.
The Department of State has issued a Global Level 4 Health Advisory for COVID-19. For emergency American Citizen Services, including emergency passports, please visit ourwebsite for additional information.
The risk of contracting COVID-19 in Dar es Salaam is extremely high. Despite limited official reports, all evidence points to exponential growth of the epidemic in Dar and other locations in Tanzania. The Embassy has strongly recommended that U.S. government personnel and their families remain at home except for essential activities (e.g., grocery shopping) and substantially limit into private homes the entry of anyone but regular residents.
Many hospitals in Dar es Salaam have been overwhelmed in recent weeks. Limited hospital capacity throughout Tanzania could result in life-threatening delays for medical care, including for those with COVID-19.
The Government of Tanzania suspended all international scheduled passenger planes to Tanzania effective April 11 and international commercial flight options no longer exist in Tanzania.
U.S. citizens who remain in Tanzania should be prepared to remain abroad for an indefinite period. The U.S. government does not anticipate arranging additional repatriation flights in Tanzania at this time. However, in the event that opportunity becomes available, we are asking you to let us know if you are interested in being contacted. Please enter your information via the following link: bit.ly/USCitizenInfo and complete the form for each U.S. citizen or U.S. legal permanent resident guardian accompanying minor children in your family or group. If a repatriation flight is arranged, an email will be sent to anyone who submitted information via this form. If you have already submitted your information via email you do not need to submit your information again.
Actions to Take:
Consult the CDC website for the most up-to-date information.
Visit the COVID-19 crisis page on travel.state.gov for the latest information.
Visit our Embassy webpage on COVID-19.
Enroll in the Smart Traveler Enrollment Program (STEP) to receive Alerts and make it easier to locate you in an emergency.
Assistance:
U.S. Embassy Dar es Salaam, Tanzania
686 Old Bagamoyo Road, Msasani,
P.O. Box 9123
Dar es Salaam, TANZANIA
+255 22 229-4000
drsacs@state.gov
tz.usembassy.gov
Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania
Umetumia muda gani kuandika ujinga na ufala kama huo? Unafikiri Tanzania ni kisiwa? Hata Zanzibar imeathirika vibaya ila wao wana busara na kutangaza idadi ya wagonjwa kama inavyopaswa ili kupambana na hili.Non sense and wishful thinking.Kama mapepo hivi.Na wewe hivi seriously unaamini upupu kama huu.Jamani hawa waongo wakubwa na hawatutakii mema na wanataka tuharibikiwe.Wanachofanya hapa ni kutupaka matope ili ionekane kwamba Tanzania tatizo la C-19 ni kubwa sana,sasa na wewe kwa ujinga wako umeileta taarifa kama ilivyo,amkeni nyinyi.Hawa haitakii mema Afrika,kila siku nikuitabiria mabaya tu.Hivi kweli hata jirani yako akikutabiria mabaya,si tunaita uchuro.Msiwe mnaleta taarifa kama hizi,ni mbaya na zinatisha watu.Mimi nasema COVID-19 Africa itabaki ya kubangaiza kwa kuwa mifumo ya kufanya iwepo haipo.Watabaki wanaota tu.Hivi hawajiulizi,kwa nini ni ya kubabaisha mpaka leo?Ingekuwa ni kuanza si ingeanzia kwetu,why China.Na kwa nini pia imeshambulia sana Marekani na Ulaya?Haya mambo yana sababu jamani sio bahati mbaya.
Ubalozi wa Marekani umesema Dar es Salaam ni mkoa ambao hatari ya kupata #CoronaVirus ni kubwa. Wamedai japo serikali haitoi takwimu kuhusu hilo ushahidi wa kimazingira unaonyesha wagonjwa wanaongezeka kwa kasi ndani ya Dar.
Wamedai hospitali nyingi zinahofu kutokana na ukosefu wa vifaa tiba kwa ajili ya kupambana na #COVID19. Serikali ya Tanzania imezuia safari zote za abiria tangu Aprili 11, hivyo ubalozi umewataka raia wake kubaki ndani ili kujikinga na #CoronaVirus.
View attachment 1448823
Kuna hilo lishamba linaitwa Bashite limetangaza hali ya Dsm ni shwari wakati baba yake kajificha kijijini hukoUbalozi wa Marekani umesema Dar es Salaam ni mkoa ambao hatari ya kupata #CoronaVirus ni kubwa. Wamedai japo serikali haitoi takwimu kuhusu hilo ushahidi wa kimazingira unaonyesha wagonjwa wanaongezeka kwa kasi ndani ya Dar.
