JORDAN TWARINDWA
New Member
- Aug 22, 2022
- 1
- 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah hujanishawishi badosasa we umeshajijengea imani mbaya na Waislam... hao sio magaidi na wala sio maana yake. Futa hiyo na relax!
Hawana huo ubavu wala mawazo hayo... kuwa na amani😊
Kwenye mikutano ya chadema inakuwaga frequented by Westerners? Kama hamjui lugha mnyamaze. Idiots!Sasa CHADEMA mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikali.
View attachment 2495531
Kila gaidi ana sababu zake huwezi justify kuua Polisi eti kisa Kuna sababu, hata Al Shabaab hawauwi bila sababu za kidini, kisiasa n.kHujajibu swali we mpumbavu! Mimi sijaleta ujuaji... tuambie Hamza ni nani na alifanya nini?! Na zipi sababu za yeye kufanya aliyofanya?!
Unaongea kwa mihemko hali ya kuwa hakuna ujualo...Kila gaidi ana sababu zake huwezi justify kuua Polisi eti kisa Kuna sababu, hata Al Shabaab hawauwi bila sababu za kidini, kisiasa n.k
Sasa kwa intelijensia yoyote kama mtu aliwahi piga video za tik tok akiwa na pistol ilipaswa wajue anaweza kuwa threat siku Moja.
Sasa hiyo ni failure ya intelligence, sahivi Kuna teknolojia nyingi kama za machine learning zinaweza predict uhalifu based on social media extremism Sasa mnakaaje kimya mpaka siku tukio linatokea alafu una justify huo ujinga kwa kusema eti "ana sababu"
Kwa akili kama zako no wonder Tumeibiwa Makinikia miaka 20 huku mnajiita majasusi!!
😂😂😂Aaah hujanishawishi bado
Kaka una mwandiko mzuri kweli, haya ngoja niendelee kula maisha😂😂😂
Wale hata kula, watoto kusoma na Kodi wengi wao ni mtihani kwa sababu waliendekeza elimu ile na wakaidharau elimu dunia... mbali na hapo ni watu wa kupingapinga kutokana na ujinga
Wamejawa na majungu tu na chuki hawana lolote!
Akili ya namna hiyo hawana... hata usiwe na wasiwasi. Matukio ya design ile husukwa na wabobezi tena wa mbali na wanakuwa na agents wao wachache hata wasiojulikana na ni wageni maeneo hayo na hawanaga njaa.
Hao maulamaa hapo mtaani kwako we achana nao Mama, jiachie! Kula maisha 😅🤙🏾
Na siku ukiwa na kibarua hapo kwako labda cha ujenzi huenda unataka kuvunja ukuta ili upanue nyumba au kuna shughuli yoyote ya ujenzi fanya kuongea na mmoja wao muombe akutafutie vijana pale msikitini kwao uone watakavyogombania hicho kibarua, alafu waambie mimi sijataka kuwapa hii kazi hawa vijana wa mtaani... naogopa watakuwa wahuniwahuni uone watakavyokuwa wanakuheshimu na kukutukuza... watakuwa wanapita na kukusalimia kazi ikiisha.Kaka una mwandiko mzuri kweli, haya ngoja niendelee kula maisha
We ndio hujui kitu kabisa, Jihad John alipita hapa Tanzania mara mbili mlimkamata au mlimjua? Mama Samia kasema madini ya Tanzanite yalitoroshwa kupitia chini ya ukuta kwani hao TISS hawakuwepo? Vipi Makinikia kutoroshwa TISS Haikujua?Unaongea kwa mihemko hali ya kuwa hakuna ujualo...
Unakunya tu hapo kwa sababu umekaa kwa amani na utulivu huku kuna wanaume wanateseka kwa ajili ya wajinga wa design yako. Niishie hapo
HUNA UNACHOJUA. KWENYE 10% WEWE UNA 0.02%
#Nawasilisha
Sinaga shobo nao niwe mkweli, hata mazoea sitaki maana ni wabaguzi na wanajionaga watoto wa malaika,, kwahiyo tunaishi tu lakini kila mmoja anakuwa na tahadhari sasa siwezi kuwapa kazi yangu yoyoteNa siku ukiwa na kibarua hapo kwako labda cha ujenzi huenda unataka kuvunja ukuta ili upanue nyumba au kuna shughuli yoyote ya ujenzi fanya kuongea na mmoja wao muombe akutafutie vijana pale msikitini kwao uone watakavyogombania hicho kibarua, alafu waambie mimi sijataka kuwapa hii kazi hawa vijana wa mtaani... naogopa watakuwa wahuniwahuni uone watakavyokuwa wanakuheshimu na kukutukuza... watakuwa wanapita na kukusalimia kazi ikiisha.
Wana njaa ile mbaya! 😂🙌🏾
ni nani alikwambia hawakujua na hawajui?!We ndio hujui kitu kabisa, Jihad John alipita hapa Tanzania mara mbili mlimkamata au mlimjua? Mama Samia kasema madini ya Tanzanite yalitoroshwa kupitia chini ya ukuta kwani hao TISS hawakuwepo? Vipi Makinikia kutoroshwa TISS Haikujua?
Mtu latest bunduki kwenye Tik Tok mmekaa kimya kaua Polisi ndio mnajifanya kujustify huo utumbo!! Mna akili kweli nyie?