Wamedai hospitali nyingi zinahofu kutokana na ukosefu wa vifaa tiba kwa ajili ya kupambana na #COVID19. Serikali ya Tanzania imezuia safari zote za abiria tangu Aprili 11, hivyo ubalozi umewataka raia wake kubaki ndani ili kujikinga na #CoronaVirus.
View attachment 1448823
Wake up in your slumber.Ukinipa jibu kwa nini Ulaya imeshambuliwa sana kuliko Afrika,na kwa nini C-19 imeanzia China halafu ikahamia Korea ya kusini,then ikaenda Ulaya ikamalizia Marekani,na Africa ni kidogo sana nitakuelewa.Otherwise nyamaza,hujui kitu,usiendelee kujitia aibu.Umetumia muda gani kuandika ujinga na ufala kama huo? Unafikiri Tanzania ni kisiwa? Hata Zanzibar imeathirika vibaya ila wao wana busara na kutangaza idadi ya wagonjwa kama inavyopaswa ili kupambana na hili.
Lakini jinsi ulivyoandika inaonyesha wewe ni mmoja wa wale wajinga wanaofikiri Tanzania ni ya pekee haiwezi kuambukizwa sababu hakuna takwimu na rais ana wayeyusha.
Korona sio aibu acha ujinga na tumia akili kujikinga na kujilinda, wengi wanayo ndiyo maana madereva toka Tanzania wanakutwa nayo. Ufala wako utawaponza wengi maana utaisambaza kama ukiipata kwa kufikiri hakuna korona kama mjinga wa mwisho duniani.
Ila akili za Bashite huwa anazijua yeye mwenyewe na babake jamani msituhusishe naeNyie hata kupewa tahadhari hamtaki? Haya ndio matatizo ya rais na wafuasi wake. Nimemsikia na bashite akisema waliozikwa usiku ilikuwa ni watu wanachukua majeneza na kuchimba chimba ili ionekane watu wanazika usiku....Nyie bila shaka ni timu moja na hawa. Jichunguzeni roho zenu ni watu msiojali maisha ya watu na ndio tabia ya uongozi uliopo, hii ni hulka ya watu flani.
Dah we jamaa 😂😂😂😂Yaani mi nipo huku Siioni hiyo hali anayosema Marekani, yaani nisiamini ninachokiona niamini anachosema Marekani cha kusikia...?!
Sent using Jamii Forums mobile app
wanazengo hebu naomba ufafanuzi wa hili neno Global Level 4 Health Advisory for COVID-19Yadai taarifa walizo nazo nyuma ya pazia ni kwamba kule Tanzania kirusi kimetamalaki, hospitali zimejaa na kulemewa, yashauri Wamarekani walioko Tanzania wajitie lockdowns wenyewe maana hamna namna ya kuwaokoa kwa sasa.
Ndugu zetu wanazidi kuwa wakaidi balaa.... mfupa uliomshinda fisi, bado mnakusanyika kwenye madaladala na vilabu vya pombe.
=================================
The Tanzanian government has not released any data on COVID in Tanzania since April 29, so there are no current data on the number of people diagnosed with COVID-19 in Tanzania.
The Department of State has issued a Global Level 4 Health Advisory for COVID-19. For emergency American Citizen Services, including emergency passports, please visit ourwebsite for additional information.
The risk of contracting COVID-19 in Dar es Salaam is extremely high. Despite limited official reports, all evidence points to exponential growth of the epidemic in Dar and other locations in Tanzania. The Embassy has strongly recommended that U.S. government personnel and their families remain at home except for essential activities (e.g., grocery shopping) and substantially limit into private homes the entry of anyone but regular residents.
Many hospitals in Dar es Salaam have been overwhelmed in recent weeks. Limited hospital capacity throughout Tanzania could result in life-threatening delays for medical care, including for those with COVID-19.
The Government of Tanzania suspended all international scheduled passenger planes to Tanzania effective April 11 and international commercial flight options no longer exist in Tanzania
U.S. citizens who remain in Tanzania should be prepared to remain abroad for an indefinite period. The U.S. government does not anticipate arranging additional repatriation flights in Tanzania at this time. However, in the event that opportunity becomes available, we are asking you to let us know if you are interested in being contacted. Please enter your information via the following link: bit.ly/USCitizenInfo and complete the form for each U.S. citizen or U.S. legal permanent resident guardian accompanying minor children in your family or group. If a repatriation flight is arranged, an email will be sent to anyone who submitted information via this form. If you have already submitted your information via email you do not need to submit your information again.
Actions to Take:
Consult the CDC website for the most up-to-date information.
Visit the COVID-19 crisis page on travel.state.gov for the latest information.
Visit our Embassy webpage on COVID-19.
Enroll in the Smart Traveler Enrollment Program (STEP) to receive Alerts and make it easier to locate you in an emergency.
Assistance:
U.S. Embassy Dar es Salaam, Tanzania
686 Old Bagamoyo Road, Msasani,
P.O. Box 9123
Dar es Salaam, TANZANIA
+255 22 229-4000
drsacs@state.gov
tz.usembassy.gov
Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania
Je, Wao wamekufa wangapi na kwetu wamekufa wanagapi? wasituchanganye!!Yadai taarifa walizo nazo nyuma ya pazia ni kwamba kule Tanzania kirusi kimetamalaki, hospitali zimejaa na kulemewa, yashauri Wamarekani walioko Tanzania wajitie lockdowns wenyewe maana hamna namna ya kuwaokoa kwa sasa.
Ndugu zetu wanazidi kuwa wakaidi balaa.... mfupa uliomshinda fisi, bado mnakusanyika kwenye madaladala na vilabu vya pombe.
=================================
The Tanzanian government has not released any data on COVID in Tanzania since April 29, so there are no current data on the number of people diagnosed with COVID-19 in Tanzania.
The Department of State has issued a Global Level 4 Health Advisory for COVID-19. For emergency American Citizen Services, including emergency passports, please visit ourwebsite for additional information.
The risk of contracting COVID-19 in Dar es Salaam is extremely high. Despite limited official reports, all evidence points to exponential growth of the epidemic in Dar and other locations in Tanzania. The Embassy has strongly recommended that U.S. government personnel and their families remain at home except for essential activities (e.g., grocery shopping) and substantially limit into private homes the entry of anyone but regular residents.
Many hospitals in Dar es Salaam have been overwhelmed in recent weeks. Limited hospital capacity throughout Tanzania could result in life-threatening delays for medical care, including for those with COVID-19.
The Government of Tanzania suspended all international scheduled passenger planes to Tanzania effective April 11 and international commercial flight options no longer exist in Tanzania
U.S. citizens who remain in Tanzania should be prepared to remain abroad for an indefinite period. The U.S. government does not anticipate arranging additional repatriation flights in Tanzania at this time. However, in the event that opportunity becomes available, we are asking you to let us know if you are interested in being contacted. Please enter your information via the following link: bit.ly/USCitizenInfo and complete the form for each U.S. citizen or U.S. legal permanent resident guardian accompanying minor children in your family or group. If a repatriation flight is arranged, an email will be sent to anyone who submitted information via this form. If you have already submitted your information via email you do not need to submit your information again.
Actions to Take:
Consult the CDC website for the most up-to-date information.
Visit the COVID-19 crisis page on travel.state.gov for the latest information.
Visit our Embassy webpage on COVID-19.
Enroll in the Smart Traveler Enrollment Program (STEP) to receive Alerts and make it easier to locate you in an emergency.
Assistance:
U.S. Embassy Dar es Salaam, Tanzania
686 Old Bagamoyo Road, Msasani,
P.O. Box 9123
Dar es Salaam, TANZANIA
+255 22 229-4000
drsacs@state.gov
tz.usembassy.gov
Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania
Unawaamini hao ubalozi wa USA? Mbona kwao wanakufa kama Kuku?
Kesho 14-05-2020 kuna ndege ya kukodi EMIRATES inakuja kukomboa wamarekani waliokuwa wamebaki, wanajua idadi ni kubwa ya kutisha, wameamua kukimbia na kuacha kila kitu chao , bora kufia hospitali marekani kuliko mapokezi mwananyamala, maana hapo unaona wanasema hata wagonjwa hawapokelewi, unaachwa ujifie tu na tena wanakwambie kanywe pilipili kichaa na mirungi ndio daawa