Nani hajui wewe haya mambo nimeshaongelea sana humu jf labda kama ndio unanisoma Leo;ni nani alikwambia hawakujua na hawajui?!
Usiingilie usiyoyajua... kila kitu kina utaratibu wake/protokali zake (etiquette/protocol)
Niishie hapa... tunabishana tukiwa kwenye wigo tofauti za ujuaji wa mambo na fikra. Unadhani unajua zaidi na kuwaona wajinga ambao wewe unadhani ndo walitakiwa kuchukua hatua lakini kaa ukijua hufahamu lolote... 😊
Hakuna kitabu kinatokaga duniani chenye siri sahihi za hayo mambo... hakuna kitu kinatoka kuhusu wao kikapitishwa bila wao kujua. Amka we kilaza... mnapelekwa chaka! Kutoa siri za hayo mambo ni kosa la uhainiNani hajui wewe haya mambo nimeshaongelea sana humu jf labda kama ndio unanisoma Leo;
Dark arts za intellijensia na utata wa kifo cha jasusi
Wakuu habari za mchana, natumaini wote wazima. Juzi nilikuwa nasoma kitabu kimoja cha kuhusu mambo ya kijasusi cha "spies against armaggedon" humo nikakutana na term inaitwa DARK ARTS na katika kusaka maana zaidi mitandaoni nikakutana na case moja ya jasusi Gareth williams ambaye kifo chake...www.jamiiforums.com
Dark arts za intellijensia II: Uchawi na kiini macho kwenye uwanja wa vita
Habari za leo wana JF ni kipindi kirefu sijaweka mada humu kutokana na majukumu mawili matatu ila leo nimeweka hii mada ili tuendelee kujifunza kwa pamoja masuala mbalimbali ya ulimwengu huu ambayo kidogo yanaonekana kuwa na utata, karibuni twende pamoja UTANGULIZI Dark arts za intellijensia...www.jamiiforums.com
Uhusiano Kati ya Vyombo vya Habari na Intelijensia
Intelijensia inaelezwa kama taarifa za siri zinazokusanywa,kuchakatwa na kuchambuliwa ili kuwezesha serikali kuchukua maamuzi fulani ili kuongeza ufanisi. Umuhimu wa intelijensia haupimwi kwa uwezo wa wingi au usiri wa taarifa unaopatikana bali katika uwezo wa zile taarifa kupelekea maamuzi...www.jamiiforums.com
Socio-Economic Intelligence na hatma ya Taifa
UTANGULIZI Tokea tumepata uhuru bara letu la Afrika tumekuwa na changamoto zinazofanana ambazo sio tu zimetuacha maskini bali tumerudi nyuma kimaendeleo kuliko hata kipindi cha ukoloni. Na matatizo haya yameshazoeleka kiasi kila mtu haoni kama yana ufumbuzi na wanabuni msemo "Miafrika ndivyo...www.jamiiforums.com
Richard Sorge: Jasusi aliyeamua hatma ya Vita kuu ya pili ya Dunia
Habari za weekend wanajukwaa natumaini wote wazima bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada ya leo. UTANGULIZI Richard sorge a.k.a Ramsay alikuwa jasusi wa urusi ya zamani yaani Jamhuri ya kijamaa ya soviet (USSR) na alitumika wakati na kabla ya vita kuu ya pili ya dunia akiwa kama...www.jamiiforums.com
Wewe ndio kilaza, marekani Kuna sheria inaruhusu classified information kuwa declassified baada ya miaka fulani. Ndio maana mafile mfano uongo kuhusu silaha za maangamizi Iraq, ushiriki wa CIA kwenye siasa na mapinduzi latin America, mafile juu ya US kudukua simu za washirika wa NATO n.k hayo yote yamefichuliwa kupitia hiyo sheria ya right to information.... Mambo ya Siri ni huku kwenu ila kwa mabeberu mambo Yako wazi ndio maana hta Rais wa US kadakwa na mafile ya CIA, Waziri mkuu UK kapigwa fine kisa seat belt n kHakuna kitabu kinatokaga duniani chenye siri sahihi za hayo mambo... hakuna kitu kinatoka kuhusu wao kikapitishwa bila wao kujua. Amka we kilaza... mnapelekwa chaka! Kutoa siri za hayo mambo ni kosa la uhaini
Ndo mana nikakwambia huna ujualo... mnapoteza muda kwenda sijui kumsoma EVANCE CHAHALI... kama aliyokuwa ameandika ni sahihi tayari angekuwa kashakufa muda tu na hicho kitabu kisingetoka. Siri za hayo mambo hazijulikani NISIKILIZE MIMI!
Ukitaka kuyajua yaliomo humo sharti uwe mmoja wao. UKO NA UJUAJI MWINGI SANA! SITAKUJIBU WALA KUENDELEZA MJADALA NA WEWE. KAA UKIJUA HAYO MAMBO SIO RAHISI KAMA UNAVYOJUA WEWE. HAYO MAVITABU MNANUNUA MNAPELEKWA CHAKA TU MASKINI.
Nchi iko salama jiamini mipaka iko salama tembea kifua mberee ka umepigwa ngumi mgongoniUsalama wa nchi ni muhimu sana